Nchi kumi za kutembelea katika kipindi cha miaka mitano

Nchi kumi za kutembelea katika kipindi cha miaka mitano

Hii vita yangu rasmi mbona,,Leo nimemulewa Babalevo Kwa Nini vita ya Diamond huwa inakuwa yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asikutanie kabisa huyo, huwa ananileteaga sana visirani, hadi kufoka huwa anafoka

Huyo anakuogopa na kukuheshimu sana, kwako hanaga kauli mseme mpaka anyooke
 
Asikutanie kabisa huyo, huwa ananileteaga sana visirani, hadi kufoka huwa anafoka

Huyo anakuogopa na kukuheshimu sana, kwako hanaga kauli mseme mpaka anyooke
Kwa vile umenikabidhi, ondoa shaka shemeji huyu Niko nae bampa to bampa.. Shemeji wewe unatakiwa ukutunze uendelee kuzisaka na sio kukusababishia visirani anataka watu tushindwe kuenjoy weekend zetu kama hivi kisa utukutu wake! Lamomy naomba utulivu
 
Ahsante sana

visirani kila mara
 
Kwa vile umenikabidhi, ondoa shaka shemeji huyu Niko nae bampa to bampa.. Shemeji wewe unatakiwa ukutunze uendelee kuzisaka na sio kukusababishia visirani anataka watu tushindwe kuenjoy weekend zetu kama hivi kisa utukutu wake! Lamomy naomba utulivu
😂😂😂😂
Nimekosa mimi, Nimekosa mimi, Nimekosa sana
 
Kwa Tanzania sijafika Pemba pekee.
Nje ya Tanzania nimefika Kenya, Zambia, Burundi na Dubai.

Natarajia kwenda China kabla mwaka huu kuisha.
Natamani pia kufika Zimbabwe, Malawi, Botswana, Cameroon, Japan, South Korea, Vietnam na Thailand (Bangkok)
 
US, Canada, UK, Norway, France, Sweden, Germany, Switzerland, Italy, Spain, South Africa, Namibia, Kenya, Nigeria, China, Japan, India, Philippines, UAE, Turkiye, et al

Hizo ni my best 20 kuna ambazo nimeenda na nyingine bado, japo nchi ambazo natamani kuenda ni nyingi zaidi nahisi zinafika 60 na kuna nyingine nimeenda ila hazipo kwenye top 20 yangu, napenda sana kusafiri sipendi kukaa sehemu moja muda mrefu napenda sana exposure

Natamani nipate kazi au niwe na biashara ambayo itanitaka nisafiri mara kwa mara, siyo hizi ambazo zinanitaka nikae sehemu moja maana baadhi ya nchi hapo nilienda kwa hisani ya wazazi na ndugu, nikijaliwa afya na uzima naamini nitatimiza ndoto yangu ya kusafiri nchi nyingi ninazotamani
 
US, Canada, UK, Norway, France, Sweden, Germany, Switzerland, South Africa, Congo DR, Egypt, Morocco, Kenya, Nigeria, China, Japan, India, Philippines, Emirates, Oman.

Hapo kuna ambazo nimeshafika na nyingine bado, nchi ambazo natamani kuenda ni nyingi sana zaidi ya 60 ila hizo ndio top 20 yangu napenda sana kusafiri kuliko kitu chochote kile, hakuna kitu sipendi kama kukaa sehemu moja muda mrefu napenda sana exposure

Natamani nipate kazi au niwe na biashara ambayo itanitaka nisafiri mara kwa mara siyo hizi ambazo zinanitaka nikae tu sehemu moja, nikijaliwa uhai na afya nitatimiza ndoto yangu ya kusafiri nchi nyingi duniani, hata kama sitamaliza zote ila naamini nitatimiza pakubwa sana
Wewe ni kama mimi! Napenda kazi zinazojumuisha safari za mara kwa mara kwenda sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya nchi.
 
Kwa Tanzanian sijafika Pemba pekee.
Nje ya Tanzania nimefika Kenya, Zambia, Burundi na Dubai.

Natarajia kwenda China kabla mwaka huu kuisha.
Natamani pia kufika Zimbabwe, Malawi, Botswana, Cameroon, Japan, South Korea, Vietnam na Thailand (Bangkok)
Tanzania Bara ushaimaliza mikoa yote? Hongera sana mkuu🙏
 
Yes mkuu Namibia ipo super, Windhoek jiji dogo ila lipo safi sana, wajerumani waliijenga vema,tembelea pia Katutura township, walvis bay(bandari hii ni mshindani wetu,Dar Port),katima mulilo, Rundu, etc etc ,na nchi ipo peace ya kweli SIO YA LAZIMA
Asante sana mkuu watu wake vp kwa ukarimu?Maana ww km umefika utakua na mengi ...sio wasumbufu kwa wageni
 
Back
Top Bottom