Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

Tatizo mmekariri upinzani ni CHADEMA pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Unaelewa maana ya upinzani? Yaani mtu akuteue ili ukampinge, ukitafakari kwa akili yako ya kawaida unaona inaleta maana?!
 
Mwanzoni ulisema hivyo?Endeleeni tu na hujuma zenu iko siku tutafika huko.
Sasa mliitisha màandamano ya Nini Kama hamkuwa tayari kuandamana? Subiri " mfike huko" ndo muitishe màandamano la sivyo mtabaki wachumba wa Askari tuu.
 
Unanjia gani mbadala yakupata fedha wewe,subiri njaa itungute sawasawa kuliko ya miaka 5 iliyopita.
 
Acha ndoto zako za alinacha wewee, kwani hela ni zao au zetu? mbona mnapenda sana kutukuza utwana? Hatutegemei hela za wahisani sisi, hujui kuwa sisi ni matajiri? Imeisha hiyoooooooooooo
 
Ukitafakari kwa akili yako huyo chadema wa nkasi na huyo wa cuf sio wapinzani?mnajisahaulisha tu
Unaelewa maana ya upinzani? Yaani mtu akuteue ili ukampinge, ukitafakari kwa akili yako ya kawaida unaona inaleta maana?!
 
Vijana walimu wanahitaji ajira13000, mnataka kupotezea,tungeni uongo kuwa mmeshawaajiri tayari kama kawaida yenu
 
Ukitafakari kwa akili yako huyo chadema wa nkasi na huyo wa cuf sio wapinzani?mnajisahaulisha tu
Me sijazungumzia hao walio chaguliwa, nimejibu comment yako uliyodai kuwa rais anaweza kuteua wapinzani 10 kwa mamlaka aliyopewa na katiba ili wakaongoze hizo kamati.

Ndipo nikakuhoji, kwa maana ya kawaida ya upinzani unawezaje kumteua mtu ili akakupinge?
 
Comment yangu niewaweka wote pamoja. Mbona mbatia alishachaguliwa kwenye hizo siti 10 na mkaungana nae kwenye kupinga pinga.

Pia usiibadili ile comment hakuna nilipoandika wabunge wote 10 etc haimaanishi kumi ni ka alama ka jumlisha hata moja
 
Hakujawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki ila kwa kuwa safari hii wakina Mbowe na wenzie hawakwenda bungeni basi ndio wamekazia kuwa uchaguzi sio wa haki na hadi kuzuia wengine kwenda bungeni wakati chaguzi zilizopita hatukuona wakifanya hivyo.
 
Bahati mbaya haujui nguvu ya nchi waisani. Google ujue kilichopelekea Zinbabwe na Mugabe wawe walivyo leo. Pqmoja na utii wa jeshi la Zimbabwe kwa Mugabe njaa iliwauma wakampindulia mbali. Al- Bashiru wa Sudan yupo the Hague ICC baada ya jeshi kuchoshwa na vikwazo. Mzee Baba leo ni mzuri kwako lakin ikifika hatua mafuta ya petrol lita moja ikauzwa elf 50 ndo utawajua vzr hao unaowabeza. Nchi zote zinazotuuzia mafuta ni Washirika wa US, leo USA akiwachimbia mkwara wasituulizie mafuta salama yetu itakuwa wapi. Daladala nauli itakuwa elfu 5 kutoka mia 4. Hao watu acha usiwashibe shalubu zao tutaumia
 
Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!

Mmelikoroga, sasa mlinywe.
Wanahangaika mno; wanataka kuhalalisha dhuruma!!

Zigo la dhambi linawaelemea... kwanza wengi wao hawana furaha kabisa!! we angalia body language zao!! Dhambi inakula nafsi taratibuu!!
 
Kama mkizikosa hizo pesa hamuwezi kufa ni kwa nini hamjawahi kusema hamzihitaji? Mumesubiria ionekane mtanyimwa ndio muanze kujifaragua kuwa hata zikikosekana mtaishi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…