Albert Enstein, anajulikana dunia nzima haijalishi unajua kiyahudi au hujui, Archimedes twamsoma tangu shule ya msingi haijalishi unajua kiyunani au hujui, Ohms twamsoma tangu shule ya msingi haijalishi unajua kijerumani au hujui Michael Faraday tumemsoma haijalishi twajua English au hatujui kazi/tafiti zao zinajulikana duniani kote na utawasoma tu kwenye lugha yako sasa why hao wa urusi mpaka ujue kirusi ndo uwajue? sizungumzii wingi wa wanasayansi nazungumzia kazi zao kutambulika dunia nzima na kusomwa kizazi mpaka kizazi na tafiti kuwa za kwanza. Kama wingi wa wanasayansi hata bongo tz tunao wengi tu hata hayati JPM alikuwa mwanasayansi lakini je kazi/tafiti zake zinajulikana dunia nzima? zinasomwa kizazi hata kizazi kwa kiwango cha hao niliowataja? na sijasema kuwa kuwa hawana no wanao mf ivan pavlov ila si wengi kiasi cha mfano ile ugiriki ya kale.