sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Ni kama milioni 1 hivi kutokea Zanzibar, vp mkuu, hujatosheka na mmoja ?Nauli kutoka Tz mpaka chad bei gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama milioni 1 hivi kutokea Zanzibar, vp mkuu, hujatosheka na mmoja ?Nauli kutoka Tz mpaka chad bei gani
Cheti cha ndoa ya kikristo hakijawahi kuruhusu kuoa mke zaidi ya moja, nahisi hata barua ya posa hujawahi kuiona.Je ni dini au serikali inayoruhusu, kama ni serikali hata hapa kwetu inaruhusu hata 10
Kwa huku kwetu wala tusijaribu,kama mke mmoja unajipiga risasi,ukiwa nao watano si itakuwa balaa...View attachment 2254348
Hali ndivyo ilivyo, Dini ya kikristo imekuwa ni kama gereza kwa wanaume wengi ambao wanahitaji kuwa na mke zaidi ya moja lakini hawana namna,
Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kama ni mkristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wa kiksrito kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.
Pia biblia haijawahi kukataza kuoa mke zaidi ya moja bali ni makanisa yaliyotengenezwa na wazungu yanayopotosha kwamba mwanaume inabi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.
1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
katika ndoa zaidi ya milioni 2 hivi kuna matukio yanayofikia hata matatu ya watu waliojipiga risasi kwasababu ya ndoa mwaka huu ?Kwa huku kwetu wala tusijaribu,kama mke mmoja unajipiga risasi,ukiwa nao watano si itakuwa balaa...
Ni upuuzi tuu wa hapa BongoNchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kama ni mkristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.
Nchi kama zetu hizi ndoa za kikristo zipo kwa nadharia zaidi kuliko uhalisia, Mwanaume wa kiafrika kutosheka na mke moja ni nadra sana, ipo ndani enzi hadi enzi hata utamaduni wetu mababu zetu wameoa mke zaidi ya moja, hata kwenye biblia manabii kibao walioa mke zaidi ya moja na kufanya kazi za kinabii kwa baraka zote.
Matokeo ya hizi ndoa za mke moja michepuko imeshamiri sana ndoa za kikristo, Wanawake hujihisi wapo sawa na waume zao maana mume wake hana ujanja wa kuongeza mke, n.k.
Pia biblia haijawahi kukataza kuoa mke zaidi ya moja bali ni makanisa yaliyotengenezwa na wazungu yanayopotosha kwamba mwanaume inabi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.
1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Propaganda.
Ina maana nchi ndo inapanga taratibu za dini?
Kama unatamani wake 6 wee oa tuu
Kwanini Hadi uruhusiwe na kanisa?Kiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume popote pale. Kati ya hawa wanaume kuna: makasisi, mashoga, watoto wa kiume, mabachelor nk. Kundi ambalo lipo kwa ajili ya kuoa ni wachache sana, hivyo hata mie nashauri pia kanisa liangalie uwezekano wa kuruhusu sisi wakristu kuoa mke zaidi ya mmoja. Hata mie sitaki kuchepuka ikiwezekana nikaruhusiwa wake watatu nitafurahi sana. .
Kwani kuoa mke mmoja au zaidi ya mmoja, serkali inahusikaje?Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kama ni mkristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.
Nchi kama zetu hizi ndoa za kikristo zipo kwa nadharia zaidi kuliko uhalisia, Mwanaume wa kiafrika kutosheka na mke moja ni nadra sana, ipo ndani enzi hadi enzi hata utamaduni wetu mababu zetu wameoa mke zaidi ya moja, hata kwenye biblia manabii kibao walioa mke zaidi ya moja na kufanya kazi za kinabii kwa baraka zote.
Matokeo ya hizi ndoa za mke moja michepuko imeshamiri sana ndoa za kikristo, Wanawake hujihisi wapo sawa na waume zao maana mume wake hana ujanja wa kuongeza mke, n.k.
Pia biblia haijawahi kukataza kuoa mke zaidi ya moja bali ni makanisa yaliyotengenezwa na wazungu yanayopotosha kwamba mwanaume inabi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.
1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Hao ni michepuko na hawatambuliki hata kisheria, hata watoto wa michepuko hawatambuliki kwenye mirathi.hata hapa Bongo, wanaume wengi wa Kikristo wameoa na wanamiliki michepuko kadhaa ambao nao ni kama wake tu maana unakuta wamezaa na either wamejengewa nyumba au kupangishiwa..
Huenda hata barua ya posa huijui mkuu, ukioa ndoa ya kikrtisto, kanisa na cheti cha ndoa hakitakuruhusu kuongeza mke,Sijapata jibu, nitajieni nchi yoyote duniani inayozuia wakristo kuoa zaidi ya mke mmoja
Siamini kama kiswahili ni kigumu namna hii!! Nitajie NCHI MOJA TU inayozuia wakristo kuoa wake wengi. Sitaki kusikia habari ya kanisa, nadhani umenielewa vema. Mtoa mada anaongelea SERIKALI YA CHAD na sio KANISA LA CHAD. Read between lines, mnasumbuliwa na fallacy tu hapa. Habari hii ni uzushi mkubwa kwa kulihusisha kanisa, ni upuuzi endelevu kama ilivyozoeleka toka kwa watu wasioweza kudhibiti tamaa zao. Upuuzi mtupuHuenda hata barua ya posa huijui mkuu, ukioa ndoa ya kikrtisto, kanisa na cheti cha ndoa hakitakuruhusu kuongeza mke,
kwa ufupi ni kwamba, Chad unaruhusiwa kuoa mke zaidi ya moja kwa ndoa ya kikristo.Siamini kama kiswahili ni kigumu namna hii!! Nitajie NCHI MOJA TU inayozuia wakristo kuoa wake wengi. Sitaki kusikia habari ya kanisa, nadhani umenielewa vema. Mtoa mada anaongelea SERIKALI YA CHAD na sio KANISA LA CHAD. Read between lines, mnasumbuliwa na fallacy tu hapa. Habari hii ni uzushi mkubwa kwa kulihusisha kanisa, ni upuuzi endelevu kama ilivyozoeleka toka kwa watu wasioweza kudhibiti tamaa zao. Upuuzi mtupu