Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #61
Kuna mashetani zaidi ya yale yanayoiba kura?Sio wewe, Bali shetani aliyepanda kwako ndio sababu ya Ujinga uliomo ndani yako kuliombea Taifa lako mabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mashetani zaidi ya yale yanayoiba kura?Sio wewe, Bali shetani aliyepanda kwako ndio sababu ya Ujinga uliomo ndani yako kuliombea Taifa lako mabaya
Ninakuombea tu ili shetani asikufikishe mahali ukajinyonga Kwa vile umeamua kumtumikia!Kuna mashetani zaidi ya yale yanayoiba kura?
Unaelewa maana ya upinzani? Yaani mtu akuteue ili ukampinge, ukitafakari kwa akili yako ya kawaida unaona inaleta maana?!Tatizo mmekariri upinzani ni CHADEMA pekee. Magu ana nafasi kumi akichukua Queen Sendiga, Mbatia etc kisha jumlisha wa Nkasi na wa CUF upinzani ushakamilika kuongoza hizo kamati mnazolilia.
Uchaguzi huru na haki unataka uweje? Mbona 2020 tumefanya Uchaguzi wa Haki na Uhuru.
Sasa mliitisha màandamano ya Nini Kama hamkuwa tayari kuandamana? Subiri " mfike huko" ndo muitishe màandamano la sivyo mtabaki wachumba wa Askari tuu.Mwanzoni ulisema hivyo?Endeleeni tu na hujuma zenu iko siku tutafika huko.
Unanjia gani mbadala yakupata fedha wewe,subiri njaa itungute sawasawa kuliko ya miaka 5 iliyopita.Kwahiyo Wahisani wasipotoa Pesa Tanzania inakufa?
Ni haki yao kutoa pesa au la. Hakuna anayewalazimisha na wao wasitulazimishe tukiamua kufanya tunavyotaka!
Tukinyimwa Pesa na Wahisani itatusaidia kutafuta njia zingine za kukabiliana na changamoto hiyo.
Acha ndoto zako za alinacha wewee, kwani hela ni zao au zetu? mbona mnapenda sana kutukuza utwana? Hatutegemei hela za wahisani sisi, hujui kuwa sisi ni matajiri? Imeisha hiyooooooooooooNi Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima la matumizi ya fedha za Umma na zile zinazotolewa na wahisani.
Kwa sababu hiyo, naamini mpaka sasa wahisani hawa watakuwa wanafuatulia, na hivyo wana taarifa zote za nini kinaendelea hasa kuhusu tuhuma/ madai ya NEC kupeleka majina ya Wabunge wa viti maalum wa CHADEMA huku CHADEMA wakikana majina hayo.
Katika hili sakata, ninachotarajia kukiona ni wafadhili kusita kutoa fedha zao iwapo watajiridhisha juu ya madai hayo na watakuwa tayari tu kutoa hizo fedha pale kamati hizo zitapoongozwa na watu wanaostahili na si vinginevyo.
Kama tungekuwa na Uchaguzi Huru na wa Haki, na CCM wakashinda viti vyote, basi hapo hata wafadhili wengeona umuhimu wa kutazama upya jambo hili au kuangalia kanuni zinasemaje iwapo itatokea wapinzani wanashindwa kihalali katika Uchaguzi, lakini sio kwa Uchaguzi huu na zaidi si kwa hizi tuhuma za kutaka kufoji majina ya Wabunge wa viti maalum kutoka Upinzani ili wakaunde hizo Kamati.
Huu pia, kulingana na mtazamo wangu, unaweza kuwa ni mbinyo wa awali wa kulazimisha tuwe na mifumo huru ya Uchaguzi na hata kukazia madai ya Wapinzani kutaka Uchaguzi urudiwe.
Muda utaongea.
Unaelewa maana ya upinzani? Yaani mtu akuteue ili ukampinge, ukitafakari kwa akili yako ya kawaida unaona inaleta maana?!
Vijana walimu wanahitaji ajira13000, mnataka kupotezea,tungeni uongo kuwa mmeshawaajiri tayari kama kawaida yenuKwahiyo Wahisani wasipotoa Pesa Tanzania inakufa?
Ni haki yao kutoa pesa au la. Hakuna anayewalazimisha na wao wasitulazimishe tukiamua kufanya tunavyotaka!
Tukinyimwa Pesa na Wahisani itatusaidia kutafuta njia zingine za kukabiliana na changamoto hiyo.
Me sijazungumzia hao walio chaguliwa, nimejibu comment yako uliyodai kuwa rais anaweza kuteua wapinzani 10 kwa mamlaka aliyopewa na katiba ili wakaongoze hizo kamati.Ukitafakari kwa akili yako huyo chadema wa nkasi na huyo wa cuf sio wapinzani?mnajisahaulisha tu
Me sijazungumzia hao walio chaguliwa, nimejibu comment yako uliyodai kuwa rais anaweza kuteua wapinzani 10 kwa mamlaka aliyopewa na katiba ili wakaongoze hizo kamati.
Ndipo nikakuhoji, kwa maana ya kawaida ya upinzani unawezaje kumteua mtu ili akakupinge?
Bahati mbaya haujui nguvu ya nchi waisani. Google ujue kilichopelekea Zinbabwe na Mugabe wawe walivyo leo. Pqmoja na utii wa jeshi la Zimbabwe kwa Mugabe njaa iliwauma wakampindulia mbali. Al- Bashiru wa Sudan yupo the Hague ICC baada ya jeshi kuchoshwa na vikwazo. Mzee Baba leo ni mzuri kwako lakin ikifika hatua mafuta ya petrol lita moja ikauzwa elf 50 ndo utawajua vzr hao unaowabeza. Nchi zote zinazotuuzia mafuta ni Washirika wa US, leo USA akiwachimbia mkwara wasituulizie mafuta salama yetu itakuwa wapi. Daladala nauli itakuwa elfu 5 kutoka mia 4. Hao watu acha usiwashibe shalubu zao tutaumiaKwahiyo Wahisani wasipotoa Pesa Tanzania inakufa?
Ni haki yao kutoa pesa au la. Hakuna anayewalazimisha na wao wasitulazimishe tukiamua kufanya tunavyotaka!
Tukinyimwa Pesa na Wahisani itatusaidia kutafuta njia zingine za kukabiliana na changamoto hiyo.
Wanahangaika mno; wanataka kuhalalisha dhuruma!!Sasa kwanini leo hii mnatuhumiwa kufoji majina wakati mna njia mbadala za kupata hizo fedha?!
Mmelikoroga, sasa mlinywe.
We mbona unajifanya kuwajua sana wahisani? Siku hizi umekuwa msemaji wao?Wapinzani wa aina hiyo hawawezi kukubalika na kuaminiwa na wahisani.
Nikusaidiaje sasa?We mbona unajifanya kuwajua sana wahisani? Siku hizi umekuwa msemaji wao?
Kama mkizikosa hizo pesa hamuwezi kufa ni kwa nini hamjawahi kusema hamzihitaji? Mumesubiria ionekane mtanyimwa ndio muanze kujifaragua kuwa hata zikikosekana mtaishi tu?Kwahiyo Wahisani wasipotoa Pesa Tanzania inakufa?
Ni haki yao kutoa pesa au la. Hakuna anayewalazimisha na wao wasitulazimishe tukiamua kufanya tunavyotaka!
Tukinyimwa Pesa na Wahisani itatusaidia kutafuta njia zingine za kukabiliana na changamoto hiyo.