zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kipindi CHADEMA wanapinga ukuta wa Mererani mlikejeli kaingia Samia anasema baada ya ukuti wizi ulizidi kupitia mahandaki!!Nimesoma mara ya kwanza sijaelewa, nikarudia mara ya pili sijaelewa, nikarudia mara ya tatu Ila bado. Wenzetu hamna akili?
Kwenye list ya wezi wa makinikia au majizi kwenye ripoti ya Tanzanite one kuna jina la Chadema yoyote?Siyo mmoja tu: Mbowe, Lissu, na wengineo wote.
Walioficha kifo Cha mungu wako JPM ni CHADEMA?? Ila baada ya kifo mkaanza kudai eti Lissu kahusika!! HahahahhaKila Mtanzania anazo.
Nguvu kubwa mno ya kidola imeshatumika mpaka Sasa kukivuruga hiki chama, hiki chama hakijawahi kushika dola Ila kinaogopeka mno na watawala.Nchi hii inaongozwa na CCM, ni kwa nini basi kila lawama ya kukwama kwa mambo wanatupiwa CHADEMA? Au CCM wanaona wanaostahili kuongoza nchi yetu ni CHADEMA?
Utaelewa vipi na hizo pombe zako za kienyeji ulizo kunywa mchana wa jua kali? Kale kwanza chakula cha mchana ili akili yako ikae sawa.Nimesoma mara ya kwanza sijaelewa, nikarudia mara ya pili sijaelewa, nikarudia mara ya tatu Ila bado. Wenzetu hamna akili?
safi sana tena sana bibi! wapi hapa?
Ndugu yangu, CCM ndio mabeberu.Nakumbuka Kipindi Mbowe anasema chanjo iletwe mlisema anatumika na mabeberu, kaingia Samia kuanzia bunge mpaka mawaziri na serikali kwa ujumla Waka support Hilo suala tena ilifika hatua waliopinga chanjo wakasimamishwa teuzi!!
Kwahiyo zile lawama za CHADEMA kwenye chanjo zilikua na faida Gani kama Wana CCM na nyie mmesupport?? Au tukubaliane CCM inatumika na mabeberu?
Muda huu atakuwa yupo RAU Madukani anakunywa mbege. Hivyo hawezi kujibu chochote.johnthebaptist umesikia hiyo?
Ndo ushangae, hata nyongeza hewa ya mishahara wanalaumiwa Chadema😀Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikiliaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano;
Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la Katiba kupinga jinsi Bunge hilo lilivyokuwa linaendeshwa.
Na mchakato wa kupata Katiba mpya ukaishia hapo. Lakini wabunge waliobakia walikuwa wengi na walipitisha Katiba Pendekezwa. Kwa nini mchakato wa kupiga kura ya maoni ili kuipitisha hiyo Katiba ulifutiliwa mbali?
Huo ni mfano mmoja tu, lakini ukiangalia hata ile marufuku ya kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ililengwa CHADEMA. Hoja iliyotolewa wakati ule na hata sasa ni kwamba mikutano hiyo inazuia watu wasifanye kazi.
Nchi hii inaongozwa na CCM, ni kwa nini basi kila lawama ya kukwama kwa mambo wanatupiwa CHADEMA? Au CCM wanaona wanaostahili kuongoza nchi yetu ni CHADEMA?
Vibaraka wa mabeberu walisema tutashitakiwa MIGA, mpaka sasa tunadunda na hakuna case yoyote.Nakumbuka Kipindi Mbowe anasema chanjo iletwe mlisema anatumika na mabeberu, kaingia Samia kuanzia bunge mpaka mawaziri na serikali kwa ujumla Waka support Hilo suala tena ilifika hatua waliopinga chanjo wakasimamishwa teuzi!!
Kwahiyo zile lawama za CHADEMA kwenye chanjo zilikua na faida Gani kama Wana CCM na nyie mmesupport?? Au tukubaliane CCM inatumika na mabeberu?
Wakala wa mabeberu ni aliyekuwa anaunga mkono mabeberu na masilahi yao over Tanzania and Tanzanians.Kwenye list ya wezi wa makinikia au majizi kwenye ripoti ya Tanzanite one kuna jina la Chadema yoyote?
Hivi unafahamu makamu wa Rais wa BARRICK Tanzania mlimpa ubunge wa makambako??
Alafu ndio mnajiuliza wakala wa Beberu ni yupi?
JPM ni shujaa wa Afrika.Walioficha kifo Cha mungu wako JPM ni CHADEMA?? Ila baada ya kifo mkaanza kudai eti Lissu kahusika!! Hahahahha
Kwamba hao walioficha ndio wazalendo eeh?? Ila aliyetoa taarifa kuhusu ugonjwa wake ndio mkamshambulia eti katumwa na Beberu!!
Ukimrudishia mtu anayekudai kitu chake, unataka akushitaki ili iweje?Vibaraka wa mabeberu walisema tutashitakiwa MIGA, mpaka sasa tunadunda na hakuna case yoyote.
Halafu imejulikana kwamba kumbe ni muosha magari tu wa viongozi wa lumumba , hana lolote yaani !!
Chuki hupofusha. johnthebaptist ana chuki sana na CHADEMA. Ingekuwa imo ndani ya uwezo wake CHADEMA ingekuwa tayari imefutiliwa mbali.
Kulikuwa na umuhimu Gani wa hiyo picture kwenye avatar Yako?Kwa kuwa ni vibaraka wa mabeberu, mafisadi, majangiri na wauza madawa ya kulevya.
CHADEMA inalaumiwa ili ibomolewe mafisadi ccm waendelee kulamba asali taratibu,lengo ni kuidhoofisha CHADEMA hakuna sababu nyingine.Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano;