Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kama majina ni ya kufoji hao machadema hayatakwenda bungeni. Kama wakienda na mkashangilia ujue ni uamuzi wa mwenyekiti wa saccos maana anataka mishahara ya hao vitu maalumSasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!
Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Unataka lazima wawe chadema ndo wakubalike? Wananchi wamewakataa mashetani na kazi zenu zote.Wapinzani wa aina hiyo hawawezi kukubalika na kuaminiwa na wahisani.
Lazima akimbie, alitapeli watu pesa kwamba yeye atakuwa waziri wa Mambo ya ndani na Mbowe atakuwa waziri mkuu maana Lissu keshakuwa rais wa ufipa saccos.[emoji23][emoji23][emoji23]Unajihangaisha bure tu!
Kina Lema ndio hao wanawakimbia! Hapo CHADEMA atabaki Mbowe pekeake
Ndivyo walivyoaminishwa pale ufipa.Wahisani wanawakubali kina Lema na kina Mbowe tu?
Rais anapomteua mtu haokotezi, labda Kama huko ufipa Mbowe huwa anaokoteza anaowateuwa.Wahisani sio wajinga kiasi hicho watoe pesa zao kwa upinzani wa kuokoteleza wanajua kila kitu.
Mkuu kubalini uchaguzi umekwisha na washindi wameshapatikana. Umma umewakataa.Matumbo yenu ndio chanzo cha uovu wote huu unaendelea sasa.
Wabunge wa kuchaguliwa wapo wengi, chadema 1, ACT wazalendo 3, CUF 3 jumla 7. Kamati wanaotakiwa kuongoza hazifiki 5. Sasa tatizo liko wapi Hadi mng'ang'anie eti lazima Mbowe na Zitto tuu ndo wanaotakiwa?Duuu!!!
Umeishia darasa la ngapi? Unajua maana ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa? Kanuni za Bunge zinasema kuhusu wabunge wa kuchaguliwa na wananchi hawa ndiyo wanahitajika
Yaani unavoongea uyafikiri hiyo ban wewe haitakuhusu [emoji28][emoji28]Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!
Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Kwani ili upinzani ukamilike Hadi Nini kifanyike? Usiropoke tuu eti upinzani ukamilike sema Nini unataka ili upinzani ukamilike, usilete habari za Mbowe na Zitto.Kwahiyo akiteua majina 10 ndio upinzani bungeni utakamika, give me a break rais Magufuli ateue wapinzani 10? halafu waje wapinge maendeleo labda siyo Magufuli ninayemjua.
Yaani Rais ambaye kikatiba anaruhusiwa kuteua majina 10 ya watanzania kuwa wabunge halafu wahangaike na wabunge wa viti maalum wa CHADEMA!
Propaganda za majina waanzishe wenyewe halafu majibu ya propaganda mnatoa wenyewe!
Kwa hiyo mlitishika baada ya kutishwa? Ndo polisi waliwaita wachumba hamuonekani kwenye màandamano kumbe walaini hivi?Kama walisusa, kulikuwa na haja gani ya kukamata viongozi wa upinzani kabla hata ya hayo maandamano na kutisha wanaotaka kuandamana?
Hawa majamaa bhanaYaani Rais ambaye kikatiba anaruhusiwa kuteua majina 10 ya watanzania kuwa wabunge halafu wahangaike na wabunge wa viti maalum wa CHADEMA!
Propaganda za majina waanzishe wenyewe halafu majibu ya propaganda mnatoa wenyewe!
Wamelikoroga how? Kama unayoyasema yapo hivyo basi walikuwa wanajua na wamejiandaa kwa hilo. Nyie ndo mnatapatapa...waache wakose hela za wahisani ni maamuzi yao.Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!
Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Amepanic utadhani mgao unamuhusisha na yeyeBwashee mbona una wasiwasi?!
Kulikuwa na haja ya kuwachochea zaidi na kuwatia hasira muingie barabarani, ila ndio ivyo, mkafyata mikia, basi ikabidi wawaachie tu, waendelee kureport police waone kama watareport na waandamanaji labda, ila ndio ivyo, hamna support mnayodhani mnayo.Kama walisusa, kulikuwa na haja gani ya kukamata viongozi wa upinzani kabla hata ya hayo maandamano na kutisha wanaotaka kuandamana?
Ni darasa la ngapi wanafundisha kanuni za bunge?Duuu!!!
Umeishia darasa la ngapi? Unajua maana ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa? Kanuni za Bunge zinasema kuhusu wabunge wa kuchaguliwa na wananchi hawa ndiyo wanahitajika
Usituulize ukoje kama hujasoma na kuelimika sisi jukumu letu kukuelimisha.Uchaguzi huru na haki unataka uweje? Mbona 2020 tumefanya uchaguzi wa haki na Uhuru.
Sio wewe, Bali shetani aliyepanda kwako ndio sababu ya Ujinga uliomo ndani yako kuliombea Taifa lako mabayaMnafanya mabaya alafu mnataka matokeo mema. Hii ni akili au matoke?
Unaweza kupanda bangi ukavuna maharage?
Una akili za ukoko kweli wewe!Uchaguzi huru na haki unataka uweje? Mbona 2020 tumefanya uchaguzi wa haki na Uhuru.