Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

CCM lazima wajue kwamba mwisho wa ubaya ni aibu siku tukishika Dola tutakuwa tunawacheki tu na kamwe hatutalipisha kisasi kwa yote waliyotutendea.

Sana sana watakuwa wanakuja kutubomu hela ya mboga nasi bila hiana tutakuwa tunawapa visenti.
 
Kwa kuwa ni vibaraka wa mabeberu, mafisadi, majangiri na wauza madawa ya kulevya.
Ambao hao mabeberu ni washirika wazuri wa Serikali ya CCM, hao mafisadi ni wanachama wa CCM, wauza unga wote wanajificha kwenye nguo za kijani....
 
Unamaanisha jamaa ni pasco
 
Kama hujaelewa,ujue tu udumavu wa akili tokana na lishe duni uliyoipata kutokana na umasikini wa familia yako ndio chanzo.
Unaposema "wenzetu", ni wewe na nani!?
Mbona mleta uzi ni mmoja!!??
Pole sana kwa uzuzu.
Ni pamoja na wewe, mngekua mna akili mngeleta mada za kueleweka
 
Hata hapa sijaelewa. Ni Kama huko chadema mnatolewa kwanza akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…