huenda hao watetezi ndio wajinga gentleman.Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho.
Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini.
Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.