Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Hatakama nchi hii ina viongozi wezi tusiowapenda lkn tuache personal attack, mnauhakika gani hizo pesa zimetokana na kodi zenu? Na kuna wengine eti walipoona hiyo video wamelia kwa uchungu, uchungu gani huo mbona tunapenda kuhusisha hisia mahala pa kutumia akili?

Utajiri wa hawa wanasiasa wezi na vibaka haiwafanyi watu wao wa karibu kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao wala kula bata kwao eti wajifiche kisa kukuogopa mtanzania utajisikia vipi.

NARUDIA TENA, hii video wala haihusiani na kodi zetu tuache kulalamika pasipo hitaji kulalamika, kodi zetu ni kweli zinaliwa lakini hazihusiani na hao watoto wa vigogo ambao wana mabiashara ya kila aina, vitega uchumi vya kila aina, na wengine wamezaliwa ktk bloodline ya kitajiri hivyo pesa kwao zipo hata kabla ya wazazi wao kuingia ktk siasa, sasa watu wa aina hii tunawahusisha vipi raha zao na Kodi zetu kupotea?

Tuache roho mbaya ya kishetan kuchukia raha za wengine, kuhonga mamilioni kwa watu aina hiyo kwao kawaida pengine hata zaidi, na haihusiani na wizi wa Kodi zetu.

Nchi imeoza na CCM kiujumla ina wezi, lkn tusiingilie mipaka ya hao ndugu zao ambao hata hatuwajui vyanzo vyao vya pesa zao na kuanza kulalamika kipumbavu.

Masikini wana roho mbaya
Nyie machawa sijui akili zenu huwa ziko matakoni, yaan muda wote huwa ni kutetea tu kila aina ya maovu tu mbwa nyie..

Haya wewe unayesema hizo hela hapo wanazochezea hao watoto hazitokani na kodi zetu zinazoibiwa na baba yao... hebu tueleze zinazotokana na nini?

Hebu tuambie mbali na kuajiriwa huyu mombo anafanya biashara gani ambayo inampa return kiasi kwamba mpaka pesa zingine anawapa watoto wake wazichezee hivyo? Tueleze ni biashara gani hiyo inampa jeuri ya kuwapa watoto wake maburungutu ya dollar wachezee kiasi hicho?

Halafu unajua hata ethics za mtumishi wa uma kweli wewe namna vile anavyotakiwa kuishi na hasa kwa mtu aliyeshika nafasi muhimu kama huyo mombo?

Unajua unaweza kujiona wewe una akiili kwamba unaangalia mambo kwa objectivity ya hali ya juu kumbe kwa wenye akili timamu ukaonekana ni mpumbavu tu.
 
Au itakua ni moja ya watoto anatetea ufisadi, kanishangaza, mtu unalipwa elfu kumi Kwa mwezi lakini unaishi Maisha ya mtu anaelipwa milion Kwa mwezi, wenye akili Tu ndio watakaoelewa
Huyo mpumbavu anaonekana wala hata sio mnufaika wa ufisadi, bali huyo ni wale wabongo wanaojikutaga wajuaji wakikuta sehemu watu wanajadili jambo fulani kwa uchungu, yeye anajifanya kutofautiana na mawazo ya wengi hili aoneshe superior intelligence.

Yaan akilini mwake anaamini huyo fisadi Mombo na watoto wake wanaonewa sana jinsi wanavyosemwa hapa.
 
Jiwe alikuwa anakula na watu wake wachache tu. Na alikuwa kiongozi mbaya sana. Huyu anakula na watu wengi wakiwemo machawa na viongozi wengine. Lakini na yeye hajui hata anaongoza nini au kusimamia nini.
Ooh sasa hapa ndio nimekupata kwa hiyo kumbe issue ni size ya circle ya wanaufaika wa ufisadi sio?

Kwamba kiongozi ambaye analifisadi taifa huku akila na watu wengi kwako wewe kiongozi huyo ni bora sana na huna tatizo naye kabisa.

Akili zako ni duni sana bwana mdogo, na watu kama wewe ni cancer kwenye taifa hili.

