Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Hawezi kukuelewa Mkuu,kama waliweza kuisambaratisha USSR watashindwaje kwa hili.Putin kauvaa mkenge pale Ukraine,atahangaishwa hapo huku Finland na Sweden wanaendelea na mchakato wa kujiunga NATO na hatokuwa na cha kuwafanya.
Putin hawezi mobilize vita 2, hana resources na hapo kabana vingine kwa matumizi ya nyumbani
 
Hiyo teknolojia ya silaha za nyuklia USA baba lao huyo russia mwenyewe kaja kuijua wakati USA ashaijua kitambooo na ashaifanyia trial tests kibao na akafanya live test japan, halafu leo russia inabwekabweka na mbwembwe nyiiiingi as if teknolojia anayo yeye tu, warusi mbwembwe sana sipati picha if wangekuwa na wanasayansi ambao tunawasoma kwenye mavitabu tuliyosoma ya sayansi sijui ingekuwaje hawa watu
Nimegundua US huwa ana vitu ambavyo hatuvijui ila viko effective
 
Hiyo teknolojia ya silaha za nyuklia USA baba lao huyo russia mwenyewe kaja kuijua wakati USA ashaijua kitambooo na ashaifanyia trial tests kibao na akafanya live test japan, halafu leo russia inabwekabweka na mbwembwe nyiiiingi as if teknolojia anayo yeye tu, warusi mbwembwe sana sipati picha if wangekuwa na wanasayansi ambao tunawasoma kwenye mavitabu tuliyosoma ya sayansi sijui ingekuwaje hawa watu
Hata sasa wana sayansi wanao wengi tatizo unajua Lugha ya Russia ?
 
Sijawahi kuziamini hata siku moja propaganda za Kikomunist.Tumejionea kwa jeshi lake lililokuwa linasifiwa jinsi linavyopigishwa kwata Ukraine. Ukitaka kujua hiyo ni mikwara mbuzi,mwanzo alisema watakiona cha mtema kuni,jamaa wamedare wanajiunga,sasa hivi anapindua maneno kuwa ataweka hiyo midoli yake mpakani.
... unike the eastern world, kuna kitu kimoja kinaiumiza kichwa western world kwenye medani za kivita - how to save lives? Wakati Russia yeye kuuwa kwa halaiki including wanajeshi wake mwenyewe kuteketezwa vitani kwake sio issue as long ushindi upo.

Baada ya ugaidi (maximum casualties philosophy), wanaofuatia kutojali maisha ni wakomunisti. Hii inaleta changamoto sana kupigana na wendawazimu kama hawa.
 
Sasa ulitaka RT ya wapi? Mbona hueleweki? Nimekuwekea CNN wamarekani umebisha, Nikakuwekea RT source financial times ya mwingereza umebisha, sasa nimekuwekea RT source satelite ya mrusi nako unabisha.
Basi hata hujui unasimamia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unabisha ili mradi tu
[emoji1][emoji1] una moyo sana mkuu kubishana na hicho kiumbe.Menopause inakuja na changamoto zake kama hizo mzee.
 
Sasa ulitaka RT ya wapi? Mbona hueleweki? Nimekuwekea CNN wamarekani umebisha, Nikakuwekea RT source financial times ya mwingereza umebisha, sasa nimekuwekea RT source satelite ya mrusi nako unabisha.
Basi hata hujui unasimamia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unabisha ili mradi tu
RT source FT, na FT ni chombo cha UK, na hapa jamii forums tunaamini vyombo vya magharibi ni vya kipropaganda.
 
RT source FT, na FT ni chombo cha UK, na hapa jamii forums tunaamini vyombo vya magharibi ni vya kipropaganda.
Endelea kusoma nimeongeza habarbya rt ambayo imetokana na satelite za urusi na msemaji wa wizara ya ulinzinwa china. Nmeweka nukuunyankote kote
 
Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)

mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo

kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi
Acha nikajiunge na jeshi la Finland,nipambane kimchongo huku nikitoa siri za jeshi la Finland kwa The Great Mother Russia

Russia all the way
 
Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)

mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo

kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi
Weka source Mkuu
 
Mkuu hebu tafuta taarifa kwanza.
Hii technology ya Nuclear nchi ya kwanza kuinvent alikuwa ni Germany chini ya Hilter.

Baada ya Russia kumpiga Hitler, Russia na US waliichukua technology hiyo na kuanza kuunda hayo mabomu. Na ndo maana. Russia anayo approx 6K na US 5K.

Ila US ndio taifa la kwanza na pekee kuzitumia silaha za Nuclear.
soma vizuri nilichoandika wapi nimesema USA ni ya kwanza kuinvest kwenye nyuklia? nimezungumzia timeline kati ya usa na russia ukweli ni kuwa usa ni wa kwanza kwenye kuiunda, kufanya trials na kufanya test live kweupeeee, huyo russia kudevelop na kufanya trials kaanza ilihali ya kuwa USA alishamtangulia.
 
Back
Top Bottom