Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Hatakama nchi hii ina viongozi wezi tusiowapenda lkn tuache personal attack, mnauhakika gani hizo pesa zimetokana na kodi zenu? Na kuna wengine eti walipoona hiyo video wamelia kwa uchungu, uchungu gani huo mbona tunapenda kuhusisha hisia mahala pa kutumia akili?

Utajiri wa hawa wanasiasa wezi na vibaka haiwafanyi watu wao wa karibu kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao wala kula bata kwao eti wajifiche kisa kukuogopa mtanzania utajisikia vipi.

NARUDIA TENA, hii video wala haihusiani na kodi zetu tuache kulalamika pasipo hitaji kulalamika, kodi zetu ni kweli zinaliwa lakini hazihusiani na hao watoto wa vigogo ambao wana mabiashara ya kila aina, vitega uchumi vya kila aina, na wengine wamezaliwa ktk bloodline ya kitajiri hivyo pesa kwao zipo hata kabla ya wazazi wao kuingia ktk siasa, sasa watu wa aina hii tunawahusisha vipi raha zao na Kodi zetu kupotea?

Tuache roho mbaya ya kishetan kuchukia raha za wengine, kuhonga mamilioni kwa watu aina hiyo kwao kawaida pengine hata zaidi, na haihusiani na wizi wa Kodi zetu.

Nchi imeoza na CCM kiujumla ina wezi, lkn tusiingilie mipaka ya hao ndugu zao ambao hata hatuwajui vyanzo vyao vya pesa zao na kuanza kulalamika kipumbavu.

Masikini wana roho mbaya
 
"bora ukose mali, kuliko akiliiii, kwani elimu ni bahari haina mwisho" Banza stone-Elimu ya mjinga
 
Au itakua ni moja ya watoto anatetea ufisadi, kanishangaza, mtu unalipwa elfu kumi Kwa mwezi lakini unaishi Maisha ya mtu anaelipwa milion Kwa mwezi, wenye akili Tu ndio watakaoelewa
ukimsoma between lines utagundua hajui hata kinachoendelea, yeye amekutana na mada akachangia😀, nchi yetu bado ina changamoto kubwa
 
Lakini hivi ni kweli yule ni Binti wa DGIS??
🤔
Kwamba Baba yake kwa unyeti wake awaache watoto wake wajianike vile?Ok! Alie record ni kaka yake then alimtumia nani? Alituma kwenye mtamdao upi??Aaah!! Kwa elimu yangu ya darasa la 7 nakuwa mgumu kidogo kuelewa.
 
Yanatokea haya yanayotokea ili Tanzania mpya izaliwe, kuna kitu kikubwa kinakuja Tanzania, hizo video, na taarifa nyeti za ufisadi na ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka hazivuji kwa umma kwa bahati mbaya, kuna kitu kinakuja kama sio kutoka kwa wananchi wenyewe basi kuna watu fulan wanakuja pindua meza. V for vendetta
 
Jiwe alipokufa mlifurahi na kusema eti bora baba aende mama alee sasa someni hiyo number!
Jiwe alikuwa anakula na watu wake wachache tu. Na alikuwa kiongozi mbaya sana. Huyu anakula na watu wengi wakiwemo machawa na viongozi wengine. Lakini na yeye hajui hata anaongoza nini au kusimamia nini.
 
Hatakama nchi hii ina viongozi wezi tusiowapenda lkn tuache personal attack, mnauhakika gani hizo pesa zimetokana na kodi zenu? Na kuna wengine eti walipoona hiyo video wamelia kwa uchungu, uchungu gani huo mbona tunapenda kuhusisha hisia mahala pa kutumia akili?

Utajiri wa hawa wanasiasa wezi na vibaka haiwafanyi watu wao wa karibu kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao wala kula bata kwao eti wajifiche kisa kukuogopa mtanzania utajisikia vipi.

NARUDIA TENA, hii video wala haihusiani na kodi zetu tuache kulalamika pasipo hitaji kulalamika, kodi zetu ni kweli zinaliwa lakini hazihusiani na hao watoto wa vigogo ambao wana mabiashara ya kila aina, vitega uchumi vya kila aina, na wengine wamezaliwa ktk bloodline ya kitajiri hivyo pesa kwao zipo hata kabla ya wazazi wao kuingia ktk siasa, sasa watu wa aina hii tunawahusisha vipi raha zao na Kodi zetu kupotea?

