Nchi inapaa, kelele lazima zitasikika tu, mitano tena

Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.

Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya zamani imefungwa na mingine mipya imefunguliwa.

Mirija iliyofungwa ndio chanzo kikuu cha kelele zinazosikika. Aina na ukubwa wa kilele hizo utategemea upana na urefu wa mirija iliyofungwa na watu na idadi yao waliokuwa wanategemea mirija hiyo.

Kumalizia mamiradi yote ambayo aliianziaha marehemu Magufuli kwa wakati na kuanzisha na kumaliza mingine was unexpected kwa mwanagenzi tena mwanamke tena muislamu tena mzanzibar.

Wote tunafahamu kelele zinazosikika Zina ukubwa Gani, ni za aina Gani, ni za akina nani, zinatokea upande gani na Zina harufu Gani.

Wamekwama, Sasa wanataka kuwachochoe askari ili wafanye jambo, maana wao wameshindwa na kukwama kwakuwa wananchi hawawaelewi.

Tunafahamu na tunawajuwa, songa mbeleen tuko nyuma yako kwa kukuwa tunawajuwa. Ukishajua jina la mbwa wao nusu ya kazi imekwisha. Bandari ndilo lililokuwa rija lao kuu kupita mamirija yao yooote, umeliziba ndindindi.
Ingekuwa heri sana Shekhe ungeandika kuhimiza watu kumjua Mnyeez Mungu na siyo kupandikiza chuki kwa sababu hiyo inamaana na wewe unapata thwawabu

Vinginevyo, ulichoandika kinaakisi jinsi ulivyo

Hivi kwa sasa, wewe Watanzania unawaonaje?
 
Sorry, Unamawazo finyuuu mmnooo dah pole!!
Kama ulipita shule yoyote pole Kwa walimu wako pia duuh!!
Bila kusahau ndugu na jamaa wape poleyangu ooweeh!!
Pole Kwa watanzania wote pia nimbaya sana kukosa Utu na Akili!!
Chamsingi jua kama tunajua zaidi yenu. Majina ya mbwa na wamiliki wao tunawafahamu pia. Sisi tuliozunguuka East Africa, Sadc, Ulaya, Asia na Marekanani tunafahamu dunia inakwendaje, mazuri na vikwazo ni vipi. Mjinga hawezi kuzuka na kusema awamu ya sita hali ya Tanzania ni mbaya sana sana sana sana kupindukia halafu tukakukubalia kiboyaboya.

Sisi tunafahamu pia kunguru hanaga kibyongo, ukiona ana kibyongo ameinama anaokota kitu. Na ukiona mbwa anakubwekea sana ujue bwana wake hayuko mbali na alipo.
 
Ingekuwa heri sana Shekhe ungeandika kuhimiza watu kumjua Mnyeez Mungu na siyo kupandikiza chuki kwa sababu hiyo inamaana na wewe unapata thwawabu

Vinginevyo, ulichoandika kinaakisi jinsi ulivyo

Hivi kwa sasa, wewe Watanzania unawaonaje?
Chuki anayo yule anaeyachochea majeshi yamuunge mkono utumbo wake baada ya wao kukwama. Mimi ni mojomba wangu mwindaji, alipotea miezi 4 hatujui aliko, kumbe aligongwa na nyoka porini akafa porini. Tukaja kuambulia viatu na mkanda wa suruali yake nguo zimeliwa na mchwa. Nasisi tungesema ametekwa na serikali si tungepata dhambi? Au dhambi ni ipi?
 
Chief, kugongwa na nyoka kwa uncle wetu hakuhalalishi kutokuwepo utekaji
 
Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.

Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya zamani imefungwa na mingine mipya imefunguliwa.

Mirija iliyofungwa ndio chanzo kikuu cha kelele zinazosikika. Aina na ukubwa wa kilele hizo utategemea upana na urefu wa mirija iliyofungwa na watu na idadi yao waliokuwa wanategemea mirija hiyo.

Kumalizia mamiradi yote ambayo aliianziaha marehemu Magufuli kwa wakati na kuanzisha na kumaliza mingine was unexpected kwa mwanagenzi tena mwanamke tena muislamu tena mzanzibar.

Wote tunafahamu kelele zinazosikika Zina ukubwa Gani, ni za aina Gani, ni za akina nani, zinatokea upande gani na Zina harufu Gani.

Wamekwama, Sasa wanataka kuwachochoe askari ili wafanye jambo, maana wao wameshindwa na kukwama kwakuwa wananchi hawawaelewi.

Tunafahamu na tunawajuwa, songa mbeleen tuko nyuma yako kwa kukuwa tunawajuwa. Ukishajua jina la mbwa wao nusu ya kazi imekwisha. Bandari ndilo lililokuwa rija lao kuu kupita mamirija yao yooote, umeliziba ndindindi.
Na hasa kwenye hilo la Bandari kwa kweli Mama amechoma chaka lao lazima mlio usikike
 
Kweli wajinga nao huzeeka!

Kwahiyo kuuwa watu kama kina mzee Kibao na watu kutaka haki itendeke ndio mirija kukatwa?
 
Chamsingi jua kama tunajua zaidi yenu. Majina ya mbwa na wamiliki wao tunawafahamu pia. Sisi tuliozunguuka East Africa, Sadc, Ulaya, Asia na Marekanani tunafahamu dunia inakwendaje, mazuri na vikwazo ni vipi. Mjinga hawezi kuzuka na kusema awamu ya sita hali ya Tanzania ni mbaya sana sana sana sana kupindukia halafu tukakukubalia kiboyaboya.

Sisi tunafahamu pia kunguru hanaga kibyongo, ukiona ana kibyongo ameinama anaokota kitu. Na ukiona mbwa anakubwekea sana ujue bwana wake hayuko mbali na alipo.
Ingekuwa umetembea kidoogo

Ingekuwa una exposure usingekuwa unaandika uzwazwa hivi.
Wewe ni mjinga kweli tena nakuhakikishia
 
Chief, kugongwa na nyoka kwa uncle wetu hakuhalalishi kutokuwepo utekaji
Ukiona ndugu Yako ametekwa ujue alikuwa na hadhi ya kutekwa. Mtu kama mm utaniteka unipekeke wapi. Sina hili Wala lile. Sisi hatukudhani mjomba wetu ametekwa kwakuwa hakuwa na hadhi ya kutekwa. Tulidhani tu aliuawa na tembo au amekamatwa na game wardens. Wewe wa kwako unadhani ametekwa kwakuwa unafahamu shughuli zake na tabia yake, wasaidie tu kuwaonya basi.
 
Na hasa kwenye hilo la Bandari kwa kweli Mama amechoma chaka lao lazima mlio usikike
Hahaha kaaakaaa!! Hilo chaka lilikuwa linapitisha mpaka missiles, magendo, makenikia, madini, vifaa visivyolipiwa ushuru na takataka zao nyingi.
 
Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.

Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya zamani imefungwa na mingine mipya imefunguliwa.

Mirija iliyofungwa ndio chanzo kikuu cha kelele zinazosikika. Aina na ukubwa wa kilele hizo utategemea upana na urefu wa mirija iliyofungwa na watu na idadi yao waliokuwa wanategemea mirija hiyo.

Kumalizia mamiradi yote ambayo aliianziaha marehemu Magufuli kwa wakati na kuanzisha na kumaliza mingine was unexpected kwa mwanagenzi tena mwanamke tena muislamu tena mzanzibar.

Wote tunafahamu kelele zinazosikika Zina ukubwa Gani, ni za aina Gani, ni za akina nani, zinatokea upande gani na Zina harufu Gani.

Wamekwama, Sasa wanataka kuwachochoe askari ili wafanye jambo, maana wao wameshindwa na kukwama kwakuwa wananchi hawawaelewi.

Tunafahamu na tunawajuwa, songa mbeleen tuko nyuma yako kwa kukuwa tunawajuwa. Ukishajua jina la mbwa wao nusu ya kazi imekwisha. Bandari ndilo lililokuwa rija lao kuu kupita mamirija yao yooote, umeliziba ndindindi.
Upo na ufahamu toka awamu ya kwanza bado upo nyuma ya keyboard?! Aibu gani hii nchi hii.
 
Kama unawapa mitano tena vilaza na matapeli sawa. Lakini kama uko sawa sawa kichwani huwezi chagua kiongozi kama huyo ambaye hata hotuba yake tu huwezi vutiwa kusikiliza.
 
Mzee Kibao kuuwawa watu kupaza sauti kudai haki ndio mirija kukatwa?

Watu kudai tume huru ya uchaguzi ni mirija kukatwa?

Maana anasimama mtu kusema box la kura haliamui mshindi bali anayehesabu na hamuoni kelele zinatokeaje?
 
Bahati mbaya wengi hatufahamiani kwa sura, mwonekano, haiba wala matendo ama kwa majina halisi... Lakini mtu anaweza kuandika kitu na ukapata picha yake kamili ni mtu wa aina gani

Sad! 😭

20250528_160657.png
 
Mimi sikatai "mitano tena" ila ashinde KIHALALI aruhusu Reforms kwenye mfumo wa uchaguzi tena tutampongeza.
 
Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.

Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya zamani imefungwa na mingine mipya imefunguliwa.

Mirija iliyofungwa ndio chanzo kikuu cha kelele zinazosikika. Aina na ukubwa wa kilele hizo utategemea upana na urefu wa mirija iliyofungwa na watu na idadi yao waliokuwa wanategemea mirija hiyo.

Kumalizia mamiradi yote ambayo aliianziaha marehemu Magufuli kwa wakati na kuanzisha na kumaliza mingine was unexpected kwa mwanagenzi tena mwanamke tena muislamu tena mzanzibar.

Wote tunafahamu kelele zinazosikika Zina ukubwa Gani, ni za aina Gani, ni za akina nani, zinatokea upande gani na Zina harufu Gani.

Wamekwama, Sasa wanataka kuwachochoe askari ili wafanye jambo, maana wao wameshindwa na kukwama kwakuwa wananchi hawawaelewi.

