Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo
kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi