Sisi watanzania tunaona mabomba ya maji yakisambazwa nchi nzima, au wewe macho Yako hayaoni? Unataka nn zaidi ya maji, umeme, elimu, usalama na maduka?Kuna mawili nayaona kwako. Either wewe ni kipofu huoni yanayoendelea au ni kiziwi
Wapumbavu wanawadanganya hivyo. Hizo rasilimali zilikuwepo hata wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli. Kwanini hawakuulizwa maswali hayo hadi wameondoka? Why now? Hali ya Sasa ni mbaya sana kuliko ya Magufuli na Kikwete na Mkapa na Mwinyi na Nyerere? Nakwambia tunajua sababu za kelele hizi A to ZAcha kuongopa ndugu,Kwa rasilimali tulizonazo tulipaswa kuwa mbali sana.Nyie ndiyo muache uhuni.
kuwa na bajeti na utekelezaji ni mambo mawili tofauti.Unadhani Tanzania ndiyo tu yenye rasilimali nyingi A
Ni vema umezitaja Misri na South Africa kama kipimo cha Tanzania kwa mtandao wa huduma. Kuitaja Rwanda kwenye vipimo ni kuikosea heshima Tz. Maana bajeti yetu ya ulinzi inatisha kusambaza barabara Rwanda nzima.
Kheri maneno haya hayajasemwa na mgalatiaSikilizeni ushauri mzuri kutoka kwa majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya.
View attachment 3348285
Faida ya kuwa na kiongozi aliyechaguliwa na wananchiSikilizeni ushauri mzuri kutoka kwa majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya.
View attachment 3348285
Mnang'ang'nia madaraka ya nini sasa kama toka enzi ya Nyerere mmeshindwa kuuondosha umasikini.Vilaza bhanaWapumbavu wanawadanganya hivyo. Hizo rasilimali zilikuwepo hata wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli. Kwanini hawakuulizwa maswali hayo hadi wameondoka? Why now? Hali ya Sasa ni mbaya sana kuliko ya Magufuli na Kikwete na Mkapa na Mwinyi na Nyerere? Nakwambia tunajua sababu za kelele hizi A to Z
Wacha ujinga kijana hakuna maajabu yoyote usikaririshwe ujinga na kuimbishwa maendeleo yasiyokuwepo! wazungu wapi unajazwa uzwazwa ili ujidai mzalendo uendelee kupigwa!!Pesa za wazungu zinawapofusha macho, hamuoni Kila kitu cha Samia. Hata mabasi yanayosafiri usiku siku hizi hamyaoni.
Wewe mbona hujatekwa na kuuawa, una nini, hujafanya nini? Tuache upumbavu kudhani nchi Ina vichaa wanaoteka watu tu Kila Kona. Nchi ni kubwa kuliko mtu mmojammoja.Wacha ujinga kijana hakuna maajabu yoyote usikaririshwe ujinga na kuimbishwa maendeleo yasiyokuwepo! wazungu wapi unajazwa uzwazwa ili ujidai mzalendo uendelee kupigwa!!
Maisha ya watu ni muhimu zaidi kabla hatujaongelea tabu zetu nyiiingi nyingine niajabu watu wanatekwa na kupoteza na mkuu wa nchi Anabariki Kwa kukaa kimya. Damu ya woote waliokufa itamlilia ardhini yeye na uzao wake daima
Mkuu malizia basi nipate kile ulichotaka kusema,kwahio mwandishi ni mtu wa namna gani kwa mujibu wako?mi sijamuelewa alichokiandika na comment nyingi ni kama ninavyowaza.nchi imepaa?mirija bandarini imezibwa?hua naelewa nondo zakoBahati mbaya wengi hatufahamiani kwa sura, mwonekano, haiba wala matendo ama kwa majina halisi... Lakini mtu anaweza kuandika kitu na ukapata picha yake kamili ni mtu wa aina gani
Sorry, Unamawazo finyuuu mmnooo dah pole!!Wewe mbona hujatekwa na kuuawa, una nini, hujafanya nini? Tuache upumbavu kudhani nchi Ina vichaa wanaoteka watu tu Kila Kona. Nchi ni kubwa kuliko mtu mmojammoja.
Nitakuwa wa mwisho kuamini watu woooooote wasioonekana wametekwa na Serikali, tumesahau wale wachuna ngozi, wataka viungo vya albino na nyeti za watu, wanaotembea na wake za watu, wanaodhumiana kwenye biashara na magendo, majangiri na majambazi ambao wakati wa Magufuli walikuwa wananyang"anywa silaha zao kabla hawahawang'anya polisi silaha zao.
Lakini huwezi kusema miongoni mwetu hakuna watu hatari kwa usalama wetu. Ni ujingaujinga tu tunataka kulishwa. Unadhani huko Marekanani kuko shwari kabisa hakuna anaepotea hata mmoja