Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Hatakama nchi hii ina viongozi wezi tusiowapenda lkn tuache personal attack, mnauhakika gani hizo pesa zimetokana na kodi zenu? Na kuna wengine eti walipoona hiyo video wamelia kwa uchungu, uchungu gani huo mbona tunapenda kuhusisha hisia mahala pa kutumia akili?

Utajiri wa hawa wanasiasa wezi na vibaka haiwafanyi watu wao wa karibu kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao wala kula bata kwao eti wajifiche kisa kukuogopa mtanzania utajisikia vipi.

NARUDIA TENA, hii video wala haihusiani na kodi zetu tuache kulalamika pasipo hitaji kulalamika, kodi zetu ni kweli zinaliwa lakini hazihusiani na hao watoto wa vigogo ambao wana mabiashara ya kila aina, vitega uchumi vya kila aina, na wengine wamezaliwa ktk bloodline ya kitajiri hivyo pesa kwao zipo hata kabla ya wazazi wao kuingia ktk siasa, sasa watu wa aina hii tunawahusisha vipi raha zao na Kodi zetu kupotea?

Tuache roho mbaya ya kishetan kuchukia raha za wengine, kuhonga mamilioni kwa watu aina hiyo kwao kawaida pengine hata zaidi, na haihusiani na wizi wa Kodi zetu.

Nchi imeoza na CCM kiujumla ina wezi, lkn tusiingilie mipaka ya hao ndugu zao ambao hata hatuwajui vyanzo vyao vya pesa zao na kuanza kulalamika kipumbavu.

Masikini wana roho mbaya
Ok tuambie basi wewe chawa wake anabiashara gani huyo binti ya kumuingizia hizo pesa za kula bata
 
Ata mimi pia moderators nilitoa uzi kama huu tena kabla ya huu ukafutwa au wao moderators wanafurahia ufisadi kama huu
 
Hatakama nchi hii ina viongozi wezi tusiowapenda lkn tuache personal attack, mnauhakika gani hizo pesa zimetokana na kodi zenu? Na kuna wengine eti walipoona hiyo video wamelia kwa uchungu, uchungu gani huo mbona tunapenda kuhusisha hisia mahala pa kutumia akili?

Utajiri wa hawa wanasiasa wezi na vibaka haiwafanyi watu wao wa karibu kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao wala kula bata kwao eti wajifiche kisa kukuogopa mtanzania utajisikia vipi.

NARUDIA TENA, hii video wala haihusiani na kodi zetu tuache kulalamika pasipo hitaji kulalamika, kodi zetu ni kweli zinaliwa lakini hazihusiani na hao watoto wa vigogo ambao wana mabiashara ya kila aina, vitega uchumi vya kila aina, na wengine wamezaliwa ktk bloodline ya kitajiri hivyo pesa kwao zipo hata kabla ya wazazi wao kuingia ktk siasa, sasa watu wa aina hii tunawahusisha vipi raha zao na Kodi zetu kupotea?

Tuache roho mbaya ya kishetan kuchukia raha za wengine, kuhonga mamilioni kwa watu aina hiyo kwao kawaida pengine hata zaidi, na haihusiani na wizi wa Kodi zetu.

Nchi imeoza na CCM kiujumla ina wezi, lkn tusiingilie mipaka ya hao ndugu zao ambao hata hatuwajui vyanzo vyao vya pesa zao na kuanza kulalamika kipumbavu.

Masikini wana roho mbaya
Bora ukose pesa ila usikose akili kiufupi humu hamna kitu
 
Daniel Chongolo street, Block ya Kwanza tu ndo wanaishi, nyumba zao rangi zinafanana zote
 
Kwanza huyo binti adabu hana, pesa zetu za kodi halafu anatuonyesha tunayempa kiburi middle finga??!!
Ikifika ya Nepal atafute pa kukimbilia wahuni watamuonyesha hiyo middle finga kazi yake..!!
😂😂😂😂😂
 
Watanzania sio wa kuwaonea huruma! hupaswi kuonea huruma majitu yanayosombwa kwenye malori kama nguruwe kwenda kuwapigia vigelegele watesi wao! Ukipata mrija na wewe pita NAO tu itajulikana mbele ya safari.
Yaan inaumiza sanaa, 😢😢😢
 
Back
Top Bottom