MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,164
- 2,500
Mumeendelea kwenye nn??Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumeendelea kwenye nn??Tanzania
Hiyo ni siasa yenu ya hovyo mnayoifanya na wala si demokrasia. Na Practically Tanzania si nchi ya kidemokrasia, hivyo kama mawazo yako ni sahihi tulitakiwa tuwe tumeendelea sana.Demokrasia ndiyo inafanya wanasiasa kuahidi vitu free, tena kwa gharama za wengine. Matokeo yake ni kodi na deni la taifa kuongezeka kila siku. Hizi tozo zinaongezeka kila siku ni matokeo ya demokrasia.
Mkuu udikteta si jambo zuri, lakini hao madikteta kushindwa kuleta maendeleo si sababu ya udikteta wao. Kwanza wengi walikuwa vibaraka, huyo Bokassa alikuwa kibaraka wa Ufaransa, kwenye msiba wa Rais wa Ufaransa alilia kuliko mke wa marehemu. Na wengi walikuwa hivyo, vibaraka. Shule hamna na walifuata sera mbovu za uchumi.Afika kulikuwa na Madikteta mbali mbali dhalimu magufuli, Idi Amin, Bokasa, Mugabe, na wengine wengi lakini nchi zao hazina maendeleo yoyote. Angalia CUBA kulikuwa na dikteta na mpaka sasa kuna udikteta chaguzi si huru na za haki umaskini CUBA ni wa kutisha sana. Udikteta ni UNYAMA na adui mkubwa wa HAKI, UHURU na MAENDELEO ya kweli katika nchi yoyote ile duniani.
Cha kwanza nikushauri usome nilichokiandika mpaka mwishoAfika kulikuwa na Madikteta mbali mbali dhalimu magufuli, Idi Amin, Bokasa, Mugabe, na wengine wengi lakini nchi zao hazina maendeleo yoyote. Angalia CUBA kulikuwa na dikteta na mpaka sasa kuna udikteta chaguzi si huru na za haki umaskini CUBA ni wa kutisha sana. Udikteta ni UNYAMA na adui mkubwa wa HAKI, UHURU na MAENDELEO ya kweli katika nchi yoyote ile duniani.
Mkuu udikteta si jambo zuri, lakini hao madikteta kushindwa kuleta maendeleo si sababu ya udikteta wao. Kwanza wengi walikuwa vibaraka, huyo Bokassa alikuwa kibaraka wa Ufaransa, kwenye msiba wa Rais wa Ufaransa alilia kuliko mke wa marehemu. Na wengi walikuwa hivyo, vibaraka. Shule hamna na walifuata sera mbovu za uchumi.
Ukiangalia hiyo Cuba, Cuba inafanya vizuri sana kwenye vipimo vya maendeleo kuliko nchi nyingi sana za kidemokrasia, labda kosa lao ni kufuata uchumi wa kijamaa tu. Castro aliitoa nchi kutoka kuwa playground ya wamarekani na kuiheshimisha.
Nakubali kuwa udikteta unaweza kuwa adui wa HAKI (haki kwa definition ya kidemokrasia). Ila nakataa kuwa udikteta ni adui wa MAENDELEO. Badala yake kuna ushahidi wa wazi kuwa demokrasia ni adui wa maendeleo ya nchi maskini
Mnaulizwa maswali hamjibu, huyo kiongozi wa hivyo tunampatia wapi? tunajuaje kuwa huyu ana uthubutu na malengo, platform yake ya kuonesha hayo malengo yake kabla hajashika nchi ni ipi? Akishika nchi akafanya ndivyo sivyo tunamtoaje!? tukimtoa tunamuweka mwingine kutokea wapi?Watu watakubishia sana mleta Uzi ila ukweli mchungu ni kwamba hichi kitu kinachoitwa demokrasia hakitakaa kilete maendeleo katika bars la Africa na hats huko ulaya mataifa mengi yalipata na ndeleo katika mfumo wa kifalme hiyo demokrasia haikuwepo ,hapo marekani tu maendeleo yalikuja kukowa na utumwa wa kutisha na kivuli cha demokrasia
NB:siyo lazima kutumia dictatorship kupata maendeleo ila in muhimu kupata kiongozi mmoja mwenye malengo na uthubutu mithili ya Lee kuan Yew wa Singapore
Korea ya kaskaziniTaja nchi moja yenye demokrasia duniani.
