Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Soma Post number 158.Kipindi hicho hata Afrika, karibu yote, ilikuwa na mfumo wa chama kimoja tu. Mbona hali zetu kiuchumi ni hoi. Kulikoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Post number 158.Kipindi hicho hata Afrika, karibu yote, ilikuwa na mfumo wa chama kimoja tu. Mbona hali zetu kiuchumi ni hoi. Kulikoni
Kwa afrika labda
Congo, Africa ya Kati, Sudan, Ethiopia, Guinea, Gabon, Togo, Mali, Zimbabwe na nyingine nyingi zimekaliwa na madikteta tangu zimepata uhuru hadi leo ila ni mafukara wa kutupwa.
Mauritius, Seychelles, Botswana
Mwafrika hana uwezo wa kujiongoza thus anatawaliwademocracy ni nyenzo muhimu sana kwa mataifa makubwa kumtawala mwafrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk afrika nchi kumi zenye uchumi mkubwa kaangalie kuna nchi ngapi zinazoongozwa ki dikteta zimo humo, kulinganisha na zenye demokrasia kiasi fulani.siku zote u dikteta ni kuficha maovu yanayotendeka dhidi ya raia, na ni chaka la ulaji na kukwepa mapungufu yao kuonekana.yaani tulifikia hatua mtu ku post picha ya watoto wamekaa chini, wagonjwa wamelala chini ni kosa!??MUNGU FUNDI
Badala yake nchi ambayo haina Demokrasia kama Misri ndiyo inaendelea. Ina sera bora za Uchumi nk. Morocco ya kifalme iko mbali kabisa.
Hadi tunawaomba watujengee uwanja. Libya ya Gaddafi ilikuwa mbali sana. Hapo hatujazungumzia jinsi South Korea na Singapore zilivyoendelea bila demokrasia.
Hatujazungumzia Malaysia ilivyopiga hatua kubwa kimaendeleo chini ya demokrasia fake.
Hakuna tofauti hapo huwezikuna tafauti kati ya dikteta na mroho wa madaraka
Huwezi ukaongozwa na dikteta ukawa na maendeleo.Dikteta yupo kwa maslai yake na watu wake na sio kwa nchi na wananchimpaka sasa hatujapata mtu anaefaaa kuitwa dikteta, with the likes za magufuli wengine ni waroho tu wa madaraka! we need xijinping
Hakuna tofauti hapo huwezi
Dikteta
Usiwe
Mroho Uroho ni sifa za dikteta
Umeanza mada yako vibaya unaruka matope unakanyaga mv!Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Sweden, Norway,Uk, Canada, India, USA, Japan,China Wana national interest na sio personal interest kama za jiwe Chato,dodoma, kununua wapinzani.sehem zote duniani democracry ni tatizo,hakuna nchi ilishawahi kupata maendeleo makubwa kwa uharaka kwa kutumia democracy, hata china ingeenda na democracy leo ingekua inashindana na arusha kwa maendeleo, you neeed someone who cant forsee mbele zaidi na kuamuru maamuzi ya hapo kwa papo, sio muanze kutengeneza mswada , mpeleke bungeni, mlipe posho ijadiliwe wale wazee wa kinondoni waaanze kuongea pumba ndan kule , mjadala urushwe ujadiliwe sku ingine , usainiwe then upitiwe raisi aupitie ausaini, watafutwe watu wa hio kazi muwatafutie ela, huu ni mfano tu, you need someone anaeona mbele na kufanya maamuzi apo apo, you need xijinping
Jua maana ya uroho.rudi shule
K
li nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Kiufupi demokrasia ni serikali ya watu. Yaani watu ndiyo wamiliki wa serikali, na kinadharia ni kuwa maamuzi yote na sera zote za nchi zinatokana na watu. Yaani kama unakampuni, basi kila mfanyakazi ni mmiliki wa kampuni na ana-say ya jinsi gani kampuni iendeshwe.
Na kuhusu kutoendelea chini ya chama kimoja ni sababu ya sera mbovu za kijamaa na si sababu ya kukosa demokrasia. Kinachotakiwa ni sera nzuri tu.
China ya enzi za Mao na China ya leo zote zinaongozwa na chama kilekile. Lakini China ile Ilikuwa maskini na hii ya leo ni tajiri, kilichobadilika ni sera za kiuchumi: kusaidia makampuni yake kukua na kuingia kwenye soko huria kwa tahadhari.
zote hizi ni 3rd world countries,
Shida sio maamuzi magumu bali matokeo ya hayo maamuzi magumu.Hilo daraja limefika huko walipobomoa bure jengo la tanesco?Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Hao sio waafrika kiasili ni waarabu wanaoishi Afrika.Badala yake nchi ambayo haina Demokrasia kama Misri ndiyo inaendelea. Ina sera bora za Uchumi nk. Morocco ya kifalme iko mbali kabisa.
Hadi tunawaomba watujengee uwanja. Libya ya Gaddafi ilikuwa mbali sana. Hapo hatujazungumzia jinsi South Korea na Singapore zilivyoendelea bila demokrasia.
Hatujazungumzia Malaysia ilivyopiga hatua kubwa kimaendeleo chini ya demokrasia fake.
Nimeisoma. Tunarejea kwenye swali langu la awali. Viongozi kama Jenerali Park tunawapataje Afrika. Usisahau mataifa mengi ya Afrika yameongozwa na Majenerali . Baadhi yao wakajivika hata majoho ya kiraia hadi leo.Soma Post number 158.