Viongozi ni zao la jamii, siku ikifika Tanzania (Afrika kwa ujumla) ambayo tumenyukwa kiuchumi, kisiasa na kijamii wote [hata walio ndani ya Chama Tawala], ndio tutapata viongozi kama Kina Park.Nimeisoma. Tunarejea kwenye swali langu la awali. Viongozi kama Jenerali Park tunawapataje Afrika. Usisahau mataifa mengi ya Afrika yameongozwa na Majenerali . Baadhi yao wakajivika hata majoho ya kiraia hadi leo.
Mkuu South Korea imetawaliwa na wanajeshi kuanzia mwaka 1960 hadi mwaka 1987. Na hicho ndicho kipindi imepata maendeleo makubwa kabisa ya kiuchumi. Kabla ya hapo ilikuwa maskini kuliko Ghana. Kuinuka kwake kiuchumi hakujatokea kipindi inaongozwa kidemokrasia.Korea ipi unazungumzia hapa!? 😳😳😳 South Korea hujawahi kuwa na dikteta tangu 1948.
Africa tumewahi kuwa na strongmen wenye maono makubwa, lakini bahati mbaya wengi walipigwa vita na wakoloni wa zamani. Wengi waliishia kupinduliwa ma kuwekwa vibaraka na madikteta wa hovyo kama Mobutu, Bokassa, Nduli nk. Watu makini kama wakina Sankara hawakudumu.Nimeisoma. Tunarejea kwenye swali langu la awali. Viongozi kama Jenerali Park tunawapataje Afrika. Usisahau mataifa mengi ya Afrika yameongozwa na Majenerali . Baadhi yao wakajivika hata majoho ya kiraia hadi leo.
Demokrasia ni mbinu za mabeberu kuendelea kutawala nchi za Africa, ukiangalia kwa makini utagundua hiyo demokrasia wanayoihubiri hawaitekelezi ipasavyo kwenye nchi zao.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Watu wa msoga na genge lao hawatakuelewa katika hilo...wacha tuendelee kuogelea kwenye demonsgracias...Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Tupe mfano wa nchi iliyoendelea kwa Demokrasia hii ya Kiliberali unayoisema.Kila mtetea uovu hujificha kwenye maendeleo ya China. Lakini hamko tayari kulinganisha nchi zilizoendelea kwa demokrasia v/s zisizo na demokrasia.
Mama Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, ameisha sema. Demokrasia siyo sawa na radha ya coca cola kuwa radha ya soda ya coca cola mjini Detroit, ni sawa na kule Kanyakumar, Pune, Tora bora, Otto strabbe, Bavaria, Chechnya, Kimasichana, Omurutunguru, Kilema, Siha, Oldonyo Sambu Kericho, Beijing, Lima, Maracana, zitaje tu sehemu unazozijua!Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
* kwani wao walivyokuwa
Na mimi naongezea hapo hao jamaa kama wanaipenda sana hiyo Rufiji basin/plateau wataengeneze ya kwao, si wanajifanya wana akili nyingi kuliko mchwa na sungura. Ndiyo watengeneze Rufiji yao.* kwani wao walivyokuwa wanafurukuta kuendelea nani aliyekuwa akiwapangia cha kufanya ama kuingiliwa ????
Miaka 60 ya UHURU Afrika still poor
Hizo unazoziita 3rd world , kwanza tujitahidi kuzifikia, sisi tuko 100th world countryZote hizi ni 3rd world countries,
Hizo unazoziita 3rd world , kwanza tujitahidi kuzifikia, sisi tuko 100th world country
Katufute GDP per capita zake na hizo nchi za madikteta kama Misri na Morocco.
Jua maana ya uroho.
Sweden, Norway,Uk, Canada, India, USA, Japan,China Wana national interest na sio personal interest kama za jiwe Chato,dodoma, kununua wapinzani.
Yamewafaidika nn sasa hayokwan chato anakaa mtu mmoja?
Huwezi ukaongozwa na dikteta ukawa na maendeleo.Dikteta yupo kwa maslai yake na watu wake na sio kwa nchi na wananchi