Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Sijui Finland kaona russia hatakuwa na power ya kupiga Nchi zote so kaona hapa hapa wakati mruusi anazubaa na ukraine yeye ajiunge...
?

Mfano nchi mbili zikitangaza kujiunga na NATO mtusi ataweza kuzipiga hizo nchi zote ama ndio atazidi kudhoofishwa ?
Norge Sweden wote nao wanajpanga kujiunga.....
 
Sijui Finland kaona russia hatakuwa na power ya kupiga Nchi zote so kaona hapa hapa wakati mruusi anazubaa na ukraine yeye ajiunge...
?

Mfano nchi mbili zikitangaza kujiunga na NATO mtusi ataweza kuzipiga hizo nchi zote ama ndio atazidi kudhoofishwa ?
Raia wengi wa Russia na dunia itaanza kumtilia mashaka putin na utawala wake.
 
Hata supa pawa wako akitaka hata vamia tz ataita collabo la wana wake, wakati master show anaisimamia mwenyewe.
Nimeona supa pawa wako yani US, Australi, na UK wamemtumia mwaliko Japan aungane nao katika kutengeneza silaha za hypersonic.
Mrusi na Mchina ndio wazee wa one man show waliobaki
Screenshot_20220406-215243.jpg
 
Back
Top Bottom