Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiongozwa kidemokrasia

Umeongea ukweli demokrasia inaleta division kama mbinu ambazo mkoloni alitumia kumtawala mtu mweusi.

divide and rule.

Alikuja Meko hapa katawala miaka 5 tu.

mmeimba nyimbo zote nawashauri bakini na demokrasia yenu
Usisahau kusoma ratiba mpya ya kwenda kufagia na kumwagilia maua malaloni Chato.
Huwezi kujua waweza kubahatika kuongea na mzuka wa malaika mkuu mtarajiwa/mteule juu ya 'demokrasia' ya HUKO.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uchumi haupo hivyo eti mnafanya harakati za maendeleo alafu pesa zionekane mtaani, watu walitoa machozi jasho na damu kufika walipo, huwezi kujenga nyumba nzuri wakati una kipato cha kawaida zen at the same time ukawa una spend. Uchumi gn mmesoma waafrika?
Unataka kujenga nyumba halafu unaleta demokrasia ndani. Mwisho wa siku utaishia kununua chokleti, katuni na kula pilau na juisi ili kuwaridhisha watoto, ambao ndiyo wengi na wanasauti. Ukibisha wanakutoa kwenye 'ubaba.'
 
Uchumi ni safari ndefu, impacts za awamu ya tano zitaanza kuonekana baada ya miaka 5 au 10 kuanzia sasa.
 
Hatuna demokrasia ya kweli kwa hiyo usiilaumu kwa umasikini wetu. Kama demokrasia haitusaidii tungewaacha tuu wakoloni waendelee kututawala. Ni afadhali kutawaliwa na mkoloni mweupe kuliko dikteta mweusi.
 
Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.

Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.

Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Mdau, umechelewa sana kujuwa ukweli, sisi wengine tulishaliona hilo mapema. Maneno kama democracy, sustainable development, etc ni vijimaneno vilivyoletwa na mabeberu ili tusisonge mbele, tukalie hapahapa. Hivi ulishawai kujiuliza kuwa wakati mataifa tunayoimba kila siku kuwa yameendelea, ni kwa namna gani walipata hayo maendeleo? Tunasema kuwa Germany is superpower in euro zone, maedeleo yaliyoletwa na Hitler, je tunaufahamu fika utawala wa huyu mwamba? Ni wapumbavu tu wanaoabudu democrasia kwenye nchi ambayo umasikini, ujinga na maradhi BADO vinatawala
 
Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.

Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.

Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Itakusaidia sana ukirudi shule mahala wanapotoa darsa kamili kuhusu demokrasia, maana yake na viainishi vyake halisi ili ufikie hitimisho muafaka wa wazo lako.

Halafu, jua kuwa kinyume cha utawala wa kidemokrasia ni utawala wa mkuu wa majeshi. Hakuna uchaguzi na Rais hapangiwi cha kufanya wala hahojiwi kwa lolote.

Nakupa Equatorial Guinea kama mfano bora kabisa wa aina ya utawala unaopigia chapuo hapa.
 
Tatizo wtz wengi sio watu wa ku-think beyond their capacity, mfano hai, hivi hii fly-over ya ubungo bila one man show ingejengwa kweli? Yaani tungefuata sijui democrasia kuwa lile jengo la tanesco lisibomolewe, tungeweza? Mfano wa mwingine Bwawa la Nyerere, tungesikiliza vapour ya wapumbavu juu ya sustainable development, sijui nature na makolokolo mengine, lingejengwa? Wtz wenzagu, shutuka mapema, tunapigwaaa
 
Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.

Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.

Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Hi mkuu
Bila “demokrasia” kutakuwa na mchafuko au machafuko. Wewe fikiria scene ambapo kikundi cha watu wachache,wauwaji na mafisadi wa kupitiliza, washike nchi. Jaribu kufikiria pande zote mbili, hasi na chanya.

Demokrasia ni msingi wa maendeleo kama itasimamiwa vikamilifu. Nchi za Afrika bado zipo nyuma kwasababu hawafuati misingi ya demokrasia.Ni mfano wa Mkristo ambaye anasema yeye ni mkristo,lakini haendi kanisani.

Bado sana kwa Tanzania kusema kwamba kuna demokrasia.demokrasia sio kwenye “kura” tu, bali ipo kwenye nyanja nyingi ususani kwenye kuongoza kwa nchi usika.

