Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Ahsante asee, huyu mtafiti aje kanda ya ziwa huku akitoka nadhani tutaingia tatu bora 😀
 
Wabongo mmeumbika ila kwa watoto wa Nigeria weka mbaliii.... Mtawakimbiza Wakenya... Warundiii... Wacongo... Wa Sudan kusini... Waganda... Na wengine wengine... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hao wote unaowataja hamna kitu wametuzidi weusi tu....
Watoto wazuri ni hao wa juu, Ethiopia, Eritrea, Somalia na Rwanda, hao wengine makanyaboya tu wewe eti Nigeria thubutuuuuu
 
Waethiopia wazuri,
Ila wanaongoza kwa uchafu.

List hiyo hiyo tukiipanga kwa wanawake wanaongoza kwa uchafu, Waethiopia watashika namba moja.

Kibongobongo tuna mademu wazuri kushinda wakenya na wanaigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…