Tuache roho mbaya ya kishetan kuchukia raha za wengine, kuhonga mamilioni kwa watu aina hiyo kwao kawaida pengine hata zaidi, na haihusiani na wizi wa Kodi zetu.

Nchi imeoza na CCM kiujumla ina wezi, lkn tusiingilie mipaka ya hao ndugu zao ambao hata hatuwajui vyanzo vyao vya pesa zao na kuanza kulalamika kipumbavu.

Masikini wana roho mbaya
Vegetable bana! Your level of stupidity is incomprehensible. Takataka!
 
Jiwe alikuwa anakula na watu wake wachache tu. Na alikuwa kiongozi mbaya sana. Huyu anakula na watu wengi wakiwemo machawa na viongozi wengine. Lakini na yeye hajui hata anaongoza nini au kusimamia nini.
mimi ninachujua, jiwe ndiye alifaa kuongoza nchi ya kipuuzi kama hii na wala hakuwa anakula na mtu kwa sababu ameondoka unaona familia yake hawatesi mtandaon! Kumbuka aliwahi kununua ist kama zawadi kwa mtoto wake! Jamaa alikuwa bahili ile hatari!.
 
Hii nchi inahitaji utawala wa mkono wa Chuma, mtu kama ilivyokuwa kwa JPM sema naye alisamehe sana wakamuwahi.

Kwasasa namuona PolePole yupo kwnye hyo misingi pia, Tundulissu pia naona anafaa maana wote wana roho zile za ujasiri, kusimama kwenye haki hata kwenye mazingira hatarishi kama ya sasa.
mimi ninachujua, jiwe ndiye alifaa kuongoza nchi ya kipuuzi kama hii na wala hakuwa anakula na mtu kwa sababu ameondoka unaona familia yake hawatesi mtandaon! Kumbuka aliwahi kununua ist kama zawadi kwa mtoto wake! Jamaa alikuwa bahili ile hatari!
 
Hii nchi inahitaji utawala wa mkono wa Chuma, mtu kama ilivyokuwa kwa JPM sema naye alisamehe sana wakamuwahi.

Kwasasa namuona PolePole yupo kwnye hyo misingi pia, Tundulissu pia naona anafaa maana wote wana roho zile za ujasiri, kusimama kwenye haki hata kwenye mazingira hatarishi kama ya sasa.
we! Eti nani?Polepole?Tundulisu? Yaani tuombee mungu ili awapende zaidi akina mama kilemba,mwanayanga na hao wawili ili amlete kiongozi mwenye uchungu na hili taifa!
 
Hatakama nchi hii ina viongozi wezi tusiowapenda lkn tuache personal attack, mnauhakika gani hizo pesa zimetokana na kodi zenu? Na kuna wengine eti walipoona hiyo video wamelia kwa uchungu, uchungu gani huo mbona tunapenda kuhusisha hisia mahala pa kutumia akili?

Utajiri wa hawa wanasiasa wezi na vibaka haiwafanyi watu wao wa karibu kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao wala kula bata kwao eti wajifiche kisa kukuogopa mtanzania utajisikia vipi.

NARUDIA TENA, hii video wala haihusiani na kodi zetu tuache kulalamika pasipo hitaji kulalamika, kodi zetu ni kweli zinaliwa lakini hazihusiani na hao watoto wa vigogo ambao wana mabiashara ya kila aina, vitega uchumi vya kila aina, na wengine wamezaliwa ktk bloodline ya kitajiri hivyo pesa kwao zipo hata kabla ya wazazi wao kuingia ktk siasa, sasa watu wa aina hii tunawahusisha vipi raha zao na Kodi zetu kupotea?

Tuache roho mbaya ya kishetan kuchukia raha za wengine, kuhonga mamilioni kwa watu aina hiyo kwao kawaida pengine hata zaidi, na haihusiani na wizi wa Kodi zetu.

Nchi imeoza na CCM kiujumla ina wezi, lkn tusiingilie mipaka ya hao ndugu zao ambao hata hatuwajui vyanzo vyao vya pesa zao na kuanza kulalamika kipumbavu.

Masikini wana roho mbaya
Acha uzwazwa wewe. Wamepata wapi hela za kuflex nazo hivyo?
 
Back
Top Bottom