Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho.
Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini.
Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.

unakuta eti mtu anadai yeye ni mtetezi, wakati kashindwa kujitetea na kujikomboa yeye kibinafsi hata kiuchumi tu, anaishi kwa kuombaomba kuchangiwa pesa za kujikimu, huku akadhani wananchi watadanganyika anapowadanganya kwamba eti anawatetea na anakusudia kuwakomboa kisiasa.
In fact,
wajinga wailiisha Africa.
Hakuna muafrica anaweza kudanganywa kindezi hivyo gentleman 🐒