BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kwanini walimtimua Dikteta Mubarak kama walikuwa na uchumi mkubwa kiasi hicho?
Misri yenyewe ni ya tatu kwa uchumi mkubwa Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misri yenyewe ni ya tatu kwa uchumi mkubwa Africa.
Mapinduzi ya viwanda, ambayo ndiyo yameziletea nchi nyingi hizo maendeleo yalitokea kipindi zinaongozwa kifalme. Ni bora tuseme ufalme ndiyo umeziletea nchi hizo maendeleo. Kuhusianisha maendeleo ya nchi hizo na demokrasia ni kupotosha. Na hapa siyo nilete mifano ya nchi zilizoendelea kwa udikteta, nilete mifano ya nchi zilizoendelea bila demokrasia, hizo ni nyingi sana kiasi kwamba ni kama vile unahitaji kutokuwa na semokrasia ili kuendelea.Duh!!!! Hahahahahahaha maendeleo yao hayajaletwa na demokrasia. Nchi kama za Scandinavia, Australia, New Zealand na Netherlands etc maendeleo yao hayajaletwa na demokrasia!!!! Ná wakati huo huo huna mfano wa nchi hata moja duniani ambayo maendeleo yameletwa na udikteta!? 😳😳😳😳😳😳
Badala yake nchi ambayo haina Demokrasia kama Misri ndiyo inaendelea. Ina sera bora za Uchumi nk. Morocco ya kifalme iko mbali kabisa.
Hadi tunawaomba watujengee uwanja. Libya ya Gaddafi ilikuwa mbali sana. Hapo hatujazungumzia jinsi South Korea na Singapore zilivyoendelea bila demokrasia.
Hatujazungumzia Malaysia ilivyopiga hatua kubwa kimaendeleo chini ya demokrasia fake.
South Korea imeacha kuongozwa na wanajeshi kama mwaka wa tisini hivi. Ukuaji wote wa maana wa uchumi, makampuni yote ya maana ya South Korea yalizaliwa wakati huo.South Korea kwani haiheshimu Demokrasia? Miaka ya 60 kiuchumi hawa walikuwa sawa kabisa na Tanzania zikiwemo Singapore, Indonesia na Malaysia na wao hawana utajiri mkubwa kama Tanzania wa Rasilimali lakini angalia walivyotuacha mbali kimaendeleo.
Mapinduzi ya viwanda, ambayo ndiyo yameziletea nchi nyingi hizo maendeleo yalitokea kipindi zinaongozwa kifalme. Ni bora tuseme ufalme ndiyo umeziletea nchi hizo maendeleo. Kuhusianisha maendeleo ya nchi hizo na demokrasia ni kupotosha. Na hapa siyo nilete mifano ya nchi zilizoendelea kwa udikteta, nilete mifano ya nchi zilizoendelea bila demokrasia, hizo ni nyingi sana kiasi kwamba ni kama vile unahitaji kutokuwa na semokrasia ili kuendelea.
South Korea imeacha kuongozwa na wanajeshi kama mwaka wa tisini hivi. Ukuaji wote wa maana wa uchumi, makampuni yote ya maana ya South Korea yalizaliwa wakati huo.
South Korea imeacha kuongozwa na wanajeshi kama mwaka wa tisini hivi. Ukuaji wote wa maana wa uchumi, makampuni yote ya maana ya South Korea yalizaliwa wakati huo.
Vipi kuhusu nchi yenye uchumi wa kati ?Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Nadhani ungetoa mifano ya nchi zilizoendelea kipindi zikiwa na Demokrasia hiyo unayoisema ingekuwa unaeleweka vinginevyo unaongea porojo tu.Mapinduzi ya viwanda bila kuwa na Serikali za Kidemokrasia ili kuhakikisha uhuru na haki ya raia, vyama vya siasa, vyombo vya habari na pia Wafanyakazi kutendewa haki unadhani kungekuwa na maendeleo? Serikali iliyo madarakani ikivurunda Wananchi wanaipiga kibuti na kuweka Serikali mpya na wao wakivurunda Wananchi wanaiondoa madarakani. ACHA DHARAU ZAKO DHIDI YA DEMOKRASIA.
