Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

Kitaalam, hiki ulichojaribu kufanya ni 'kuhamisha milingoti ya magoli', kuwa tuache kujadili kosa kubwa na tuanze ramli ya kosa dogo.

Kwenye huo mjadala sitakuwepo, na mkimaliza mnijulishe mlivyofanya majumuisho.

Ova
 
Hakuna popote serikali imethibitishwa kuwa ndiyo iliyo mshambulia Lissu ukiacha porojo zake na wenzake
 
Sielewi hata unataka kusema nini ila ngoja nikusaidie; tukubaliane na msimamo wenu wa kijinga kuwaserikali lilitka na bado inatka kumuua Lissu;
  1. je walihitaji msaada wa Tigo kujua Lissuyuko wapi?
  2. Lissu aliposhambuliwa alipelekwa kwenye hospital ya serikali na kutibiwa na madaktari wa serikali; huoni kuwa hii ilikuwa inawapa serikali fursa nzuri ya kumalizia nia yao ovu wakati wanampa huduma ya kwanza na uokozi wa maisha? kwa nini hawakufanya hivyo?
 
Je ni halali kudukua? Tuanzie hapo
Siyo halali tu ila pia ni kwa mjibu wa sheria- yaani sheria inaruhusu. Hata hivyo serikali hakudukua , iliomba ikapewa na kwenye miliki ya hizo taarifa
 
..haruhusiwi kupata taarifa bila COURT ORDER.

..Mahakama inatakiwa iridhike kwamba kuna sababu za msingi za vyombo vya dola kupewa taarifa hizo.
Unadanganywa na Lissu- usimsikilize Lissu wakati wote kuna wakati huwa ni kichaa
 
dhalimu ni baba yako na mamako waliosababisha mimba yako kupatikana vichakani
 
Kwa nini hamtaki uchunguzi ufanyike?
Mkuu twende na mawazo ya Lissu
  1. serikali ikongozwa na makonda ilitaka lissu afeLissu akapigwa risasi akanusurika
  2. watu wa serikali wakampeleka hospital, hospital ya serikali, madaktari wa serikali akiwemo katibu mkuu wa serikali
  3. Lissu akapewa huduma ya dharura ya uokozi wa maisha- NA SERIKALI ILIYOTAKA KUMUUA?!
Ni stahiki yako kumsikiliza Lissu ila ujue mda mwingi Lissu anakuwa kwenye hali ya ukichaa
 
Kwa nini hakulazwa hospitali za Tanzania na badala yake akalazwa nje ya nchi?
 
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Sasa kama serikali tu haitakiwi kuingilia na kujua mawasiliano, wewe ni nani hadi ujulishwe? ๐Ÿ˜‚
 
Sasa kama serikali tu haitakiwi kuingilia na kujua mawasiliano, wewe ni nani hadi ujulishwe? ๐Ÿ˜‚
Mbona mwenywe katujulisha kutembelewa na ABDUL
 
Kwa nini hakulazwa hospitali za Tanzania na badala yake akalazwa nje ya nchi?
Lissu alipelekwa Nairobi na CHADEMA kwa msaada wa mbunge wa CCM TUKI huku mbowe akidandia lift kama muuguzaji mkuu huku nia yake ilikuwa ni kuiba faili la matibabu ya Lissu.
Tunakumbuka wote kuwa Bunge kwa utaratibu walitaka apekekwe Mhimbili na ingelazimika angepelekwa nje kwa matibabu zaidi. CHADEMA WAKAKATAA. hII NDIYO CHANZO CHA SERIKALIKUKOSA NGUVU ZA KULIPA MATIBABU YA LISSU
 
Kwamba hatujui aliposema serekali ilitaka kumuua anamaanisha nini, na serekali iliyompa huduma ya kwanza ni katika mazingira gani? Au unadhani kila mtu huko serekaklini huwa anashiriki uovu?
 
Kwamba hatujui aliposema serekali ilitaka kumuua anamaanisha nini, na serekali iliyompa huduma ya kwanza ni katika mazingira gani? Au unadhani kila mtu huko serekaklini huwa anashiriki uovu?
Kwa hiyo walikuwa wamejipanga kwa kupishana- waovu (wema) waovu (wema). una mchumba?
 
Makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