niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Mimi nilidhani baada ya viongozi wenu kukamatwa ndio moto ungelipuka zaidi.Kama walisusa, kulikuwa na haja gani ya kukamata viongozi wa upinzani kabla hata ya hayo maandamano na kutisha wanaotaka kuandamana?
Mwanzoni ulisema hivyo?Endeleeni tu na hujuma zenu iko siku tutafika huko.Mimi nilidhani baada ya viongozi wenu kukamatwa ndio moto ungelipuka zaidi.
Mimi nilidhani baada ya viongozi wenu kukamatwa ndio moto ungelipuka zaidi.
Mbowe atakijenga chama upya na hakimbii ni mpiganaji wa kweli siyo hao vibaraka wengine na bora tu wakapewe uraia wa Kenya,,vipi Sugu na Msigwa hawaendi Kenya kusalimisha maisha yao?[emoji23][emoji23][emoji23]Unajihangaisha bure tu!
Kina Lema ndio hao wanawakimbia! Hapo chadema atabaki Mbowe pekeake
ujenge tabia ya kujiamini kwa kujitegemea,wamekoroga nini sasa na je unataka wambunge waingie kwenye kamati ambao kiuhalisia hawapo?Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!
Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Tatizo mmekariri upinzani ni chadema pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Wahisani sio wajinga kiasi hicho watoe pesa zao kwa upinzani wa kuokoteleza wanajua kila kitu.
Haha Numbisa waelewe hao..... wanamaanisha chadema ndio wapinzani halali kwa maslahi ya hao mabwana wenye kutoa pesa. Yaani chadema sio wenzetu kabisaHakuna mpinzani wa kuokoteleza. Ndumba mliyolishwa huko CDM inapumbaza sana
Mkuu, waaaaapiiiii Bia yetu ? Naona yeye ndiye Mzalendo halisi. Sio wewe unayetumia VPN!Kabisaa na ule msemo wao wa nchi haitakalika watu tulisubiria tuone movies na makali yao
Haha Numbisa waelewe hao..... wanamaanisha chadema ndio wapinzani halali kwa maslahi ya hao mabwana wenye kutoa pesa. Yaani chadema sio wenzetu kabisa
Labda ufike wewe lakini watanzania hawawezi kufika huko kwasababu ya matumbo yenu.Mwanzoni ulisema hivyo?Endeleeni tu na hujuma zenu iko siku tutafika huko.
Akishachukua hao halafu anawapigia simu Wahisani a.k.a Mabeberu kuwa njooni upinzani tayari? Au mnadhani Mabeberu wana akili kama nyie?Tatizo mmekariri upinzani ni chadema pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Matumbo yenu ndio chanzo cha uovu wote huu unaendelea sasa.Labda ufike wewe lakini watanzania hawawezi kufika huko kwasababu ya matumbo yenu.
Hivyo viti jimbo lake na chama chao ni IKULU.Tatizo mmekariri upinzani ni chadema pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Hivyo viti jimbo lake na chama chao ni IKULU.
Kutwa kulazimisha kuingia kenya bila vibali wakisingizia wanakimbia kuuawa. Wamebaki na wimbo wa wahisani
Akishachukua hao halafu anawapigia simu Wahisani a.k.a Mabeberu kuwa njooni upinzani tayari? Au mnadhani Mabeberu wana akili kisoda kama nyie?
Tanzania haifi, ila ww na mm tutaisoma namba ila viongozi wataendelea kula mema ya nchiKwa hiyo wahisani wasipotoa pesa Tanzania inakufa?
Ni haki yao kutoa pesa au la. Hakuna anayewalazimisha na wao wasitulazimishe tukiamua kufanya tunavyotaka!
Tukinyimwa pesa na wahisani itatusaidia kutafuta njia zingine za kukabiliana na changamoto hiyo.
Wahisani hela mpinzani queen na mbatia kweli wao hiz siasa za hovyo hawazioniWapinzani wa aina hiyo hawawezi kukubalika na kuaminiwa na wahisani.