Wewe mbona hujatekwa na kuuawa, una nini, hujafanya nini? Tuache upumbavu kudhani nchi Ina vichaa wanaoteka watu tu Kila Kona. Nchi ni kubwa kuliko mtu mmojammoja.
Nitakuwa wa mwisho kuamini watu woooooote wasioonekana wametekwa na Serikali, tumesahau wale wachuna ngozi, wataka viungo vya albino na nyeti za watu, wanaotembea na wake za watu, wanaodhumiana kwenye biashara na magendo, majangiri na majambazi ambao wakati wa Magufuli walikuwa wananyang"anywa silaha zao kabla hawahawang'anya polisi silaha zao.
Lakini huwezi kusema miongoni mwetu hakuna watu hatari kwa usalama wetu. Ni ujingaujinga tu tunataka kulishwa. Unadhani huko Marekanani kuko shwari kabisa hakuna anaepotea hata mmoja