Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu wote
Udini ni cancer hatari isiyovumilika POPOTE duniani
Kama umefunga ni unafiki kusema anayekula anakunyima mfungo
IMani ni msimamo binafsi wa ndani sio ishu ya kikundi ,
Kama inashindwa kujizuia mfungo kisa mtu kavaa nguo yake wewe ni mzinzi acha kujidanganya
Kaisari apewe yaliyo ya kwake na Mungu apewe yaliyo ya kwake
Huu upuuzi ukemewe na watu wote wenye akili ndani ya Jamhuri ya TANZANIA