Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikweli kuendesha nchi siyo kama familia tena wengine wanazikimbia familiaIli nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Natamani nikjweke ndani ili nione matokeo ya demokrasia.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Sera mbovu ambazo siyo shirikishi waonazitunga, hawana uelewa wa nini hatima ya hizo Serademokrasia sio tatizo, tatizo kubwa la nchi za kiafrika ni sera mbovu za kiutawala, kiuchumi, kielimu na nk...
hata leo tukikubali kuwa na sera za kitaifa zisizofungamana na uccm katika kila nyanja maendeleo yatakuja haraka
Sera mbovu, ambazo siyo shirikishi, waonazitunga hawana uelewa wa nini hatima ya hizo Serademokrasia sio tatizo, tatizo kubwa la nchi za kiafrika ni sera mbovu za kiutawala, kiuchumi, kielimu na nk...
hata leo tukikubali kuwa na sera za kitaifa zisizofungamana na uccm katika kila nyanja maendeleo yatakuja haraka
Mkuu Kama utaikataa demokrasia ebu tuweke wazi ni mfumo gani utatumika kuwapata viongozi wa nchi?Kiufupi demokrasia ni serikali ya watu. Yaani watu ndiyo wamiliki wa serikali, na kinadharia ni kuwa maamuzi yote na sera zote za nchi zinatokana na watu. Yaani kama unakampuni, basi kila mfanyakazi ni mmiliki wa kampuni na ana-say ya jinsi gani kampuni iendeshwe.
Na kuhusu kutoendelea chini ya chama kimoja ni sababu ya sera mbovu za kijamaa na si sababu ya kukosa demokrasia. Kinachotakiwa ni sera nzuri tu.
China ya enzi za Mao na China ya leo zote zinaongozwa na chama kilekile. Lakini China ile Ilikuwa maskini na hii ya leo ni tajiri, kilichobadilika ni sera za kiuchumi: kusaidia makampuni yake kukua na kuingia kwenye soko huria kwa tahadhari.
Wanasiasa wanatengeneza Sera kufanya sisaMkuu Kama utaikataa demokrasia ebu tuweke wazi ni mfumo gani utatumika kuwapata viongozi wa nchi?
Nchi nyingi za Afrika hazina demokrasia lakini ndo nchi masikini za kutupwa kutwa viongozi kupanda ndege kwenda ulaya na Marekani kutembeza bakuri kwa mabeberu hili utalizingumzia vipi?
Ubovu wa sera chanzo ni demokrasia au aina ya viongozi tulio nao kutwa kuwaza uchaguzi sio kutatua shida za nchi kupitia sera bora
Mbona Tanzania tulishindwa kuendelea tukiwa katika mfumo wa chama kimoja Kama Russia na China ?China imeendelea chini ya mfumo wa chama kimoja.
Russia imeendelea na inazidi kuendelea ikiwa ipo katika mfumo unaofinya demokrasia.
Hata mataifa ya magharibi yalipata maendeleo kabla ya kuingia katika mfumo demokrasia.
Demokrasia Afrika imekuja wakati tunahitaji zaidi kuendelea. Demokrasia imeleta mgongano wa hoja.
Mkuu uko ki theory zaidi....poleView attachment 1958450
Sikushangai hujui nikile tunachosema elimu yetu inashida...
Huwezi kuapply demokrasia nyumbani??? Soma kwa kuelewa,usikariri
Mifumo yetu ni mibovu mkuu hasa ya kuwapata viongozi watunga sera ,Afrika tupo hapo ni kwasababu ya maamuzi yetu wenyewe.Wanasiasa wanatengeneza Sera kufanya sisa
Nikweli walioshika hatamu wanahakikisha wanaendelea kubaki madarakani,hata ikibidi kwakurithisha vizazi vyaoMifumo yetu ni mibovu mkuu hasa ya kuwapata viongozi watunga sera ,Afrika tupo hapo ni kwasababu ya maamuzi yetu wenyewe.
Fanya kazi ,acha kupiga siasa.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Mfano ni hapo kisiwani mkuu anako toka SSHNikweli walioshika hatamu wanahakikisha wanaendelea kukaa madarakani,hata ikibidi kwakurithisha vizazi vyao
Mauritius, Seychelles, Botswananchi gan yenye demokrasia imepiga hatua?
Badala yake nchi ambayo haina Demokrasia kama Misri ndiyo inaendelea. Ina sera bora za Uchumi nk. Morocco ya kifalme iko mbali kabisa. Hadi tunawaomba watujengee uwanja. Libya ya Gaddafi ilikuwa mbali sana. Hapo hatujazungumzia jinsi South Korea na Singapore zilivyoendelea bila demokrasia. Hatujazungumzia Malaysia ilivyopiga hatua kubwa kimaendeleo chini ya demokrasia fake.
Waambie CCM maneno hayoFanya kazi ,acha kupiga siasa.
Of course ukiwa upande mmoja wa shilingi lazima utaona mtiririko wangu kuwa very contradicting.Mkuu umekuja na narrative ambayo ni paradox sana.
Nakuuliza swali na wewe unajaribu kutuambia nini? Kwamba Tanzania iwavamie Watanzania au? Je, ulimaanisha Uingereza iliwavamia Waingereza au sikukuelewa?
Hakuna justification yoyote ile kwenye kutokuheshimu rule of law, kupuuzia haki za watu na kuona Katiba kama vijikaratasi visivyofaa kufuatwa.
#Mama 2025.
Inaweza. Kabisa.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Ndugu yangu Katiba na sheria tulizojiwekea wenyewe ni muhimu zikafuatwa na katiba ndio mkataba wetu kati ya watawala na watawaliwa ndio the mother law of all laws, sasa ni muhimu kuifuata kwa kujali rule of law, kujali haki za binadamu.Of course ukiwa upande mmoja wa shilingi lazima utaona mtiririko wangu kuwa very contradicting.
Upande mwingine wa shilingi ni kwamba wewe unaichukulia Tanzania kama independent state na inamaamuzi ya rasilimali zake A to Z kwa manufaa ya watu wake kitu ambacho si kweli, ni vita ya dunia kunyang’anyana rasilimali kwa namna yeyote ile ilimradi mwenye mabavu apate kwanza
Ukisikia mtu kuwa mjinga, hii ndiyo maana halisi.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.