... makelele na mbwembwe husaidia kuficha udhaifu contrary to reality. Huwa wana ule mkwara wao wa kuingiza mavifaru na makombora mitaani kwenye yale maparade ya kila mwaka kuwahadaa wananchi wao. Huwa nacheka kinoma.US hanaga makelele,yeye anfanya kimya kimya.Makelele mengi wanayo wakomunist
Hakuna vitu kama hivyo beberu linakula kisu safari hiiPutin anachezewa hatari. Mmarekani sio wakushindana nae ni mnafki, mchonganishi. Mfitinashaji, wauaji, na hashindwagi. Putin kaingia cha kike kinachosubiriwa ni uhai wake tuu.
Hao ni wanafiki tu hata wenyewe hawana hamu ya kwenda Russia hata awape hiyo visa. Marekani ndio nchi inayoongoza kwa visa yake kuombwa na watu wengi duniani.Tatizo hata viza yenyewe tu hutopata,nenda Russia viza nnje nnje [emoji3]
Huwa wanaendaga wanafunzi kwa ufashili maalumu. Binadamu gani anayejitambua ataacha kwenda US, Europe, Canada, Australia, au Japan aende Russia? Hata wajamaa wenzia China hawaendi.Hao ni wanafiki tu hata wenyewe hawana hamu ya kwenda Russia hata awape hiyo visa. Marekani ndio nchi inayoongoza kwa visa yake kuombwa na watu wengi duniani.
Visa ya Marekani huombwa na zaidi ya watu milioni 50 kwa mwaka. Russia sidhani hata kama waombaji wanafika 50,000 kwa mwaka.
Russia ndo anamabomu makubwa zaidi ya kinyukliaKama unafikiri kuwa na nyuklia warheads nyingi ndio kuwa na nguvu basi umewaka.
Ni Rahisi wewe au Biden kuuawa kuliko Putin hakuna wa kumgusa Putin.Putin ni lazima afe na Urusi itaomba msamaha kwa dunia
Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo
kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi
Nina ndugu huko Finland anasema kupo poa tu, hii habari Imeongezwa chumvi sanaNchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo
kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi
Urusi kakata moto ukraijr hawez kwenda finland watamfanya. Vibaya kama walivyofanya wakaz wa sodoma na gomora kwa wale malaikaNchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi)
mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari ya kijeshi na maelfu wengine wakiwa wametuma maombi ya kujiunga na mafunzo hayo
kwa taarifa zilizopo sasa ni kuwa nchi ya Urusi tayari imeshapeleka mitambo yake ya ulinzi wa anga kwenye mpaka wake na Finland kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijawa wazi
Kwahiyo unadhani kwamba yale madude wanayaunda mithiri sisieemuu wafanyavyo uchaguzi?Albert Enstein, anajulikana dunia nzima haijalishi unajua kiyahudi au hujui, Archimedes twamsoma tangu shule ya msingi haijalishi unajua kiyunani au hujui, Ohms twamsoma tangu shule ya msingi haijalishi unajua kijerumani au hujui Michael Faraday tumemsoma haijalishi twajua English au hatujui kazi/tafiti zao zinajulikana duniani kote na utawasoma tu kwenye lugha yako sasa why hao wa urusi mpaka ujue kirusi ndo uwajue? sizungumzii wingi wa wanasayansi nazungumzia kazi zao kutambulika dunia nzima na kusomwa kizazi mpaka kizazi na tafiti kuwa za kwanza. Kama wingi wa wanasayansi hata bongo tz tunao wengi tu hata hayati JPM alikuwa mwanasayansi lakini je kazi/tafiti zake zinajulikana dunia nzima? zinasomwa kizazi hata kizazi kwa kiwango cha hao niliowataja? na sijasema kuwa kuwa hawana no wanao mf ivan pavlov ila si wengi kiasi cha mfano ile ugiriki ya kale.
Kivipi tuthibitishie.Russia ndo anamabomu makubwa zaidi ya kinyuklia
Hata akina dikteta Putin na wapambe wake pesa zao wanaweka kwenye mataifa ya magharibi.Huwa wanaendaga wanafunzi kwa ufashili maalumu. Binadamu gani anayejitambua ataacha kwenda US, Europe, Canada, Australia, au Japan aende Russia? Hata wajamaa wenzia China hawaendi.