Nchi tatu za Ulaya zinaongozwa na marais mashoga; hatuna cha kushauriwa nao

Kama hawana cha kukufundisha basi ata mikopo,misaada yao achana nayo pia usipeleke ata mitoto yenu kwenda kusoma,kufanya kaz uko
Hatutaki misaada yao na watoto wetu hatupeleki
 
Hao unaowakandia ni mashoga ndio wafadhali wakubwa wa nchi yenu, kenge wewe. Mkifanya mambo ya hovyo lazima wawapige bit ili muheshimu na kujali maisha ya watu
 
Hivi wewe jamaa unayejiita mstaafu hivi una akili hata moja kweli? Hivi ni kwamba huoni kabisa hoja wanazozipigia kelele wapinzani na walioandamana mkawaua? Umewekewa hadi majina ya waliouawa ambao ndio moja ya sababu ya watu kuandamana na wapinzani kupaza sauti. Ukiachilia hao waliotekwa na kuuawa pia kuna ubadhirifu na wizi wa mali za umma kwa mujibu wa ripoti ya CAG. Kwa hiyo vyote hivi huvioni? Nauliza tena una akili hata moja kweli wewe? Anyway achana na swali la kuwa na akili, hebu niambie huyaoni haya hapo juu niliyokuorodhoshea ambayo ndio yanapigiwa kelele?
 
Hayo ya ushoga wao hayakuhusu bali kumbuka
 
Kama hawana cha kukufundisha basi ata mikopo,misaada yao achana nayo pia usipeleke ata mitoto yenu kwenda kusoma,kufanya kaz uko
Wadanyeni hao mizombie wa CHADEMA kuwa humo Bunge la Ulaya lina nguvu yeyote. Israel hushambuliwa kwa maneno makali zaidi ya haya na Israel inaendelea kuuwa wapalestina kwa maelfu. Hayo ni maoni ya huyo mtoa maoni, maoni yake tu tunayaheshimu na sio amri.
 
Mbona hayo ni binafsi zaidi ukilinganisha na hoja iliyo mezani?
 
Mashoga huku hela zao mnazitaka,nenda kafirane huko na mashoga wenzako wakina bashite.
Leo nimetupa jiwe gizani, machoko wote wanafura kwa hasira. Vumilia tu kama unavyovumilia uboo
 
Hao unaowakandia ni mashoga ndio wafadhali wakubwa wa nchi yenu, kenge wewe. Mkifanya mambo ya hovyo lazima wawapige bit ili muheshimu na kujali maisha ya watu
Basi yaambie hayo mashoga ya Bunge lenu la Ulaya yaje yamkomboe Tundu kama alivyochukuliwa Maduro. Watachezea kipigo kama cha Iran
 
Nimetupa jiwe gizani, na mashoga mmetokeza. Aibu
Kuna wakati ninakuona ni mtu mwenye akili. Ila kuna wakati unakuwa na ubongo kama wa kuku. Wewe umekuja na uzi wako wa mashoga! Ulikoutoa unajua mwenyewe. Watu wanajitokeza kukukosoa, unawaita mashoga!

Huoni kama una matatizo ya akili
 
Ninayaona ile hatuwezi kupangiwa na mashoga wa Bunge la Ulaya, period.
 
Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea.
Thubutuu...

Hamjafikia kiwango hicho cha kukataa misaada, nyie Chawa pigeni yowe tu ila serikali yenu inafahamu hilo.
 
Kuna wakati ninakuona ni mtu mwenye akili. Ila kuna wakati unakuwa na ubongo kama wa kuku. Wewe umekuja na uzi wako wa mashoga! Ulikoutoa unajua mwenyewe. Watu wanajitokeza kukukosoa, unawaita mashoga!

Huoni kama una matatizo ya akili
 
Sawa kabisa. Sasa kama unayaona tufanyaje ili yasiwepo?
Tuyajadili wenyewe kama Taifa, lakini tusitegemee mzungu kutoka Belgium ndiyo atusaidie
 
Thubutuu...

Hamjafikia kiwango hicho cha kukataa misaada, nyie Chawa pigeni yowe tu ila serikali yenu inafahamu hilo.
Wewe kunguni leta mahesabu hapa tuone hao European Parliament wanaleta misaada gani kutoka nchi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…