Cha kwanza nikushauri usome nilichokiandika mpaka mwisho
Cha pili hakuna aliyesema dictatorship is the solution ila kilichosemwa ni kwamba democracy siyo njia sahihi ya kuleta maendeleo katika mataifa yetu haya yanayoendelea
Cha tatu solution ni kupata kiongozi mwenye maono mazuri na mwenye ujasiri wa kuyasimamia maono hayo nikakupa na mfano wa Lee kuan yew wa Singapore pia Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum wa Dubai pamoja na viongozi wa China Kama Don Xiaoping
Marekani ilikuwa nchi ya kidemokrasia na ilijulikana hivyo kipindi bado utumwa ni halali. Ikawa nchi ya kidemokrasia wakati ubaguzi wa rangi bado umeshamiri. Kama US ile ilikuwa ya kidemokrasia, Tanzania ya leo ina kila haki ya kujiita nchi ya kidemokrasia.Hiyo ni siasa yenu ya hovyo mnayoifanya na wala si demokrasia. Na Practically Tanzania si nchi ya kidemokrasia, hivyo kama mawazo yako ni sahihi tulitakiwa tuwe tumeendelea sana.
Narudia tena Tz sio nchi ya kudemokrasia na haijawahi kuwa nchi ya kidemokrasia, Sasa kama una akili timamu unatakiwa ujenge hoja upya ninini sababu ya maendeleo hafifu tuliyonayo.
Mkuu tukianza kuchambua case by case hatutamaliza. Elewa kuwa; sishabikii udikteta, udikteta si adui wa maendeleo, demokrasia inakwamisha maendeleo ya nchi maskini.Na dikteta magufuli alikuwa kibaraka wa nani? Dikteta Mugabe alikuwa kibaraka wa nani? Dikteta mnagangwa wa Zimbabwe ni kibaraka wa nani? Fidel Castro dikteta mwingine alikuwa kibaraka wa nani? Umekurupuka Mkuu!!! HUNA HOJA. Udikteta ni UNYAMA, udikteta ni adui mkubwa wa MAENDELEO duniani kote.
Wazungu wanakubrainwash unaingia kingi mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] demokrasia si njia sahihi kuleta Maendeleo wakati huo huo kuna mifano chungu nzima duniani ya nchi ambazo zinaheshimu demokrasia duniani na zina maendeleo makubwa sana. ACHA HIZOOO!!!
Taja nchi iliyopata mageuzi ya kimaendeleo kupitia democracy
Kiufupi tu in kwamba tumechagua kupiga "mark time" tukidanyana kuwa tutaendelea kwa Sera sijui mipango ya muda mfupi ila kama tunataka kuwa taifa lililoendelea linalojitegemea lazima tutafute njia nyingine ya uongozi hii democracy ni uongo wa mchana
LibyaTaja nchi ya Afrika iliyoendelea bila demokrasia.
Hayo maendeleo yao hayajaletwa na demokrasia zao. Ni kosa kubwa tunafanya kuhusianisha maendeleo ya nchi na demokrasia. Mbaya zaidi, hiyo demokrasia imetabiriwa kwenda kuharibu maendeleo yao. Demokrasia huambatana na kodi kubwa na welfare ya kufa mtu. Na serikali zina ukomo wa kutoa welfare, na wananchi wana ukomo wa kulipa kodi.🤣🤣🤣🤣🤣 demokrasia si njia sahihi kuleta Maendeleo wakati huo huo kuna mifano chungu nzima duniani ya nchi ambazo zinaheshimu demokrasia duniani na zina maendeleo makubwa sana. ACHA HIZOOO!!!
Kuongezea, South Korea ilikuwa maskini kuliko Ghana.Wazungu wanakubrainwash unaingia kingi mkuu...
nitajie nchi iliyoendelea nikimaanisha kutoka kwenye umaskin tulio nao sisi mpaka kuwa taifa lililoendelea kama hayo mataifa ya Ulaya kupitia democracy??
na nimekwambia almost mataifa yote ya ulaya yameendelea chini ya Utawala wa kifalme
Mm nmeshakutajia Singapore walikuwa maskin wa kutupwa kama sisi,China walikuwa hawana mbele wala nyuma,Dubai lilikuwa jangwa tu lile miaka ya 60 Leo hizo nchi zinakaa Meza moja na mataifa makubwa na hakuna kitu kinachoitwa demokrasia wamekitumia
Hayo maendeleo yao hayajaletwa na demokrasia zao. Ni kosa kubwa tunafanya kuhusianisha maendeleo ya nchi na demokrasia. Mbaya zaidi, hiyo demokrasia imetabiriwa kwenda kuharibu maendeleo yao. Demokrasia huambatana na kodi kubwa na welfare ya kufa mtu. Na serikali zina ukomo wa kutoa welfare, na wananchi wana ukomo wa kulipa kodi.
Libya
Kuongezea, South Korea ilikuwa maskini kuliko Ghana.