Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

Ndio nakuuliza lawama kwa Lissu alipotangaza kifo Cha JPM zilikua za nini ilihali sahivi mnalialia kuwa JPM kauwawa na Team JK?

Tatizo lenu na JPM mlidhani adui ni CHADEMA yakwapi sasa!! Hao hao CCM ndio wanaponda Kila alichofanya.
JPM aliuwawa?
 
Mwanyika alikua VP wa Hao mabeberu vipi mkampa Ubunge? Au kwenye ripoti ya makinikia kuna jina la CHADEMA yeyote??

wafuasi wa JPM akili sijui mliacha wapi, amkeni adui yenu ni CCM sio CHADEMA.
Tulishitakiwa MIGA?
 
Pengine hunijui vizuri
Kwa comments zako tu unaonekana Una IQ ndogo sana, sidhani hata Una Elimu walau ya form 4!!

Na wajinga kama nyie ndio mtaji wa CCM, yaani makinikia wametaja Wana CCM 20 alafu jitu linasema Lissu ndio alitumika na mebeberu kwenye makinikia!!

Kuna watu mnakera sana
 
JPM aliuwawa?
Kuna post kwenye Uzi wa Mama Samia ule wewe ndio umedai hivyo sasa unachobisha ni nini!!!

Lawama kwa Lissu sahivi tena lawama kwa JK.... kwanini msihoji Majaliwa au Bashiru walikua wapi kusema JPM alipokua anaugua??

Mnasaka adui asiyehusika huku CCM inafanya yake!!!
 
Kwa comments zako tu unaonekana Una IQ ndogo sana, sidhani hata Una Elimu walau ya form 4!!

Na wajinga kama nyie ndio mtaji wa CCM, yaani makinikia wametaja Wana CCM 20 alafu jitu linasema Lissu ndio alitumika na mebeberu kwenye makinikia!!

Kuna watu mnakera sana
Huna elimu wa ubavu wowote wa kushindana na mm kwenye lolote
 
Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano;

Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la Katiba kupinga jinsi Bunge hilo lilivyokuwa linaendeshwa.

Na mchakato wa kupata Katiba mpya ukaishia hapo. Lakini wabunge waliobakia walikuwa wengi na walipitisha Katiba Pendekezwa. Kwa nini mchakato wa kupiga kura ya maoni ili kuipitisha hiyo Katiba ulifutiliwa mbali?

Huo ni mfano mmoja tu, lakini ukiangalia hata ile marufuku ya kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ililengwa CHADEMA. Hoja iliyotolewa wakati ule na hata sasa ni kwamba mikutano hiyo inazuia watu wasifanye kazi.

Nchi hii inaongozwa na CCM, ni kwa nini basi kila lawama ya kukwama kwa mambo wanatupiwa CHADEMA? Au CCM wanaona wanaostahili kuongoza nchi yetu ni CHADEMA?
Usiwe mwepesi kupoteza kumbukumbu;

1. Hata KESI ya ugaidi wa Mbowe alitupiwa lawama marehemu.

2.Kupanda bidhaa Bei sababu ni vita Ukraine .

3. Kudai HAKI Ngorongoro walijibiwa kuwa ni watu Kutoka Nchi Jirani ndo Chanzo.

SOLUTION:
RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uendelee na Maboresho kdg.

Ni Ile RASIMU kabla haijachakachuliwa na kuwa KATIBA PENDEKEZWA.

Hatimaye tupate Katiba mpya Kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Ameeeen
 
Huna elimu wa ubavu wowote wa kushindana na mm kwenye lolote
Elimu na ubavu unaonekana tu kwenye maandishi. Hata credibility yangu tu na Yako humu JF zinalingana?

Tatizo mnapenda kujitunisha humu coz Una fake ID huko nje naamini we ni hoehae mmoja tu hata Lumumba hawakutambui. Wenye Hela na Elimu huwa hawatoki mishipa kuprove Hilo maana liko obvious.
 
Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano;

Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la Katiba kupinga jinsi Bunge hilo lilivyokuwa linaendeshwa.

Na mchakato wa kupata Katiba mpya ukaishia hapo. Lakini wabunge waliobakia walikuwa wengi na walipitisha Katiba Pendekezwa. Kwa nini mchakato wa kupiga kura ya maoni ili kuipitisha hiyo Katiba ulifutiliwa mbali?

Huo ni mfano mmoja tu, lakini ukiangalia hata ile marufuku ya kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ililengwa CHADEMA. Hoja iliyotolewa wakati ule na hata sasa ni kwamba mikutano hiyo inazuia watu wasifanye kazi.

Nchi hii inaongozwa na CCM, ni kwa nini basi kila lawama ya kukwama kwa mambo wanatupiwa CHADEMA? Au CCM wanaona wanaostahili kuongoza nchi yetu ni CHADEMA
 
Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano;

Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la Katiba kupinga jinsi Bunge hilo lilivyokuwa linaendeshwa.

Na mchakato wa kupata Katiba mpya ukaishia hapo. Lakini wabunge waliobakia walikuwa wengi na walipitisha Katiba Pendekezwa. Kwa nini mchakato wa kupiga kura ya maoni ili kuipitisha hiyo Katiba ulifutiliwa mbali?

Huo ni mfano mmoja tu, lakini ukiangalia hata ile marufuku ya kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ililengwa CHADEMA. Hoja iliyotolewa wakati ule na hata sasa ni kwamba mikutano hiyo inazuia watu wasifanye kazi.

Nchi hii inaongozwa na CCM, ni kwa nini basi kila lawama ya kukwama kwa mambo wanatupiwa CHADEMA? Au CCM wanaona wanaostahili kuongoza nchi yetu ni CHADEMA?
Kwa mtazamo wangu,inawezekana CHADEMA au vyama pinzani kwa kujali kustahili lawama kwa kukwama kwa baadhi ya mambo kwani wao ndio wapinzani na wanachotakiwa ni kuipa challenges serikali wao kama wapinzani
 
L

And why

And kwann Chadema?.Kwa sababu tunapoongelea wapinzani, mpinzani mkubwa wa CCM ni CHADEMA hili lilijizihirisha kwenye chaguzi zilizopita
 
Elimu na ubavu unaonekana tu kwenye maandishi. Hata credibility yangu tu na Yako humu JF zinalingana?

Tatizo mnapenda kujitunisha humu coz Una fake ID huko nje naamini we ni hoehae mmoja tu hata Lumumba hawakutambui. Wenye Hela na Elimu huwa hawatoki mishipa kuprove Hilo maana liko obvious.
Hilo ndilo tatizo la watu humu JF. Wanasema mambo yasiyofaa kwa kuwa tu wanatumia majina bandia.
 
Back
Top Bottom