Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

" Kuteua na kutengua ni kazi ngumu " John Pombe Magufuli
 
Maccm mmechoka kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu ?
Kumkosoa au Kumsema Rais JPM haimaanishi kuwa labda tumemchoka au tunamchukia bali ni Wajibu wetu Kumuonyesha pale anapokengeuka tu.
 
Sidhani kama ni Afya sana / ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri ( Cabinet ) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Hujawahi kua na akili wewe hata siku moja.
 
Hahahaa undeni haraka hiyo serikali yenu ya chama kimoja tuanze kuona matunda ya 28th October......au mnasemaje wakulungwa wenzangu,,,,,waunde haraka tuone....si ndioo!!???
Tunaisubilia kwa hamu wajuba
 
Sidhani kama ni Afya sana / ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri ( Cabinet ) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Nahisi amerudi utotoni kwa kucheza ule mchezo wa ana anadoo katika kufanya uteuzi
 
Katiba ya JMT unasemaje kuhusu uteuzi wa Baraza la mawaziri baada ya Rais kuapishwa. Je ni muda gani ili kuundwa Baraza la mawaziri?
Linasema pale tu Rais akishathibitisha kuwa Wewe mwana CCM Mwenzake Akili zako zimekaa vyema kutoka katika Utahaira wako ndiyo awateue.
 
Sidhani kama ni Afya sana / ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri ( Cabinet ) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Hana shida nao.

Wale ni kama geresha tu, unadhani wanaweza kufanya jambo lolote ambalo sio la kutumwa tumwa kama vibaraka?

Kwanza baraza kitajaa kina halima mdee na kina ester watakuwa manaibu.
Watu kama hao ni kama bendera
 
Back
Top Bottom