Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
asa hii ya huku nayo mikate? au tunakula maboksi na chai tuKweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai.
Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo, Zimbabwe, Zambia, USA wataita hotdog Ila ndio huohuo, Ulaya ukipandisha bei ya mkate utapata shida Sana.
Kwa wakristo sala ya Bwana kuna ile phrase ya our daily bread imekuwa termed kama chakula, hata Yesu Alilisha watu elfu tano samaki na mkate. Mkate ni chakula sio kitafunwa Kwa wenzetu.
Uache kula ugali utakula nini kingine kama siyo kutafuta kifo cha ujanani ?Ukiweza kujizuia mambo matatu utafika mbali;
1. Ugali
2. Pombe
3. Vikao vya hovyo na marafiki wa hovyo.
Sasa kama halipo, kelele za majumbani ni za nini sasa?[emoji3] unakuta Baba mzima anamkimbia mke anashinda anazurura kama mbuzi wamtaani kule buguruni ha ha ha ha, sasa shida ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la nguvu za kiume halipo ila wafanyabiashara wa mitishamba walitengeneza liwe tatizo ili wapige hela kwa kulitangaza sana.
Vilevile kama umenotice kitu currently kuna wahuni wana advocate" Mental Health" kwa kufanya ionekane kuwa ni tatizo kubwa linalohitaji intervention wakati hata halipo watu wanatafuta namna ya kupiga hela za watu.
Rejea namna mafuta ya wanyama yalivyopigwa vita na watengenezaji wa mafuta ya mimea enzi hizo utabaini trend ilivyo.
Usicheze na wajasiriamali.
Watu wameaminishwa tu kuwa kuna tatizo hilo vichwani mwao na wanawake nao wameaminishwa hivyo inageuka kuwa psychological battle kwa kila upande ilihali hawana tatizo lolote.Sasa kama halipo, kelele za majumbani ni za nini sasa?[emoji3] unakuta Baba mzima anamkimbia mke anashinda anazurura kama mbuzi wamtaani kule buguruni ha ha ha ha, sasa shida ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakula Mikate hata minne na kushiba siwezi.Kuna mikate arusha inauzwa hadi sh 10,000, ni whole grain,ule mkate huwezi maliaza silesi 10.ile mnayo uziwa madukani sio mikate ni uchafu
Mmmm labda, sasa kama mke yupo tu Mme anamuona kama jinsia yake, sasa hapo mke atasema nini hapo?Watu wameaminishwa tu kuwa kuna tatizo hilo vichwani mwao na wanawake nao wameaminishwa hivyo inageuka kuwa psychological battle kwa kila upande ilihali hawana tatizo lolote.
Nguvu za kiume as a problem limeibuka 2010 jamii nzima inaweza kuugua ugonjwa unaofanana in a span of 12 yrs ?
Pizza na Burger ni mkate piaMkate mwenyewe nakula na kulala vizuri kabisa ni uandaaji tu
Ila kama ni mkate tu na chai hiiiiiiiiii
Unaambiwa mikate isiyotiwa chachu na samaki.Yani unakula mkate alafu unaenda shamba kulima 🤔🤔 ili nile mkate nitosheke ni mifuko miwili mikubwa tena hiyo ni chai tuu, tuache na ushamba wetu tuu, kula ugali ni utamaduni wetu
Chakula kisichoshibisha ni makande na ndiziMimi nakula Mikate hata minne na kushiba siwezi.
Mayonnaise ndiyo vitu gani mkuu ?
Mira na desturi ndivyo kutofautisha jamii, na sio static mazingira yanahusika kuweza kukubadirisha.Unilishe mkate na soda halafu nilale? Haikubaliki
Bongo kuna vyakula vitamu sana. Ukienda kwa majirani utawaonea huruma vyakula vyao na jinsi wanavyovipika. Kenya wana ile githeri.