Ndio maana sijawahi kuona ukikemea ufisadi wa serikali ya samia, kumbe kwako wewe ufisadi ni mbaya endapo kama wanaufaika ni wachache sio? Ovyo sana wewe.
 
Fake dollars za kupigia picha mbona zipo tu. Milioni 700 wanabeba kifuani? Halafu wanajipiga picha na kuziweka mtandaoni?? Please hata kama ulifeli la 7 B, basi tumia akili ya kuzaliwa. Chuki kwa matajiri isikufanye mpumbavu
Wewe mzee huwa ni mpumbavv mno nimeshakwambia sana humu uache ujinga unajidhalilisha mbona kuna machawa wenzako kibao tu wenye akili kuna muda huwa wanakaa pembeni kama hawana hoja ya kutetea ufisadi wa maccm?

Haya basi tukubali hizo ni fake dollars, haya zinafanya nini ndani ya nyumba ya mkurugenzi mkuu wa TISS?

Huoni kama hiyo nayo ni kesi nyingine tena nzito kuliko hata ya ufisadi? Au hujui kwamba ukikutwa na pesa bandia zozote zile ni kosa la jinai?

Tatizo hii nchi nyie machawa mmefanya mpaka watawala wa ccm waone wote tuliopo hapa nchini ni wajinga.
 
Huyu Assad kama kweli alikuwa mtetezi wa pesa za watanzania mbona sasa hivi yuko kimya sana?

Mtu mkweli hua habadiliki, angehoji kuhusu mgodi wa makaa ya mawe, tozo zisizo na maana uwanja wa ndege, gharama za bando, umeme, n.k. Vipi kuhusu ahadi ya kuunganisha umeme wa REA Kwa Tsh 27,000 vijijini, imeenda wapi?
Yule Professor Assad alikuwa ni swahiba wa Kikwete, na hata lile sakata la huo ufisadi wa 1.5t kama unakumbuka vizuri alishindwa kufafanua kwa usahihi imepotelea wapi, na ndio sababu ya kuenguliwa na JPM.

Na pia kwa watu waliowahi kufanya nae kazi wanasema huyo Assad ni mdini sana, anaendekeza sana uislamu.. nadhani pengine hii ndio sababu ya kukalia kimya ufisadi unaofanyika awamu hii ya Samia.

Kumbuka maneno ya Balozi Humphrey kuwa wana mtandao walitumia watu wengi sana kumuhujumu JPM.
 
Kingine unajua kuwa watu walitaka kujua manunuzi ya ndege na bei zake jamaa akalihamishia shirika chini ya Ikulu ambapo hakuna ukaguzi,je walijua hili au hulijui?
Jamaa hauoni hata aibu kutunga uongo?

Najua hii ni njia yako ya kujipa relief ya makovu ya kudumu uliyoachiwa na marehemu, ila hebu jaribu kuandika vitu vya kueleweka hili usionekane kama mtu aliyechanganyikiwa.

Kwmba shirika la ndege likawa chini ya Ikulu??? Aisee hebu rudi kwanza ukanywe mkojo wa mama yako samia labda utakuwa ni dawa ya kukutoa ujinga na kukuponya makovu.
 
bora hata umemjibu! Yaani nimeona hamna haja ya kumjibu kwani unaweza kuta yeye ni mmoja wa wale waliotimuliwa kisa vyeti feki asa unategemea atamsifia?
Huyo mpumbavu Allency comments zake nyingi humu yaan karibu zote huwa ni za kupambana na Magufuli, yaan yeye akija kwenye mada kama hii huwa anawinda comments ambazo zinamsema JPM kwa mazuri kisha anaanza kupingana nazo.

Huyu ni wale ambao waliachwa na psychological trauma ya milele baada ya kutumbuliwa na Magu..!

Imagine hapo amekaza pumbu anaongelea ufisadi uliofanyika enzi za Magu, ila hakuna comment yake hata moja kwenye huu uzi ambayo ameongelea ufisadi wa Samia.

Yaan ni kama vile ameshiriki hii mada kujustify ufisadi wa samia na genge lake kwa kuonesha hata magufuli naye alikuwa ni wale wale tu.

Huyu ni moja ya watanzania wenye akili ndogo sana.
 