South Africa Demokrasia yao ni ya kutengeneza machoni tu, ila kiuhalisia wanaoitawala bado ni makaburu na ndio maana imepiga hatua hivyo. Weusi wamepewa siasa, wazungu wakabaki na uchumi na hapo ni baada ya wazungu kutengeneza mifumo ya namna ya kuiongoza nchi. Mtu mweusi mpe madaraka, chakula, pombe na mwanamke baasi. Blacks wengi south wanaishi kwa kutumia credit cards - gari kwa mkopo, chakula supermarket kwa mkopo, furniture kwa mkopo, shule kwa mkopo, pombe mkopo, nyumba mkopo yaani kila kitu ni credit card...maisha yao wameyaweka rehani kwa makaburu.South Africa ambayo kidogo kwa Africa demokrasia yao imekomaa wakawa na Rais Zuma ambaye amefanya ufisadi wa hovyo.
Ufisadi unaweza fanyika kuwepo na demokrasia au kusiwepo. Demokrasia siyo dawa ya ufisadi na wala siyo kwamba nchi ikikosa demokrasia basi inakuwa ya kidikteta, kinyume cha demokrasia siyo udikteta.
J.k alijitahidi kufata values za kidemocrasia uhuru wa habari uhuru wa kujieleza mpaka akaruhusu mjadala wa katiba,uliona jinni Maufisadi yalivyokuwa yanaibuliwa,uliona mawazili na watumishi wanavyo wajibishwa.rushwa, uwizi,uuwaji una shamiri gizani.tutaendeleaje tukiwa gizani tutapataje haki ikiwa mahakama zinatiwa mfukoni,tutapataje viongozi tunao wataka wakati tumenyimwa uhuru wa kuchaguaUwezo wako wa kufikiri ni mkubwa na wangi wanauwezo mdogo wa kufikiri kwa sababu ukitaja tu democrasia mtu anawaza kachama kake.
Nakushauri usichoke hata watu wawili au watatu wakielewe umelisaidia taifa
Naomba unijibu hili;On May 10, 1948, the first general election was held in a democratic manner in South Korea under the UN’s supervision to elect the 198 members of the National Assembly. In July of the same year, the Constitution was enacted and Rhee Syngman and Yi Si-yeong, two independence fighters deeply respected by Koreans, were elected as the country’s first President and Vice President, respectively. On August 15, 1948, the Republic of Korea (ROK) was formally established as a liberal democracy, which inherited the legitimacy of the PGK. The UN recognized the government of the ROK as the only legitimate government on the Korean Peninsula.
Haya hayaleti Maendeleo ya kiuchumi bali Maendeleo ya kiuchumi ndio yanaleta hayo.Unajaribu kuhalalisha nini Mkuu?
Vipi kuhusu Utawala bora wenye kuzingatia Haki na utu wa watu kwa kuheshimu katiba?
#Mama 2025.
Naomba unijibu hili;
Kwanini mwaka 1960-1980 ambapo kulikuwa na udikteta Korea ndio kulikuwa na Maendeleo makubwa—infact ndio Korea ya leo kiuchumi ilijengwa hapo—kuliko miaka hiyo ya 1940 unayoisema kuwa ilikuwa na Demokrasia?
Swala la udicteta we mwenzetu umelitolea wapi? Mleta mada kaongelea democracy.Ktk afrika nchi kumi zenye uchumi mkubwa kaangalie kuna nchi ngapi zinazoongozwa ki dikteta zimo humo, kulinganisha na zenye demokrasia kiasi fulani.siku zote u dikteta ni kuficha maovu yanayotendeka dhidi ya raia, na ni chaka la ulaji na kukwepa mapungufu yao kuonekana.yaani tulifikia hatua mtu ku post picha ya watoto wamekaa chini, wagonjwa wamelala chini ni kosa!??MUNGU FUNDI
Genral Park alikuwa nani kama sio Dikteta? Huyu alikuwa na utawala wa kiimla wa kijeshi. Uliitwa puguk kangbyon—rich nation, strong army.Korea ipi unazungumzia hapa!? [emoji15][emoji15][emoji15] South Korea hujawahi kuwa na dikteta tangu 1948.
Kipindi hicho hata Afrika, karibu yote, ilikuwa na mfumo wa chama kimoja tu. Mbona hali zetu kiuchumi ni hoi. KulikoniNaomba unijibu hili;
Kwanini mwaka 1960-1980 ambapo kulikuwa na udikteta Korea ndio kulikuwa na Maendeleo makubwa—infact ndio Korea ya leo kiuchumi ilijengwa hapo—kuliko miaka hiyo ya 1940 unayoisema kuwa ilikuwa na Demokrasia?