Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Wewe ndio mwenye shauku mkuu ,mimi sitaki hata kuwe na mawaziri ,maana watatumia mivieite na kumaliza kodi zetu tu bure! bora iendelee hivi hivi ,mitno tena.
 
Natabiri litakuwa baraza la mawaziri 'waoga' na wapenda sifa za 'kijinga' kumzidi hata aliyewateua.!
 
Ukafanye nini mkuu
mkuu kazi nanukuu " mimi rais ninamanafasi mengi" hivyo mimi kama uvccm raifa sidhani kama takosa hata unaibu😂😂 ukisikia tu comredi Magema Gagi amekuwa naibu waziri wa sera bunge na utumumishi jua tayari nimepata shavu😂😂
 
Sidhani kama ni afya sana/ ni sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Unadhani kupanga Baraza la Mawaziri ni kama kupanga mafungu ya embe?

Tulia kwanza maana najua umebet na una dalili ya kuchaniwa mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…