Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mkuu Namibia ipo super, Windhoek jiji dogo ila lipo safi sana, wajerumani waliijenga vema,tembelea pia Katutura township, walvis bay(bandari hii ni mshindani wetu,Dar Port),katima mulilo, Rundu, etc etc ,na nchi ipo peace ya kweli SIO YA LAZIMAAisee mm Namibia ndo nchi naham sana nikaitembelee nchi kubwaaa harafu watu kiduchu.Nimetokea kuipenda tu ile nchu japo sehem kubwa ni jangwa ila ni nchi poa sana maana hua naangalia sana youtube.Mungu ani bless nikatimize ndoto zangu.
Hata mimi sitaki safari yoyote ya kwenda na wewe🤣🤣🤣Hapo labda DUBAI, uturuki na china(macau) huko tutaenda sote
ila haswa haswa nina mpango wa kwenda Brazil, hapa unisamehe sintokwenda na wewe..
Upo kama mimi, napenda kusafiri sana kuijua nchi yangu kwanza halafu huko kwingine nitaenda tuKabla ya kwenda nje ya Tanzania natamani nimalize kuizinguka Tanzania yote Kwa gari binafsi.
Napenda kusafiri safari ndefu kuliko kitu kingine chochote duniani huwa moyo wangu unapata Amani sana
Mkuu, kizuri shea na jirani😂😂😂Hapo labda DUBAI, uturuki na china(macau) huko tutaenda sote
ila haswa haswa nina mpango wa kwenda Brazil, hapa unisamehe sintokwenda na wewe..
Ewaa, AFAZALI...Hata mimi sitaki safari yoyote ya kwenda na wewe🤣🤣🤣
Brasil mkuu na pisi za kule bado niende tu na mke.. Tunaweza oeana talaka huko huko. 😂🤣Mkuu, kizuri shea na jirani😂😂😂
Tupo wengi mkuuWewe ni mdau mwenzangu
Muda ukiruhusu, nitapenda kukaa Nigeria kwa muda kama mwezi mmoja hivi. Nataka nijue siri ya wao kutapakaa dunia nzima kwa wingi.Kuna nini cha kwenda kutalii Nigeria?
Kwenye hiyo list naondoa Nigeria na Canada naweka Madagascar na Brazil
Wewe umetisha sanaaa!! Kama umebakiza mikoa miwili Tanzania umejitahidi Sana na Una haki ya kusafiri nje ya nchi..Mkuu, wewe umeshafika mikoa mingapi?
Kwa Zanzibar niliishia Unguja. Pemba nitaenda wakati mwingine nipatapo fursa.
Kwa upande wa Tanganyika, nimebakiza mikoa miwili tu, Mtwara na Lindi. Nilikuwa na mpango wa kufika huko mwaka huu lakini nimeamua kuahirisha hadi mwakani. Muda kama hautaniruhusu.
Copy and paste? OgaUmepanga kutembelea nchi ngapi katika kipindi cha miaka 5 ijayo?
Binafsi, ninapenda sana kusafiri, lakini kwa sababu ya kiwango cha kipato, bado sijazimaliza hata nchi za Afrika Mashariki.
Mpaka sasa, nchi nilizokwishatia miguu yangu ni Kenya, Uganda na Burundi.
Ikimpendeza Mungu, mwishoni mwa mwaka huu nitaenda Rwanda na South Africa.
Kwa sababu safari ya South Africa itakuwa kwa basi, nitaweza kupitia nchi kadhaa, labda Zambia, Zimbabwe, n.k. Bado sijaamua route, lakini huenda nikaenda kwa basi nikarudi kwa ndege, au vinginevyo.
Kwa hiyo, nimeziengua Rwanda na S. A kwenye nchi za kuzitembelea katika miaka mitano ijayo. Ninahesabu nimeshazitembelea.
Hizi ndizo nchi nitakazozitembelea katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2024:
1. Misri
2. Nigeria
3. Dubai - ( UAE)
4. Israel
5. Ugiriki
6. Uturuki
7. China
8. Uingereza
9. Marekani
10. Canada.
Natamani kwamba ifikapo Disemba 2028, niwe nimeshazitembelea nchi zote hizo hapo juu, na zaidi, ikiwezekana.
Wewe umepanga kutembelea nchi zipi?
Ni hatua! Kama ingelikuwa ni darasa, nina uhakika umeshavuka level ya kalamu ya mkaa na sasa unatumia ya wino.Wewe umetisha sanaaa!! Kama umebakiza mikoa miwili Tanzania umejitahidi Sana na Una haki ya kusafiri nje ya nchi..
Mimi bado mikoa mingi Sana sijafika hasa nyanda za juu kusini iringa,mbeya na songea Ila Kwa mikoa ya kusini naijua vichochoro vyote
Nimeshafika Kenya, Uganda na Burundi tu.We umetembelea ipi kati ya hizo? Au
Copy and paste? Oga
Siyo Tanzania mkuu, bali upande wa bara pekee. Pemba bado sijatia mguu kiongozi.Wewe umetisha sanaaa!! Kama umebakiza mikoa miwili Tanzania umejitahidi Sana na Una haki ya kusafiri nje ya nchi..
Mimi bado mikoa mingi Sana sijafika hasa nyanda za juu kusini iringa,mbeya na songea Ila Kwa mikoa ya kusini naijua vichochoro vyote
Kweli kabisa.Ewaa, AFAZALI...
😂😂
kanuni za kutembea, bar, club au kusafiri kwenda kula burudani huendi na mchumba, usije kosa mambo mazuri huko buree😂🤣
Natamani ningekuwa mpenzi wa mpira, nilipewa ticket nikaikataa kwenda kuangalia mechi WalahiLondon Uingereza, I wish siku moja nipate nafasi ya kuangalia live game ya Arsenal pale Emirates Stadium