Tunafahamu na tunawajuwa, songa mbeleen tuko nyuma yako kwa kukuwa tunawajuwa. Ukishajua jina la mbwa wao nusu ya kazi imekwisha. Bandari ndilo lililokuwa rija lao kuu kupita mamirija yao yooote, umeliziba ndindindi.
Sawa Kavulana,ni haki yako kuwasilisha mawazo yako huru na kwa uhuru
 
Upo na ufahamu toka awamu ya kwanza bado upo nyuma ya keyboard?! Aibu gani hii nchi hii.
Succession plan. Hii ni kusaidia vijana usirubuniwe na mawakala wa ukoloni mamboleo ambao wanazidi kuongezeka Kila kukicha. Tangu lini fisi (mkoloni)akamuonea huruma swala (mwafrika? Waingereza wana ukoo wa kifalme nani anawaambia acheni hiyo sio demokrasia? Kule Marekanani Sasa hivi vyuo vimepigwa marufuku kudahili wanafunzi wa kigeni, nani anawaambia acheni hiyo? Huko huko Marekanani Kuna watu weeeeengi ambao wanaitwa homeless wanalala kwenye magari mabovu, kwenye viambaza vya nyumba za watu na kwenye majengo mabovu na mahema. Nani anawalaumu kwa hilio?

Afrika yote Iko hivihivi tu, tena afadhali ya Tanzania kwa mengi, na huko Malawi, Zimbabwe, Kenya kwenye ukabila, Ethiopia, nk yuko Mama Samia? hakuna rasilimali?

Kupambana na ukoloni mamboleo ni kazi ngumu sana na hatari kwakuwa wanatumia watoto, kaka, baba, mama, wapwa, dada, viongozi wa dini zetu wenyewe kufanikisha ukoloni mamboleo. Vijana wetu hawaijui hiyo mitego yao wanaingia kichwakichwa kwa maneno matamu na pesa kidogo wanazopewa. Katika nchi zetu hizi Kila watu 1,000,000 Kuna vibaraka 5.

Mfano, unadhani Martha Karua na wenzake wanatumia mishahara yao kuzuunguuka, huku na huko Africa mashariki kuunga juhudi za wanaharakati? Jiulize nani analipa nauli, chakula, malazi na gharama za kuzuunguuka?
 
Mnawaita wakoloni, ila wakileta pesa ni wadau wa maendeleo, wawekezaji, watalii.
So called mkoloni kwenu ataendelea kuwa na influence mpaka mwisho wa dunia

Kwanini? Waafrika (si wote) haswa watanzania kujiongoza ni issue. Pale mnapofeli lawama anatupiwa so called mkoloni, lakin hambebi madudu yenu wenyewe.

Bottom line kwa dunia ya sasa mwenye uchumi mkubwa ndie mwenye nguvu, so far unae muita mkoloni ame influence viaja kuanzia kitabia, life style, mitindo, technologia na vingine

Kwamba utazuia influence, umeshachelewa sanaaaaa. Labda ujifungie ndani kama north korea
 
Ingekuwa heri sana Shekhe ungeandika kuhimiza watu kumjua Mnyeez Mungu na siyo kupandikiza chuki kwa sababu hiyo inamaana na wewe unapata thwawabu

Vinginevyo, ulichoandika kinaakisi jinsi ulivyo

Hivi kwa sasa, wewe Watanzania unawaonaje?
Kazi ya kuilinda nchi ni ya Kila mwananchi, maana maofisa wa usalama ni wachache sana. Na wewe Fanya hivyo nakuomba.

Wahenga waliposema mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwanchi hawakuwa vichaa. Hata hivyo nchi yetu inao watoto wetu sana wenye mafunzo mengi sana ya mamna ya kuilinda nchi yao, sisi raia tunawasaidia tu. Mama mkanye mwanao.
 
Mnawaita wakoloni, ila wakileta pesa ni wadau wa maendeleo, wawekezaji, watalii.
So called mkoloni kwenu ataendelea kuwa na influence mpaka mwisho wa dunia

Kwanini? Waafrika (si wote) haswa watanzania kujiongoza ni issue. Pale mnapofeli lawama anatupiwa so called mkoloni, lakin hambebi madudu yenu wenyewe.

Bottom line kwa dunia ya sasa mwenye uchumi mkubwa ndie mwenye nguvu, so far unae muita mkoloni ame influence viaja kuanzia kitabia, life style, mitindo, technologia na vingine

Kwamba utazuia influence, umeshachelewa sanaaaaa. Labda ujifungie ndani kama north korea
Mtu mjinga na maskini anakuwa na demokrasia gani? China wako 1.3b hivi, kama wakiruhusu demokrasia ya Kila mtu aseme na kuamua kutatokea nini? Je, ndani ya familia Yako Kuna demokrasia? Kwenye dini zetu Kuna demokrasia? Mashuleni na vyuoni Kuna demokrasia? Kwanini wakoloni wanasisitiza demokrasia kwenye siasa, chaguzi na utawala tu na sio kwenye dini, familia na mashuleni?
 
Back
Top Bottom