kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Nchi nyingi zenye viashiria vya Ugaidi zimekuwa zikiyumba kiuchumi. Lakini pia raia wake upata shida Sana wawapo nje ya mataia yao kwa usumbufu wa upekuzi na ufauatilia unaomiza.
Kutangaza nchi kwamba ina viongozi Magaidi Ni kosa kubwa kiuchumi na kisiasa pia. Kwa Mataifa ambayo yanaelewa madhara ya Ugaidi mfano Kenya wananchi wake wanaposikia mtu akiitwa Gaidi umbagua na kumteketeza wanapopata nafasi kwa sababu gaidi anaua.
Kiimani pia tunaaminishwa kwamba unapoomba Jambo flani Mwenye zi Mungu anaweza kukupatia liwe baya au zuri ili ujifunze. Tunapaswa kuwa na viongozi wa kiroho wakuliombea Taifa, tunapowakumbuka mashakhe wa uahamsho tunajipaswa kutubu tusiwe Taifa lenye magaidi. Lakini pia nahofia Sana pale tunapoitangazia Dunia kwa sababu tunafungua milango kwa hao wanaoitwa magaid kujenga himaya hapa.
Tusifungwe Sana na Matakwa ya mishahra yetu na bunduki na walinzi tukaamini ugaidi utawamaliza maskini, upo uwezekano ukaanzia popote endapo tu tutaendelea kumtaka Mungu aulete Tanzania