Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.Nchi inapaa kuelekea chini
Kweli wewe akili yako ni zero.Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.
Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.
Punguzeni kama sio kuacha uhuni
Excellent!!! Hata wachezaji wa kigeni hawapendi kuondoka Tanzania hata kama mikataba yao imemalizika, unadhani wao ni wapumbavu? Muulizeni Morrison, Tambwe , zahera nk kulikoni?Haya ndugu, hakuna nchi yenye unayosema ni Tanzania tu
Excellent!!!
Acha kuongopa ndugu,Kwa rasilimali tulizonazo tulipaswa kuwa mbali sana.Nyie ndiyo muache uhuni.Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.
Punguzeni kama sio kuacha uhuni
Tatizo la kukurupuka, south africa, misri zimewaacha mbali sana kwenye hayo mamboTuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.
Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya zamani imefungwa na mingine mipya imefunguliwa.
Mirija iliyofungwa ndio chanzo kikuu cha kelele zinazosikika. Aina na ukubwa wa kilele hizo utategemea upana na urefu wa mirija iliyofungwa na watu na idadi yao waliokuwa wanategemea mirija hiyo.
Kumalizia mamiradi yote ambayo aliianziaha marehemu Magufuli kwa wakati na kuanzisha na kumaliza mingine was unexpected kwa mwanagenzi tena mwanamke tena muislamu tena mzanzibar.
Wote tunafahamu kelele zinazosikika Zina ukubwa Gani, ni za aina Gani, ni za akina nani, zinatokea upande gani na Zina harufu Gani.
Wamekwama, Sasa wanataka kuwachochoe askari ili wafanye jambo, maana wao wameshindwa na kukwama kwakuwa wananchi hawawaelewi.
Tunafahamu na tunawajuwa, songa mbeleen tuko nyuma yako kwa kukuwa tunawajuwa. Ukishajua jina la mbwa wao nusu ya kazi imekwisha. Bandari ndilo lililokuwa rija lao kuu kupita mamirija yao yooote, umeliziba ndindindi.
Nigeria. Morocco, Kenya, SA, Namibia n.k. Kupokea wakimbizi ni kutokana na kutokuwa na amani nchi za jirani tunazopakana nao.Taja nchi ya Afrika ambayo Ina mtandao mkubwa wa umeme, maji, shule, zahanati, barabara za lami, scheme za umwagili. train ya umeme, madaraja marefu na wakimbizi walioikimbia vita kwao.
Punguzeni kama sio kuacha uhuni
Unadhani Tanzania ndiyo tu yenye rasilimali nyingi AAcha kuongopa ndugu,Kwa rasilimali tulizonazo tulipaswa kuwa mbali sana.Nyie ndiyo muache uhuni.
Ni vema umezitaja Misri na South Africa kama kipimo cha Tanzania kwa mtandao wa huduma. Kuitaja Rwanda kwenye vipimo ni kuikosea heshima Tz. Maana bajeti yetu ya ulinzi inatisha kusambaza barabara Rwanda nzima.Tatizo la kukurupuka, south africa, misri zimewaacha mbali sana kwenye hayo mambo
Na hizo ninchache tu, rwanda anakuja kwa kasi mno
Level ambazo ambazo hizo nchi zipo kwa sasa ni wanatafuta tech advancement kurahisisha kazi
Wakati tz bado haina shule za kuelewe maeneo yote, bado inahangaika na vyoo, bado huduma za afya hazijafika kote.
Njoo na facts ,ujibiwe kwa facts