Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Asikutanie kabisa huyo, huwa ananileteaga sana visirani, hadi kufoka huwa anafokaHii vita yangu rasmi mbona,,Leo nimemulewa Babalevo Kwa Nini vita ya Diamond huwa inakuwa yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu nisaidie 😂😂😂Ww maliza kabisa huyo lamomy mm nitakua pembeni kama back up[emoji23]
😂😂😂Asikutanie kabisa huyo, huwa ananileteaga sana visirani, hadi kufoka huwa anafoka
Huyo anakuogopa na kukuheshimu sana, kwako hanaga kauli mseme mpaka anyooke
Kwa vile umenikabidhi, ondoa shaka shemeji huyu Niko nae bampa to bampa.. Shemeji wewe unatakiwa ukutunze uendelee kuzisaka na sio kukusababishia visirani anataka watu tushindwe kuenjoy weekend zetu kama hivi kisa utukutu wake! Lamomy naomba utulivuAsikutanie kabisa huyo, huwa ananileteaga sana visirani, hadi kufoka huwa anafoka
Huyo anakuogopa na kukuheshimu sana, kwako hanaga kauli mseme mpaka anyooke
Ahsante sanaKwa vile umenikabidhi, ondoa shaka shemeji huyu Niko nae bampa to bampa.. Shemeji wewe unatakiwa ukutunze uendelee kuzisaka na sio kukusababishia visirani anataka watu tushindwe kuenjoy weekend zetu kama hivi kisa utukutu wake! Lamomy naomba utulivu
😂😂😂😂Kwa vile umenikabidhi, ondoa shaka shemeji huyu Niko nae bampa to bampa.. Shemeji wewe unatakiwa ukutunze uendelee kuzisaka na sio kukusababishia visirani anataka watu tushindwe kuenjoy weekend zetu kama hivi kisa utukutu wake! Lamomy naomba utulivu
Leo unanisemelea unayatoa yote 😂😂😂Ahsante sana
visirani kila mara
🤣🤣🤣🤣🤣Kilatin tunasema"meya kulpa,meya kulpa,maxima kulpa"huku unapiga kifuani....jitulize😂😂😂😂
Nimekosa mimi, Nimekosa mimi, Nimekosa sana
Vitamwisha,anarudi mkoleni huyu😁Ahsante sana
visirani kila mara
Tawile 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Kilatin tunasema"meya kulpa,meya kulpa,maxima kulpa"huku unapiga kifuani....jitulize
Wewe ni kama mimi! Napenda kazi zinazojumuisha safari za mara kwa mara kwenda sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya nchi.US, Canada, UK, Norway, France, Sweden, Germany, Switzerland, South Africa, Congo DR, Egypt, Morocco, Kenya, Nigeria, China, Japan, India, Philippines, Emirates, Oman.
Hapo kuna ambazo nimeshafika na nyingine bado, nchi ambazo natamani kuenda ni nyingi sana zaidi ya 60 ila hizo ndio top 20 yangu napenda sana kusafiri kuliko kitu chochote kile, hakuna kitu sipendi kama kukaa sehemu moja muda mrefu napenda sana exposure
Natamani nipate kazi au niwe na biashara ambayo itanitaka nisafiri mara kwa mara siyo hizi ambazo zinanitaka nikae tu sehemu moja, nikijaliwa uhai na afya nitatimiza ndoto yangu ya kusafiri nchi nyingi duniani, hata kama sitamaliza zote ila naamini nitatimiza pakubwa sana
Tanzania Bara ushaimaliza mikoa yote? Hongera sana mkuu🙏Kwa Tanzanian sijafika Pemba pekee.
Nje ya Tanzania nimefika Kenya, Zambia, Burundi na Dubai.
Natarajia kwenda China kabla mwaka huu kuisha.
Natamani pia kufika Zimbabwe, Malawi, Botswana, Cameroon, Japan, South Korea, Vietnam na Thailand (Bangkok)
Asante chiefTanzania Bara ushaimaliza mikoa yote? Hongera sana mkuu[emoji120]
Asante sana mkuu watu wake vp kwa ukarimu?Maana ww km umefika utakua na mengi ...sio wasumbufu kwa wageniYes mkuu Namibia ipo super, Windhoek jiji dogo ila lipo safi sana, wajerumani waliijenga vema,tembelea pia Katutura township, walvis bay(bandari hii ni mshindani wetu,Dar Port),katima mulilo, Rundu, etc etc ,na nchi ipo peace ya kweli SIO YA LAZIMA
Ungemtumia tu aje aione indian oceanMimi nina rafiki yangu huko aliniambia nimtumie nauli aje Bongo