Mkuu utawala Bora, haki na utu ni misingi muhimu katika taifa linalo fuata demokrasiaUnajaribu kuhalalisha nini Mkuu?
Vipi kuhusu Utawala bora wenye kuzingatia Haki na utu wa watu kwa kuheshimu katiba?
#Mama 2025.
Uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa na wangi wanauwezo mdogo wa kufikiri kwa sababu ukitaja tu democrasia mtu anawaza kachama kake.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia...
Umeongea ukweli demokrasia inaleta division kama mbinu ambazo mkoloni alitumia kumtawala mtu mweusi.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia...
Hivi Nyie huwa mwaandika tumia akili ,au mnatumia nini?Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia...
Demokrasia haina uhusiano wa moja kwa moja na maendeleo ila ni chanzo kikubwa ya mambo kwenda pole pole sana! msururu mrefu usio na mantikiMkuu samahani nini maana ya demokrasia? Upi msingi wa uwepo wa demokrasia? Na Ni kivipi nchi haiwezi endelea kwa kufuata demokrasia?...
nchi gan yenye demokrasia imepiga hatua?Sasa mbona ktk Afrika, nchi nyingi ambazo kiuchumi ziko juu, ni zile zinazoongoza kwa demokrasia japo kwa kiwango fulani?na zile za makatiri sana hasa za west afrika ndiko umaskini umeshamiri?hii inakiwaje?mfano mzuri hapa kwetu kwa awamu ya tano...
South Africa ambayo kidogo kwa Africa demokrasia yao imekomaa wakawa na Rais Zuma ambaye amefanya ufisadi wa hovyo.Wadada wa kazi mna maneno.
Udikteta tangu lini ukawa mzuri?...
Unaweza kuwa sahihi. Maswali machache. Huyo kiongozi mwenye maamuzi magumu utamtambuaje na atapatikanaje.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia...
Badala yake nchi ambayo haina Demokrasia kama Misri ndiyo inaendelea. Ina sera bora za Uchumi nk. Morocco ya kifalme iko mbali kabisa.nchi gan yenye demokrasia imepiga hatua?
Hii ni tatizo kubwa, lakini kuna nchi kama China wamefanikiwa kuwa na mifumo ya kuwajibishana huku serikali ikiwa na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya nchi bila kulazimika kufanya maamuzi ya kuwapendeza watu ili wabaki madarakani.Unaweza kuwa sahihi. Maswali machache. Huyo kiongozi mwenye maamuzi magumu utamtambuaje na atapatikanaje. Na kama maamuzi yake yatakuwa mabaya (kwa mfano maamuzi yake yakilenga zaidi katika kujilimbikizia mali na watu wake wachache. Mifano ya viongozi kama hao ipo mingi barani Afrika). Pia atadhibitiwaje na nani au chombo gani
Kiufupi demokrasia ni serikali ya watu. Yaani watu ndiyo wamiliki wa serikali, na kinadharia ni kuwa maamuzi yote na sera zote za nchi zinatokana na watu. Yaani kama unakampuni, basi kila mfanyakazi ni mmiliki wa kampuni na ana-say ya jinsi gani kampuni iendeshwe.Mkuu samahani nini maana ya demokrasia? Upi msingi wa uwepo wa demokrasia? Na Ni kivipi nchi haiwezi endelea kwa kufuata demokrasia?
Na nchi itapata vipi maendeleo isipo kuwa na demokrasia?
Kipindi Cha mfumo wa chama kimoja nchi ilipiga hatua kiasi gani ? Maana kulikuwa hakuna mfumo wa vyama vingi Mpaka 1992.
Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya