Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Kabisa,jino kwa jino.Kila siku anatishia Nuklia utadhani anazo peke yake,tena zake wala hajawahi kuzitest kama za US walau watu walishashuhudia kule Nagasaki na Hiroshima
Hiyo teknolojia ya silaha za nyuklia USA baba lao huyo russia mwenyewe kaja kuijua wakati USA ashaijua kitambooo na ashaifanyia trial tests kibao na akafanya live test japan, halafu leo russia inabwekabweka na mbwembwe nyiiiingi as if teknolojia anayo yeye tu, warusi mbwembwe sana sipati picha if wangekuwa na wanasayansi ambao tunawasoma kwenye mavitabu tuliyosoma ya sayansi sijui ingekuwaje hawa watu
 
Itakuwa ni yale yale ya 1939-1940 mrusi anakumbuka vizuri kilichompata kipindi hicho.

Nilichogundua humu ndani wengi ni wale wa ushabik maandazi hawasomi na wala hawajui hii dunia inatoka wapi na inakwenda wapi.

Wakisikia tu vita ni watu wa kushangilia tu huku hapa Sirro na watu wake wakiwatisha na maji tu wanatimua mbio hadi uvunguni mwa vitanda.
 
Nafikiri tusimlaumu sana huyu Putin, ni Mungu amejitenga naye na kumuachia shetani 😈 ashughulikiwe naye, yale yale yaliyomkuta Saul ndio yatakayompata.

Let us wait and see because history is never new but keeps on repeating itself.
 
Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)

mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo

kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi

Bujibuji Simba Nyamaume fursa nyingine hiyo si lazima kwa Zelensky peke yake
 
Urussi amesema Finland na Sweden kama wanataka kujiunga na NATO mpaka kati yake na wao utalindwa kwa Nyuklia.

Yaani ataenda kusimika vichwa vya nyuklia mpakani kabisa vikiwachungulia usiku na mchana.
Hamna kitu ni midoli tu hizo anatishia watu kwani hajui kwamba kuna watu wana nyuklia tena advanced kushinda hiyo midabwada yake. Acheze aone.
 
Nafikiri tusimlaumu sana huyu Putin, ni Mungu amejitenga naye na kumuachia shetani [emoji48] ashughulikiwe naye, yale yale yaliyomkuta Saul ndio yatakayompata.

Let us wait and see because history is never new but keeps on repeating itself.
Nonsense
 
Hiyo teknolojia ya silaha za nyuklia USA baba lao huyo russia mwenyewe kaja kuijua wakati USA ashaijua kitambooo na ashaifanyia trial tests kibao na akafanya live test japan, halafu leo russia inabwekabweka na mbwembwe nyiiiingi as if teknolojia anayo yeye tu, warusi mbwembwe sana sipati picha if wangekuwa na wanasayansi ambao tunawasoma kwenye mavitabu tuliyosoma ya sayansi sijui ingekuwaje hawa watu
Nonsense kwenye nuclear Russia ndo Baba Lao hao wengine ni wachumba Tu.
 
Urussi amesema Finland na Sweden kama wanataka kujiunga na NATO mpaka kati yake na wao utalindwa kwa Nyuklia.

Yaani ataenda kusimika vichwa vya nyuklia mpakani kabisa vikiwachungulia usiku na mchana.
Mmh, kama nibkweli naona hii ni hatari zaidi kuliko ya kupeleka majeshi kuwapiga.

Hii Fini na Sweden hawatakubali, lazima watatuliza mipira.
 
na uzuri nyuklia sio kwamba anazo urusi peke yake so wanachama wa nato wanaopakana na urusi na wao wakiamua kuweka manyuklia mipakani itakuwa hatari kwa urusi pia.
Shida ni kwamba Finland nanSweden hawana hizo kitu na kama ikitokea la kutokea wao ndo watakaoumia kwanza.
 
Hiyo teknolojia ya silaha za nyuklia USA baba lao huyo russia mwenyewe kaja kuijua wakati USA ashaijua kitambooo na ashaifanyia trial tests kibao na akafanya live test japan, halafu leo russia inabwekabweka na mbwembwe nyiiiingi as if teknolojia anayo yeye tu, warusi mbwembwe sana sipati picha if wangekuwa na wanasayansi ambao tunawasoma kwenye mavitabu tuliyosoma ya sayansi sijui ingekuwaje hawa watu
Mkuu hebu tafuta taarifa kwanza.
Hii technology ya Nuclear nchi ya kwanza kuinvent alikuwa ni Germany chini ya Hilter.

Baada ya Russia kumpiga Hitler, Russia na US waliichukua technology hiyo na kuanza kuunda hayo mabomu. Na ndo maana. Russia anayo approx 6K na US 5K.

Ila US ndio taifa la kwanza na pekee kuzitumia silaha za Nuclear.
 
Urussi amesema Finland na Sweden kama wanataka kujiunga na NATO mpaka kati yake na wao utalindwa kwa Nyuklia.

Yaani ataenda kusimika vichwa vya nyuklia mpakani kabisa vikiwachungulia usiku na mchana.
Kwanza kabisa niseme kwamba,hata uliyoyaandika ni matamanio yako kuona Urusi ikifanya hivyo na Wala hakuna sehemu ambapo Urusi imesema itapeleka makombora ya Nyuklia kwenye mpaka na Finnland and Denmark,Kwahiyo Punguza Mahaba kijana. Putin kasema kwamba,Endapo Finnland na Denmark zikijiunga na NATO,hazitapata faida yoyote ile Bali zitasababisha kusambaratika kwa nchi zao.

Pili,Endapo Urusi akifanya hivyo yaani Ku-INSTALL Nuclear Missiles kwenye Mipaka ya Finland Na Denmark,Basi hiyo itasababisha Nchi Hizo Kukaribisha (HOST) Makombora ya Nyuklia ya Marekani au UK kwenye Mpaka wa Nchi Hizo na Urusi (Kama Finland na Denmark watakuwa wanachama wa NATO). Hili Ni Pigo kubwa kwa Urusi kwasababu Adui wa Urusi si Finland Wala Denmark Bali ni Marekani. Urusi inafanya juu chini kuepuka Hilo.
 
Shida ni kwamba Finland nanSweden hawana hizo kitu na kama ikitokea la kutokea wao ndo watakaoumia kwanza.
Hata 🇷🇺🇷🇺 anajua Finland & Sweden hawana nyuklia . lakini kwa nini anawazuia wasijiunge na NATO? Putin anajua jamaa wakijiunga na NATO hayo ma nyuklia lazma watayamiliki . 🙏🙏🙏🙏
 
Nimewaletea CNN nyie watu wa US maana ningeweka kutoka vyombo vya China mngebisha nikaamua niwaletee cha kwenu
Utatuleteaje chombo cha propaganda ambacho hakiaminiki! Tuletee RT ndo tutaamini, tofauti na hapo basi hizo ni propaganda tu, lete RT.
 
Wikipedia sio RT
Screenshot_20220415_080831.jpg

Ongea na hii.

Halafu soma vizuri, financial times walisema chombo kimedefy physics technological leap. Usisahau kusoma hapo ni muhumu
 
Back
Top Bottom