Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

Hakuna mtu anayeilaumu Chadema wakati nchi iko kwenye mikono salama.
Mwenyekiti Mbowe katulia baada ya kuona mwelekeo wa nchi ni ule ambao kila Mtanzania anautaka
 
Kwa kuwa ni vibaraka wa mabeberu, mafisadi, majangiri na wauza madawa ya kulevya.
Yule mbunge aliyekamatwa na bunduki nyingi tu ni wa chadema, yule mwingine Lori lake liaozea polisi ni chadema, au mchana ni Ccm usiku ni chadema?
 
Inakusaidia nini kuandika kitu unachojua wazi kuwa ni uongo. Unaidanganya nafsi yako halafu unajifariji. Ujinga huu!
Mjinga ninayejua ukweli au uliyejazwa propaganda na ukawaamini?
 
Yule mbunge aliyekamatwa na bunduki nyingi tu ni wa chadema, yule mwingine Lori lake liaozea polisi ni chadema, au mchana ni Ccm usiku ni chadema?
Utueleze wewe uliyeshindwa hata kuwataja kwa majina na ID yako fake.
 
Kwa kuwa ni vibaraka wa mabeberu, mafisadi, majangiri na wauza madawa ya kulevya.
Yaaani hapo hujawataja tu kwa majina Rostam ( ccm), Riz1( ccm) l,Chenge( ccm) na Kinana ( ccm). Kwa hiyo chadema ni vibaraka ws hao niliowataja?
 
Unamaanisha jamaa ni pasco
Pascal Mayalla anaungaunga tu maisha sema ana "Connection" sana ingawa "when time goes by" na"Generation change" zinazidi kupungua. Ila ingawa jina lake linamaanisha njaa kwa Mujibu wa "Home Boy" wake John Magufuli, Paskali hawezi kufa njaa mpaka mwisho wa maisha yake.

johnthebaptist yeye ni mnufaika wa CCM na Mfumo na Pasco hajawahi kufikia "Level" ya Johnthebaptist. Usimchukulie poa Johnthebaptist, maisha yake ni zaidi ya dola 100 kwa siku. HANA SHIDA YA MAISHA kama waganga njaa wengi wa LUMUMBA BUKU SABA.
 
Basi ndie profesa mgae mwenyewe
 
JPM ni shujaa wa Afrika.

Kuhusu kifo kila nafsi itaonja umauti, hata wewe hautaishi milele.
Ndio nakuuliza lawama kwa Lissu alipotangaza kifo Cha JPM zilikua za nini ilihali sahivi mnalialia kuwa JPM kauwawa na Team JK?

Tatizo lenu na JPM mlidhani adui ni CHADEMA yakwapi sasa!! Hao hao CCM ndio wanaponda Kila alichofanya.
 
Wakala wa mabeberu ni aliyekuwa anaunga mkono mabeberu na masilahi yao over Tanzania and Tanzanians.
Mwanyika alikua VP wa Hao mabeberu vipi mkampa Ubunge? Au kwenye ripoti ya makinikia kuna jina la CHADEMA yeyote??

wafuasi wa JPM akili sijui mliacha wapi, amkeni adui yenu ni CCM sio CHADEMA.
 
Vibaraka wa mabeberu walisema tutashitakiwa MIGA, mpaka sasa tunadunda na hakuna case yoyote.
We naye akili hauna, kabudi alisema mazungumzo yalihusisha ACACIA/BARRICK kuondoa kesi zote mahakamani!!

Soma hapo ingawa najua lugha ni changamoto
 
Back
Top Bottom