Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!

Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Kama majina ni ya kufoji hao machadema hayatakwenda bungeni. Kama wakienda na mkashangilia ujue ni uamuzi wa mwenyekiti wa saccos maana anataka mishahara ya hao vitu maalum
 
Sindano imegota kwenye mfupa... Chademu sasa ni kielelezo cha ule usemi wa wahenga, '' kupasuka kwa mk... ... hutawanyika''
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajihangaisha bure tu!

Kina Lema ndio hao wanawakimbia! Hapo CHADEMA atabaki Mbowe pekeake
Lazima akimbie, alitapeli watu pesa kwamba yeye atakuwa waziri wa Mambo ya ndani na Mbowe atakuwa waziri mkuu maana Lissu keshakuwa rais wa ufipa saccos.
 
Duuu!!!
Umeishia darasa la ngapi? Unajua maana ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa? Kanuni za Bunge zinasema kuhusu wabunge wa kuchaguliwa na wananchi hawa ndiyo wanahitajika
Wabunge wa kuchaguliwa wapo wengi, chadema 1, ACT wazalendo 3, CUF 3 jumla 7. Kamati wanaotakiwa kuongoza hazifiki 5. Sasa tatizo liko wapi Hadi mng'ang'anie eti lazima Mbowe na Zitto tuu ndo wanaotakiwa?
 
Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!

Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Yaani unavoongea uyafikiri hiyo ban wewe haitakuhusu [emoji28][emoji28]
 
Kwahiyo akiteua majina 10 ndio upinzani bungeni utakamika, give me a break rais Magufuli ateue wapinzani 10? halafu waje wapinge maendeleo labda siyo Magufuli ninayemjua.
Kwani ili upinzani ukamilike Hadi Nini kifanyike? Usiropoke tuu eti upinzani ukamilike sema Nini unataka ili upinzani ukamilike, usilete habari za Mbowe na Zitto.
 
Rais akiyateua hayo majina ya Wabunge 10 wanakuwa ni wabunge wa upinzani?
Yaani Rais ambaye kikatiba anaruhusiwa kuteua majina 10 ya watanzania kuwa wabunge halafu wahangaike na wabunge wa viti maalum wa CHADEMA!

Propaganda za majina waanzishe wenyewe halafu majibu ya propaganda mnatoa wenyewe!
 
Kama walisusa, kulikuwa na haja gani ya kukamata viongozi wa upinzani kabla hata ya hayo maandamano na kutisha wanaotaka kuandamana?
Kwa hiyo mlitishika baada ya kutishwa? Ndo polisi waliwaita wachumba hamuonekani kwenye màandamano kumbe walaini hivi?
Kwa hiyo mkitanga màandamano mnataka serikali ikae kimya tuu? Hiyo serikali labbda ya Lissu na poyoyo wake Salum Mwalimu.
 
Yaani Rais ambaye kikatiba anaruhusiwa kuteua majina 10 ya watanzania kuwa wabunge halafu wahangaike na wabunge wa viti maalum wa CHADEMA!

Propaganda za majina waanzishe wenyewe halafu majibu ya propaganda mnatoa wenyewe!
Hawa majamaa bhana
 
Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!

Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Wamelikoroga how? Kama unayoyasema yapo hivyo basi walikuwa wanajua na wamejiandaa kwa hilo. Nyie ndo mnatapatapa...waache wakose hela za wahisani ni maamuzi yao.
 
Kama walisusa, kulikuwa na haja gani ya kukamata viongozi wa upinzani kabla hata ya hayo maandamano na kutisha wanaotaka kuandamana?
Kulikuwa na haja ya kuwachochea zaidi na kuwatia hasira muingie barabarani, ila ndio ivyo, mkafyata mikia, basi ikabidi wawaachie tu, waendelee kureport police waone kama watareport na waandamanaji labda, ila ndio ivyo, hamna support mnayodhani mnayo.
Poleni sana
 
Duuu!!!
Umeishia darasa la ngapi? Unajua maana ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa? Kanuni za Bunge zinasema kuhusu wabunge wa kuchaguliwa na wananchi hawa ndiyo wanahitajika
Ni darasa la ngapi wanafundisha kanuni za bunge?
 
Mnafanya mabaya alafu mnataka matokeo mema. Hii ni akili au matoke?

Unaweza kupanda bangi ukavuna maharage?
Sio wewe, Bali shetani aliyepanda kwako ndio sababu ya Ujinga uliomo ndani yako kuliombea Taifa lako mabaya
 
Back
Top Bottom