Nchi kumi za kutembelea katika kipindi cha miaka mitano

Nchi kumi za kutembelea katika kipindi cha miaka mitano

Leo acha nikuambie huu ukweli, lamomy anakuheshimu na kukupenda sana

Sijui kwa nn, wakati kwa wengine ni mkorofi sana[emoji23]
Huyu ndio mtu wa kwanza kunikaribisha mdogo wake jf na alivyoona akili zangu chenga bas akanichukulia km nilivyo mzaramo wake 😂😂😂
Na mume akanipatia ni Mkantrywizzy hataki kusikia mwingine ananinyapia!!!
Kuna mmoja jana kamchimba biti mpk kakimbia 🤣🤣🤣🤣
 
We mwenyewe unajua ninavyomuelewa Shemeji yangu, mzingatie sana
Tuma namba unywe Hennessy shem wako yuko serious ila usinisahau kwenye ufalme wako 😂😂😂
Kantrywizzy hanaga kona kona anakutumia kweli, week end yako leo
 
Huyu ndio mtu wa kwanza kunikaribisha mdogo wake jf na alivyoona akili zangu chenga bas akanichukulia km nilivyo mzaramo wake [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mume akanipatia ni Mkantrywizzy hataki kusikia mwingine ananinyapia!!!
Kuna mmoja jana kamchimba biti mpk kakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] ni-tag huko alipochimbwa biti nikamsaidie
 
Tuma namba unywe Hennessy shem wako yuko serious ila usinisahau kwenye ufalme wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Kantrywizzy hanaga kona kona anakutumia kweli, week end yako leo
Fungua pm yangu, mm natumia app
 
Muda ukiruhusu, nitapenda kukaa Nigeria kwa muda kama mwezi mmoja hivi. Nataka nijue siri ya wao kutapakaa dunia nzima kwa wingi.

Wakenya ni wajasiri, lakini nafikiri Wanigeria wametia fora.
Yaani naonaga kila mnaigeria ni tapeli.
 
Dar, Mwanza na Arusha! Hiyo nayo pia ni hatua.

Safari moja ni chanzo cha safari nyingine.

Nimeiweka USA na Canada mwishoni kwa makusudi.

Nimeelezwa na wazoefu kuwa ni changamoto kupata viza, lakini passport ikiwa na "muhuri" mingi inaweza ikawa rahisi kukubalika.

Nimejaribu kufikiri kuwa wakiona kuwa nimeshafika DUBAI, CHINA, UGIRIKI, UTURUKI, ISRAELI na UINGEREZA, ni rahisi kunikubalia kuitembelea nchi yao.
Canada na USA kipengele kupata visa. Unaweza ukaomba visa na kukaa mwaka bila kupata appointment ya interview
 
Canada na USA kipengele kupata visa. Unaweza ukaomba visa na kukaa mwaka bila kupata appointment ya interview
Wanaofanikiwa kupata haraka wanatumia mbinu gani?

Nilishangaa mtu mmoja ninayemfahamu ambaye alishakaa Australia na nchi zingine kadhaa, alipotaka kwenda Canada, eti walimnyima visa! Wanatumia vigezo gani kuamua wa kumpa na wa kumyima?

Kuna mwingine alitaka kwenda Canada Kimasomo, walimnyima, lakini alipojaribu Marekani, alifanikiwa.

Hawana kanuni inayoeleweka katika kufanya maamuzi?
 
Kiufupi hawataki waafrika kwenda huko kwa wingi, wanajua watazamia
 
Bara la Australia
Bara la Antlantica
Kisiwa cha comoro
China (ukuta mkubwa wa china)
Russia (moscow)
Brazili (Amazon forest)
USA (San Francisco)
 
Back
Top Bottom