Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Wakisikia tu vita ni watu wa kushangilia tu huku hapa Sirro na watu wake wakiwatisha na maji tu wanatimua mbio hadi uvunguni mwa vitanda.
Kwa Sirro umeenda mbali sana Mkuu,Panya road tu hapa alishawahi kuwafanya wanaume wazima wakatelekeza magari barabarani wakakimbia mitaa ya kuanzia Tigo HQ hadi Mwenge.Lakini ukiwaona hapa wanavyoshupaza mishipa ya shingo kumkejeli Mwanaume wa shoka Zelensiky aliyesimama imara dhidi ya Putin pamoja na maguvu yote aliyonayo unabaki kucheka tu.