Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Huyu ndio mtu wa kwanza kunikaribisha mdogo wake jf na alivyoona akili zangu chenga bas akanichukulia km nilivyo mzaramo wake 😂😂😂Leo acha nikuambie huu ukweli, lamomy anakuheshimu na kukupenda sana
Sijui kwa nn, wakati kwa wengine ni mkorofi sana[emoji23]
Na mume akanipatia ni Mkantrywizzy hataki kusikia mwingine ananinyapia!!!
Kuna mmoja jana kamchimba biti mpk kakimbia 🤣🤣🤣🤣