Nchi ya Rwanda ina uwezo wa kupokea basi 100 kwa wakati mmoja?

Nchi ya Rwanda ina uwezo wa kupokea basi 100 kwa wakati mmoja?

Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.

Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?

Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.

Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Tujikumbushe
 
Attachments

  • 69CF5CE1-9F58-4A4D-AB2E-26E0CB303E04.jpeg
    69CF5CE1-9F58-4A4D-AB2E-26E0CB303E04.jpeg
    84.8 KB · Views: 3
Pole...shukuruni dirisha lilishafungwa ila mlipigw pin mpaka mumlipe Gael Biri....
Mmeshamlipa?
Hizo ni story tu za wachambuzi snitch kama akina Bin Kazumari. Ukiendelea kuzisikiliza, shauri zako!

Wananchi akili zetu zote kwa sasa ni kuingia kwanza hatua ya makundi. Baada ya hapo, tunaitafuta fainali.
 
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.

Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?

Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.

Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Wanauwezo wa kupokea costa tu.
 
Back
Top Bottom