Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

Kama walisusa, kulikuwa na haja gani ya kukamata viongozi wa upinzani kabla hata ya hayo maandamano na kutisha wanaotaka kuandamana?
Mimi nilidhani baada ya viongozi wenu kukamatwa ndio moto ungelipuka zaidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajihangaisha bure tu!

Kina Lema ndio hao wanawakimbia! Hapo chadema atabaki Mbowe pekeake
Mbowe atakijenga chama upya na hakimbii ni mpiganaji wa kweli siyo hao vibaraka wengine na bora tu wakapewe uraia wa Kenya,,vipi Sugu na Msigwa hawaendi Kenya kusalimisha maisha yao?
 
Inaeleweka watu wa "saccos" hawapendi maendeleo ya wa Tanzania, imani yao ni kwamba ili maendeleo yawepo basi wa kupata ni watu wa "Saccos" na ndugu zao au wenye nasaba nao
 
Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!

Mmelikoroga, sasa mlinywe.
ujenge tabia ya kujiamini kwa kujitegemea,wamekoroga nini sasa na je unataka wambunge waingie kwenye kamati ambao kiuhalisia hawapo?

Kama wabunge wenu wanakubaliana na wabunge wa ccm kufanya wanachotaka wabunge wa ccm nani mwenye tatizo hapo sasa wabunge wa ccm au wa chadema?
 
Tatizo mmekariri upinzani ni chadema pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Wahisani sio wajinga kiasi hicho watoe pesa zao kwa upinzani wa kuokoteleza wanajua kila kitu.
Hakuna mpinzani wa kuokoteleza. Ndumba mliyolishwa huko CDM inapumbaza sana
Haha Numbisa waelewe hao..... wanamaanisha chadema ndio wapinzani halali kwa maslahi ya hao mabwana wenye kutoa pesa. Yaani chadema sio wenzetu kabisa
 
Kutwa kulazimisha kuingia kenya bila vibali wakisingizia wanakimbia kuuawa. Wamebaki na wimbo wa wahisani
Haha Numbisa waelewe hao..... wanamaanisha chadema ndio wapinzani halali kwa maslahi ya hao mabwana wenye kutoa pesa. Yaani chadema sio wenzetu kabisa
 
Tatizo mmekariri upinzani ni chadema pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Akishachukua hao halafu anawapigia simu Wahisani a.k.a Mabeberu kuwa njooni upinzani tayari? Au mnadhani Mabeberu wana akili kama nyie?
 
Kwa khariba ya Mzee JPM anaweza kuachana na hizo pesa then tuone hao wachedema watakuja na Habari gani mpya
 
Tatizo mmekariri upinzani ni chadema pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Hivyo viti jimbo lake na chama chao ni IKULU.
 
Kutwa kulazimisha kuingia kenya bila vibali wakisingizia wanakimbia kuuawa. Wamebaki na wimbo wa wahisani

Komba alisema "waacheni waandamane eee.... "
Pata msg ukiwa unaendelea kuchapa kazi zako

Kumbe wahisani huwa wanapigiwa simu. Mkuu wewe ni secretary wa kubembeleza mabeberu ama?
Akishachukua hao halafu anawapigia simu Wahisani a.k.a Mabeberu kuwa njooni upinzani tayari? Au mnadhani Mabeberu wana akili kisoda kama nyie?
 
Kwa hiyo wahisani wasipotoa pesa Tanzania inakufa?

Ni haki yao kutoa pesa au la. Hakuna anayewalazimisha na wao wasitulazimishe tukiamua kufanya tunavyotaka!

Tukinyimwa pesa na wahisani itatusaidia kutafuta njia zingine za kukabiliana na changamoto hiyo.
Tanzania haifi, ila ww na mm tutaisoma namba ila viongozi wataendelea kula mema ya nchi
 
Back
Top Bottom