Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Samahani sana lakini kwa hili kama nitakuwa nimevuka mipaka. Jeshi letu, usalama wa taifa na majeshi yote ni wapumbavu hawatakiwi hata kutembea kikakamavu barabarani. Yaani nchi inaibiwa yapo tu yanatoa macho.

Nisamehewe sana na nazipenda kucha zangu tafadhali mnisamehe ila mnafanya upumbavu na ujinga mkubwa sana kuwalinda wezi wa rasilimali zetu watanzania.
 
Wanatudharau saana wabongoland, ila yatakwisha kama sio sisi, badi kizazi kijacho, maana kadri unavyozidi mzingua paka, ndio anavyonyanyua mkia..
Ukiangalia barabara za Dar khasa zile kubwa zimeachwa makusudi ili watanganyika wale vumbi la kutosha ambalo linaathiri afya zao.

Barabara za huko ndani ndo zimeachwa ili wenye vibajaji na modaboda wapige biashara zao.

Na barabara nyingi hazina taa za barabarani ili kutoa fursa kwa wakabaji kupiga kabali raia na kuwapora mali zao.

Kila kitu ni systematic kuwafanyizia watanganyika.
 
Wanatudharau saana wabongoland, ila yatakwisha kama sio sisi, badi kizazi kijacho, maana kadri unavyozidi mzingua paka, ndio anavyonyanyua mkia..
Wabongoland wengi ni umaskini ndo umechangia kuwa na matatizo ya afya ya akili kushindwa kudadavua mambo kwa kina.

Ule mkutano wa Kawe ambao raisi alikwenda kuzindua nyumba za bei nafuu watu wengi kupitia wajumbe wa nyumba 10 waliambiwa ni lazima wafike kule na kila mjumbe wa nyumba 10 alipewa baiskeli ili imrahisishie mambo yake kwenye eneo lake.

Mwisho wa siku watanganyika walijazana kwenye vibasi na kuelekea eneo la tukio Kawe, kwa lazima.

Baadae kulikuwa na mdundiko na pilau, baada ya hapo kwisha kazi.
 
Hela hii ni kwa ajili ya kuhakikisha hakuna maguu ya mtu yeyote kukanyaga barabarani kudai haki lazima wasilibwe!

Mpaka sasa tunaongea wakuu wa idara kadha wa kadha hawafanyi kazi kwa ufanisi walk bali wa maelekezo ya boss wao🥺🥺🥺
 
Ni bora watembee vidole juu tu kama kina zuchu, tujue moja, sio kujiita wanajeshi halafu wachumba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…