Yule Professor Assad alikuwa ni swahiba wa Kikwete, na hata lile sakata la huo ufisadi wa 1.5t kama unakumbuka vizuri alishindwa kufafanua kwa usahihi imepotelea wapi, na ndio sababu ya kuenguliwa na JPM.
Kama Magu angekuwa fisadi kweli, wangemchana live kwasababu walimchukia sana.

Cha ajabu fisadi Kikwete ndo wa kwanza kujiweka kimbelembele kwenye legacy ya Magu. Mpaka akaweka sahihi kwenye ile tunnel ya kilosa, ambayo Magu aliweka yake kwanza, yaani kutembelea nyota za wengine tuu.

Kalazimisha waweke majina kwenye vituo ili jina lake liwepo, hovyo sana yule mzee.
 
TRA badala ya kukusanya kodi ili zipate kwenda kutatua matatizo ya wananchi, nimehuzunika sana kuona wanafanya upumbavu kiwango cha lami! Unakusanya trilioni 30 halafu bado miaka 50 ya uhuru kuna watoto wanasoma shule hazina matundu ya choo? Like seriously!? TRA inanunua timu ya mpira? Yaani kwenda kupeleka maendeleo ya miradi ya maji vijijini wao kununua timu ndio kipaumbele?

IPO SIKU WAJUKUU ZETU WATATUULIZA MASWALI MAGUMU SANA KWA NAMNA HII NCHI INAVYOENDESHWA!
 
Very good point.
Huyo ***** ukifuatilia comments zake humu jamvini, anaonekana tu baada ya kutolewa na JPM kwenye ulaji amekosa kabisa ujanja wa kurudi kwenye system, kwa hiyo amebaki kufuga hasira tu kwa JPM, huku akijificha kwenye hoja dhaifu ya ufisadi. Mjinga sana huyu dogo.
 
TRA badala ya kukusanya kodi ili zipate kwenda kutatua matatizo ya wananchi, nimehuzunika sana kuona wanafanya upumbavu kiwango cha lami! Unakusanya trilioni 30 halafu bado miaka 50 ya uhuru kuna watoto wanasoma shule hazina matundu ya choo? Like seriously!? TRA inanunua timu ya mpira? Yaani kwenda kupeleka maendeleo ya miradi ya maji vijijini wao kununua timu ndio kipaumbele?

IPO SIKU WAJUKUU ZETU WATATUULIZA MASWALI MAGUMU SANA KWA NAMNA HII NCHI INAVYOENDESHWA!
Kumbe na wewe ulijiuliza hilo swali kama mimi, inakuwaje TRA wanafuja pesa kipumbavu vile? Hivi kulikkuwepo na haja gani ya taasisi kudhamini shindano? Kwamba TRA wanatafuta popularity hili watu waipende au??

Bila shaka ile ilikuwa ni idea ya Mwigulu Nchemba
 
Hawa jamaa pamoja na Kulamba Asali basi wajitahidi walau wafanye Vitu tangible vya Kuonekana Mtaani, Mana Deni linazidi Kupaa na Hakuna Progress ya Vitu tangible streets,

Magu alikuwa Mwizi kwa kiasi na Circle yake ya wachache ila still alijitahidi walau fedha za Maendeleo kufanya Vitu tangible ndio mana Kila Wilaya Ina mradi mzuri Inaonekana

Achana na madarasa ya UVIKO ambayo yalijengwa Ili justify Matumizi ya Ile Pesa ambayo nyingi haikuwa allocated kwenye intended needs
 
Kumbe na wewe ulijiuliza hilo swali kama mimi, inakuwaje TRA wanafuja pesa kipumbavu vile? Hivi kulikkuwepo na haja gani ya taasisi kudhamini shindano? Kwamba TRA wanatafuta popularity hili watu waipende au??

Bila shaka ile ilikuwa ni idea ya Mwigulu Nchemba
Katika watu ambao sijawahi kuwaamini kabsa ji Mwigulu 😔 yule hanaga nia nzuri kabisa
 
Samia ana hasara gani na nchi ya Tanganyika
Na sisi tutafute gepu kule visiwani tukachote mapesa ya uchumi wa buluu
 
Back
Top Bottom