Sijui Finland kaona russia hatakuwa na power ya kupiga Nchi zote so kaona hapa hapa wakati mruusi anazubaa na ukraine yeye ajiunge...Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo
kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland
Putin kashikwa pabaya mwaka huu fikiria kule Ukraine kashindwa kuikamata kyiv sasa ndio aende Sweden & Finland kwa wakati mmojaSijui Finland kaona russia hatakuwa na power ya kupiga Nchi zote so kaona hapa hapa wakati mruusi anazubaa na ukraine yeye ajiunge...
?
Mfano nchi mbili zikitangaza kujiunga na NATO mtusi ataweza kuzipiga hizo nchi zote ama ndio atazidi kudhoofishwa ?
Kule Ukraine mrusi kawekeza nguvu nyingi kwenye kuyaporomosha maghorofaUkraine na hao Finland wapigwe tu
Nalog off Z
Wawezakuta NATO na EU wana uwepo wao hapo na hata hao Raia wazalendo walioomba kujiunga na hilo jeshi ni wa mchongo tuNchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo
kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi
raia wa mchongo mkuu nao wapoWawezakuta NATO ana nguvu yake hapo na hata hao Raia wazalendo walioomba kujiunga na hilo jeshi ni wa mchongo tu
Na kuna makenge humu JF yanachekelea kama vile yana funza vichwani mwao [emoji849][emoji2960]Naona dunia inarudi in 1930's
una uhakika mkuu kuwa hayana funza kijijini kichwaniNa kuna makenge humu JF yanachekelea kama vile yana funza vichwani mwao [emoji849][emoji2960]
Heri tuanze tena upyaNaona dunia inarudi in 1930's
Ndio supapawa wa mchongo aende kuvamia sasaWawezakuta NATO na EU wana uwepo wao hapo na hata hao Raia wazalendo walioomba kujiunga na hilo jeshi ni wa mchongo tu
Hata supa pawa wako akitaka hata vamia tz ataita collabo la wana wake, wakati master show anaisimamia mwenyewe.Ndio supapawa wa mchongo aende kuvamia sasa
Kama ni wababe wa michongo wanatishika na nini,ila SII vibaya huenda wameona mwenzao aliyetamani kujiunga Nato mchongo alivyochapika🤔Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo
kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi
Ulimbombo & ulindiTunasubiri dunia itarudi lini zama za mishale na mikuki...