Asante
 
Mwafrika hana uwezo wa kuongoza Jamii ikafanikiwa
 
Sasa mbona ktk Afrika, nchi nyingi ambazo kiuchumi ziko juu, ni zile zinazoongoza kwa demokrasia japo kwa kiwango fulani?na zile za makatiri sana hasa za west afrika ndiko umaskini umeshamiri?hii inakiwaje?

mfano mzuri hapa kwetu kwa awamu ya tano, licha ya ukatiri uliokuwepo ni hatua gani kubwa ya kimaendeleo tulifikia?

hali ya kiuchumi kwa wananchi ilikuwa mbaya , lakini waimba mapambio walikuwa wanasifia tu, leo hayupo ndio wanatuambia ukweli kuwa "jamani hali ilikuwa mbaya sana zile zilikuwa propaganda tu" tatizo la dikteta yeye ndiye anajiona kuwa anaakili kuliko wengine!!
Embu zitaje hizo zilizoendelea kupitia demokrasia
 
Wewe ni mwendawazimu
Hamna mkuu. Hata roho wamesema tuzichunguze kuona kama zinatoka kwa bwana, itakuwa hii mifumo tunayoletewa na watu ambao hawatataka kutuona tunainuka na kuwa washindani.
 
Watu watakubishia sana mleta Uzi ila ukweli mchungu ni kwamba hichi kitu kinachoitwa demokrasia hakitakaa kilete maendeleo katika bara la Africa na hata huko ulaya mataifa mengi yalipata na maendeleo katika mfumo wa kifalme hiyo demokrasia haikuwepo ,hapo marekani tu maendeleo yalikuja kukiwa na utumwa wa kutisha na kivuli cha demokrasia

NB:siyo lazima kutumia dictatorship kupata maendeleo ila ni muhimu kupata kiongozi mmoja mwenye malengo na uthubutu mithili ya Lee kuan Yew wa Singapore
 
Ahsante sana Mkuu huyu muanzisha mada KAKURUPUKA na wote wanaomsapoti na hii mada isiyo na mashiko kuhusu demokrasia nao hawaelewi ubaya wa udikteta au uzuri wa demokrasia katika kuleta maendeleo ya kweli katika nchi.

Hi mkuu
Bila “demokrasia” kutakuwa na mchafuko au machafuko. Wewe fikiria scene ambapo kikundi cha watu wachache,wauwaji na mafisadi wa kupitiliza, washike nchi. Jaribu kufikiria pande zote mbili, hasi na chanya.

Demokrasia ni msingi wa maendeleo kama itasimamiwa vikamilifu. Nchi za Afrika bado zipo nyuma kwasababu hawafuati misingi ya demokrasia.Ni mfano wa Mkristo ambaye anasema yeye ni mkristo,lakini haendi kanisani.

Bado sana kwa Tanzania kusema kwamba kuna demokrasia.demokrasia sio kwenye “kura” tu, bali ipo kwenye nyanja nyingi ususani kwenye kuongoza kwa nchi usika.

Asante
 
Itakusaidia sana ukirudi shule mahala wanapotoa darsa kamili kuhusu demokrasia, maana yake na viainishi vyake halisi ili ufikie hitimisho muafaka wa wazo lako.

Halafu, jua kuwa kinyume cha utawala wa kidemokrasia ni utawala wa mkuu wa majeshi. Hakuna uchaguzi na Rais hapangiwi cha kufanya wala hahojiwi kwa lolote.

Nakupa Equatorial Guinea kama mfano bora kabisa wa aina ya utawala unaopigia chapuo hapa.
Taja nchi iliyopata mageuzi ya kimaendeleo kupitia democracy

Kiufupi tu in kwamba tumechagua kupiga "mark time" tukidanyana kuwa tutaendelea kwa Sera sijui mipango ya muda mfupi ila kama tunataka kuwa taifa lililoendelea linalojitegemea lazima tutafute njia nyingine ya uongozi hii democracy ni uongo wa mchana
 
Afika kulikuwa na Madikteta mbali mbali dhalimu magufuli, Idi Amin, Bokasa, Mugabe, na wengine wengi lakini nchi zao hazina maendeleo yoyote. Angalia CUBA kulikuwa na dikteta na mpaka sasa kuna udikteta chaguzi si huru na za haki umaskini CUBA ni wa kutisha sana. Udikteta ni UNYAMA na adui mkubwa wa HAKI, UHURU na MAENDELEO ya kweli katika nchi yoyote ile duniani.

Watu watakubishia sana mleta Uzi ila ukweli mchungu ni kwamba hichi kitu kinachoitwa demokrasia hakitakaa kilete maendeleo katika bars la Africa na hats huko ulaya mataifa mengi yalipata na ndeleo katika mfumo wa kifalme hiyo demokrasia haikuwepo ,hapo marekani tu maendeleo yalikuja kukowa na utumwa wa kutisha na kivuli cha demokrasia

NB:siyo lazima kutumia dictatorship kupata maendeleo ila in muhimu kupata kiongozi mmoja mwenye malengo na uthubutu mithili ya Lee kuan Yew wa Singapore
 
Back
Top Bottom